Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,347
- 8,254
😆😆😆Umeme kwaheri zake, The whole Tabata Kisiwani is full of Dark right now.
😆😆😆Umeme kwaheri zake, The whole Tabata Kisiwani is full of Dark right now.
Sasa kuna kufahamisha zaidi ya alichofanya hapa ?Habari ndugu Fabiani asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kufahamu kama bado mnapata changamoto hiyo kwakuwa wataalamu wetu walifanyia kazi changamoto zilizo jitokeza maeneo hayo, kama bado changamoto ipo tafadhali tunaomba mtufahamishe tufanye ufuatiliaji zaidi.^OK
Sawa chief umesomekaSasa kuna kufahamisha zaidi ya alichofanya hapa ?
Hivi kweli wewe ni mtu au no BOT / AI inajibu tu inavyojisikia..., nadhani huo muda wa kujibu kama fundi angeshaenda na kufanya yake huu uzi ungejaa pongezi badala ya lawama
Ushauri kwanza nipe hesabu ya kila kifaa Kama ifuatavyo nikupe hesabu ya unit zako na Kama lipo tofaut na matumizi tatizo litakuwa earthing stystm automatically nipe kila energy save moja ni watt ngapi na tv moja ni watt ngapi na frij ni watt ngapi soma kila kifaa chako kimeandikwa ApoNaomba mawazo yenu kwa tatizo hili: natumia unit 8 kutwa.
Nina frigdge moja ndogo, taa energy saver kama 5 zinawaka saa 12 a day, tv mbili zinatumika kama saa 5 a day, . Nadhani unit 8 a day huu ni umeme mwingi ninao tumia.
Tatizo linaweza likawa wapi? Nimeleta fundi akacheki wiring akasema iko vizuri.
Ushauri tafadhali.
Asante
😂😂😂Mlinzi wa kwanza ni ww mwenyew chief asikar wasio na akili huenda na kauli mbiu iyo Kisha unashurutishwa kwa nguvu uku bado uko kwenye haki hivyo. Tanesco nao wao wako hivyo wanapiga winga tu wananchiTANESCO mnatuongezea wezi mitaani.
Nishati ya umeme iliwahifadhi vijana kwenye ajira zisizo rasmi leo hii vijana siku tatu hawajafanya kazi na mnawawekea giza watuibie.
TANESCO mnatuongezea wezi mitaani.
Nishati ya umeme iliwahifadhi vijana kwenye ajira zisizo rasmi leo hii vijana siku tatu hawajafanya kazi na mnawawekea giza watuibie.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimejikuta nacheka kwa sautiTANESCO habari za usiku huu! Mimi niwapongeze sana kwa Kazi nzuri ya kukata umeme kila siku Mkuyuni Mwanza,kwa kweli hapo nawasifu hamfanyi makosa kabisa kama leo tokea saa 06:00Hrs mpaka saivi haujarudi,,mimi nasema chapeni Kazi acheni tulale kiza na tuamke kiza maana ndio furaha yenu. Usiku mwema
Usicheke Broo! Ni majonzi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimejikuta nacheka kwa sauti
Umesikia kinachowakuta Morogoro ww bora kwenu jipigie makofi chief 🤣🤣Usicheke Broo! Ni majonzi sana
Hii nchi kila sehemu shida, mafuta, umeme, maji, dollar khaa
BitekoHaiwezekani mnakata umeme kila siku bila taarifa!
Mnatuharibia targets kwenye biashara zetu, hii nchi ishakuwa ngum