Meter na 24219578069
Jina Athuman
Tarehe 13-8-2021
Tatizo -nilinunua umeme wa elfu tano kwa tigo pesa namba 0655 882106 bahati mbaya mtoto akafuta meseji ya token kabla hajaingiza, naomba msaada wa token niweze kuingiza, natanguliza shukran
Wacheki tigo huduma kwa mteja. Airtel nilipewa codes za kuangalia token za luku endapo umefuta msg. Sema nimeisahau
Download app ya GePG Tanzania, utaweza kuangalia last tokenMeter na 24219578069
Jina Athuman
Tarehe 13-8-2021
Tatizo -nilinunua umeme wa elfu tano kwa tigo pesa namba 0655 882106 bahati mbaya mtoto akafuta meseji ya token kabla hajaingiza, naomba msaada wa token niweze kuingiza, natanguliza shukran
Nenda kwenye app ya Gepg utapata option ya kuzipataMeter na 24219578069
Jina Athuman
Tarehe 13-8-2021
Tatizo -nilinunua umeme wa elfu tano kwa tigo pesa namba 0655 882106 bahati mbaya mtoto akafuta meseji ya token kabla hajaingiza, naomba msaada wa token niweze kuingiza, natanguliza shukran
Nyama c ztaoza
Umeme nilinunua tokea mwezi wa tano mpaka leo imekataa kuingia nilipiga Tanesco wananiambia wanadhugulikiaNyama c ztaoza
Jamaaa wanatuona Sisi walalahoi KamaUmeme nilinunua tokea mwezi wa tano mpaka leo imekataa kuingia nilipiga Tanesco wananiambia wanadhugulikia
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hizi kauli mbona sio kila ofisi? Kwingine ukishakua na nguzo unaambiwa subiriMpaka uchukue form upimiwe ndio tunaweza kukujulisha.kwa sasa bei ni Tsh 27000 tu na mteja halipii nguzo wala vifaa vingine
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiTANESCO NAOMBA KUULIZA’ HIVI ‘EMERGENCY’ kwenu maana yake ni nini?, usiku saa sita nime piga simu kituo cha mikocheni ‘emergency’ na kuwaelezea tatizo la umeme kwenye nguzo lililosababisha kukosa umeme hadi sasa lakini yamepita masaa saba hakuna responce yoyote, na hii imekua si mara ya kwanza kutoa ripoti kama hizi lakini imekua hali ni kama hivi, bora hicho kitengo kisiitwe ‘EMERGENCY’ maana emergency ni ‘ RESPONCE at an instant’ ni bora tu kiitwe ‘ kituo cha kuripoti taarifa’
REFERENCE 2194 OF 17/08/21
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Taarifa yako imepolewa saa 00.043 usiku wa kuamkia leo na mafundi wetu wamefoka nayo kuufanyia kazi hivyo tunaomba utulivu wakoPokeeni tu maana hata hizo nilizotuma awali zilipokelewa wakasema hivyo hivyo!, napanga ku file official complaint EWURA ili waingilie Kati hili suala ‘Emergency’ maana halikidhi uwepo wake katika maana halisia.