TANESCO Bagamoyo kitengo Cha emergency ukienda kuripot taarifa ya dharula unaambiwa piga simu. Imagine mtu umeenda physically ofisini alfu unapewa namba upige simu. Kwamba ni utaratibu mpya awataki wateja waende ofisini . Well linaweza kuwa jambo zuri lakini tunaomba ufafanuzi na uelimishwaji Zaidi juu ya jambo hili.Mfano mimi nahishi karibu na ofisi ya Tanesco alfu Sina Salio la kupiga simu sistahili kupata huduma!?
Kwa lazima tupige simu kwenye namba Moja ya call center, Isijekuwa ni dili la mtu ndo kaingia ubia na kampuni ya simu ili apate Cha juu.!!
Sent from my Infinix X657B using
JamiiForums mobile app