TANESCO mnafanya kazi nzuri na hongereni, lakini Kuna mambo yanashangaza kweli, Milani Morogoro, kata ya Mkundi, mtaa wa mawasiliano, mumeleta umeme, a couple of weeks, wateja wengi wamehitaji umeme, ajabu wamefikishiwa wachache tu kwa madai kwamba "NGUZO HAZIPO" yaani watu wa block Moja, wapo tayari kulipia huduma then Tanesco hauna NGUZO?
Inafikirisha sana kwamba, pamoja na miti mingiiii tuliyo nayo, bado tunakosa NGUZO???? Wakati huo huo, Kuna sera mpya 2024-2034 inataka watu tuache kupikia mkaa, ikiwa nishati ya umeme inashindwa kufikisha kwa wananchi kwa Wakati, naachaje kutumia mkaa?
Tumeomba umeme tangu 2022, ndo tumeletewa NGUZO Leo, na bado kati ya watu 130 tuliohitaji, eti wamefikishiwa huduma watu 24 tu, are we really serious????
TANESCO