TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207

Udini si kitu kizuri.

Toka nianze primary hadi chuo kikuu, madarasa yangu yalikuwa na 90% - 100% wakristo. Sijui kama ina reflect pia ajira za Tanesco.

Tupeleke watoto shule, hasa wa kike.
 
Huyo mtu anahusiano gani na Tanesco na udini? Kama dini au thehebu alilokuwa akisali wakati akiwa hai wameona inafaa kumwita huyo mtakatifu inatuhusu nini mimi na wewe? Ya serikali apewe serikali na ya dini wapewe wadini.
Sasa kwanini asizungumziwe?!
 
Pale wameingia hata wasio na sifa..
Mikakati ya Kupunguza Gharama za Kuunganisha Umeme kwa Wateja, Kuongeza idadi ya Watanzania wanaopata na waliofikiwa na umeme: Katika kutekeleza azma yake ya kutimiza lengo la asilimia 30 ya wananchi watakaounganishiwa umeme ifikapo Mwaka 2015, Serikali ilipunguza gharama za kuunganisha umeme kwa wananchi. Katika punguzo hilo, mathalan gharama ya kuunganishwa umeme wa njia moja (single phase) kwa wateja wadogo mijini na vijijini ilipungua kwa wastani wa kati ya asilimia 30 na 77. Kutokana na juhudi hizo za Serikali, idadi ya Watanzania wanaopata umeme imeongeka kutoka asilimia 11 Mwaka 2005ÂÂ hadi kufikia asilimia 24 mwaka 2015. Pia jitihada hizo zimewezesha Watanzania asilimia 36 kufikiwa na miundombinu ya umeme.

.. Kuna wawili nawafahamu walifeli Makongo na hawakusoma chuo ila leo hii ni maafisa pale...

Mambo ya Kikwete hayo, alipochukuwa nchi ilikuwa giza totoro, hata 10% walikuwa hawapati umeme na hao wanaopata ilikuwa dhiki tu.
 
Mkuu nadhani una nafasi ya kuanzisha Uzi wako utakaozungumzia maboresho ya tanesco 2015-2020 kama ilani ya chama chako inavyoainisha hapa hayo uliyoandika yoote si mahala pake

Hapa panatosha maana mnatakiwa kueleweshwa
 
Huyo mtu anahusiano gani na Tanesco na udini? Kama dini au thehebu alilokuwa akisali wakati akiwa hai wameona inafaa kumwita huyo mtakatifu inatuhusu nini mimi na wewe? Ya serikali apewe serikali na ya dini wapewe wadini.
Huyo "mtu" ni nani kwanza?!
 
Muulize alianza kupost akielezea ya kuwa sijui kuwa kuna kiongozi wanataka kumtangaza mtakatifu? Mimi pia sina uhakika hasa alikuwa anamzungumzia nani?
Umeona shida ya kukurupuka na mambo...?! Sasa si utulie ili amtaje huenda ndio chanzo cha mambo yote yanayojadiliwa katika mada hii?
 
Kule NSSF japo siyo kweli, ulitaka wafuatwe kwenye shooting za kwaya au kanisani?


Mchango wa Wazalishaji Wadogo wa Umeme katika Gridi ya Taifa: Katika kipindi cha 2005 hadi 2015, wazalishaji wadogo wa umeme waliingia mikataba ya kuuziana umeme na TANESCO ambapo umeme wa MW 8 ununuliwa. Wazalishaji hao ni ni TANWAT – MW 1; TPC – MW 3; na Mwenga Mini Hydro – MW 4.
 
Na mara nyingi threads kama hizo tena zenye ushahid kama huu mods huwa wanaziondoaga

Hatutaki hizo double standards...

Threads za ajabu ajabu zisizo na ushahid zinawekwa had page mia huko...lakin kama hiz zenye ushahid eti huwa wanaziondoa kwa vigezo visivyo fahamika

Tunataka iache tuuweke huu ukweli

Na hali kama hii ukienda Pspf Lapf Gepf Nhif Ewura BOT,TPA Tra na kadhalika wamejaa hivyo hivyo

Tunataka Serikali ya magufuli alitizame hilo
 
Kuna kitu tunapaswa kukijua je kuna mtu alie peleka maombi yakazi huko akakosa kwasababu zisizo eleweka??.
 
Unamfahamu alomgusia!? tulia kishakuona na atakutajia akiwamaliza wengine wenye matatizo ya kurukaruka kama mahindi ya bisi/popcorn.
Labda wewe ndo popcorn kwa sababu badala ya kuchangia mada unaanza kuuliza mambo yasio husiana na mada
 
Back
Top Bottom