TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,558
- 28,545
Tanesco poleni, na majukumu.
Maswali
1. Kwa nini mnakata umeme zikionekana dalili za mvua?
2. Kwa nini mnaendelea kukata umeme mvua ikiendelea kunyesha tena wakati mwingine hakuna radi wala ngurumo ama upepo?
3. Kwa nini hali hii imejitokeza awamu hii ambayo, tumeambiwa sasa mmeishafanya 'maintainance' kwenye mfumo mzima wa umeme ambao inasemwa hakufanyika awamu iliyopita na sasa mna software mpya ya mambo ya management ya masuala la umeme ambayo mmeingia mkataba na kampuni ya nje hivi karibuni?
4. Awamu iliyopitia mlikuwa mnatumia mbinu gani kuhakikisha umeme haukatiki wakati mvua inanyesha huku mfumo wenu wa umeme mlikuwa hamuufanyii maintainance?
Natanguliza shukrani kwa majibu mazuri.