wete
Member
- Nov 16, 2012
- 94
- 63
Kuna kipindi walikata elfu sita kwa pamoja na malalamiko haya niliyasikia pia kwa watu wengine.Je tatizo ni nini hapo?Tafadhali tujulishe, umekatwa kodi ya majengo kwa muda wa miezi minne
Hamuwezi kunipatia code niwe naangalia jinsi nilivokatwa kwa sbb Kodi ni elfu 10 kwa mwaka Sasa kwa namna hii Mwaka itakua hata 50k, kuna mtu wa tanesco niliwah kumuuliza akaniambia Kodi ni ishu ya TRA