TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Hivi kwani umeme una patikana kwa watu wa dini gani tu na ipi wanao ukosa? na unapo kosekana ni dini gani wana ukosa na ipi wana kuwa nao muda wote kwasababu tu mameneja wa dini flani ni wengi? tuji tizame katika upatikanaji maana ubaguzi wowote katika upatikanaji wa huduma muhimu ndio tatizo,kama Mungu huwa angazia jua na kuwanyeshea mvua hata wachawi,wauaji na majizi bila ubaguzi, kinacho tafutwa hapo ni nini na ili iweje? yaani iwe sasa mkubwa flani aki haribu aachwe tu kwasababu ni wa dini flani na kina flani wata piga kelele,iko sawa hiyo?
 
Dah, hii yako ainiingii akilini.

What about NSSF?
 
Sio tanesco tu...taasisi nyingi sana za serikali wamejaa wagalatia ufanisi zero kazi ni wizi tu na ufisadi
 
Kumbe TANESCO makafi.ri matupu yamejazana huko?Kweli ukisikia habari ya udini ujue muislam anapigwa vita...
 
Hili la Tanesco ni tone katika bahari, na hii ni dalili ya hali ilivyo mbaya.
Zamani Udini ulifanywa kwa akili na kwa kificho sasa hivi ni dhahiri shahiri, hii ni hatari kubwa sana
 
Vip kwenye magereza mbona wenzetu ni wengi, nako wanaonewa? Halafu baada ya nenda ubungo terminal soma pembeni kwa kila bus linalotoka ndani niambie idadi kubwa ni nani?, na hii idadi utaikuta karibu kila mkoa je Hapo kwa kujaaliwa tusemeje?
 
Labda wakristo nduo wenye hizo sifa za kuajiriwa, sasa una taka muislamu aliye soma madrasa akafue umeme wapi na wapi.
 
Yeyote anayetoa hoja kwa vigezo vya dini aende kanisani au msikitini! kama mpagani nenda kwako! hizi habari zinatuchosha jamani
 
Hii hatari nilichokuelewa hapa wakristo wengi hawapendi waislam wapate ajira wakiongezeka tu wavaa hijabu kumi wanaonekana waislam wengi ila kama NSSF ndo ingekuwa kama Tanesco Dau angenyongwa
 
Kwani walipotangaza ajira walidai vyeti vya kubatizwa au kusilimishwa! acheni pumba kuweka dini katika kazi
 
Elimu ,Elimu .Naamini hakuna aliyepewa kwa upendeleo ila elimu yake ndio imemuweka hapo.Mleta uzi nashauri watu waingie darasani waache longolongo.
 
aliyetoka alikuwa mdini balaa na wala msibishe maana kila mwenye akili timamu anajua hili
Muislam akionyesha mapenzi kwa dini yake anaitwa MDINI/MSIMAMO MKALI.Mkristo akionyesha mapenzi kwa dini yake anaitwa MLOKOLE/AMEMPOKEA BWANA.Huu ni utahira wa kifikra na inawatokea wale wanaoamini dini zao ni bora kuliko dini nyengine.
 
Back
Top Bottom