GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,741
- 109,177
Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji.
Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa na Saluti za mfululizo na Uoga.
Nina uhakika Siku zile baada ya Kuyakanyaga vile kwa Hayati Magufuli lazima tu atakuwa ALIUKWEKA ( alitoa Haja Kubwa) hata kidogo (ya kwa mbali) yaani tuchembe tuwili tutatu fulani hivi.
Hivi bado yuko Gerezani pale? Je, na yule Albino aliyemchongea kwa Hayati Magufuli yuko Hai kweli au nae labda baada ya Mkutano ule nae alitangulizwa haraka Mavumbini Udongoni japo alimwomba Hayati Magufuli amlinde kwa Kuhofia Uhai wake?
Ila Hayati Magufuli pumzika zako kwa Amani kabisa Baba kwani ULININYOOSHEA Wapumbavu, Wezi ( Mafisadi ) na Wanafiki hadi raha na ADABU pamoja na NIDHAMU ya/ za Kiutendaji zilirejea Serikalini, Watanzania TULIHESHIMIANA na hata nchi nayo ILIHESHIMIKA zaidi tofauti na sasa INAVYODHARAULIKA na wenye AKILI KUBWA na WAZALENDO wa Kweli Tanzania na Afrika wakiongozwa nami GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
Rest In Peace Late John P. Magufuli.