Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,774
Tumepokea taarifa tutakupigia simu mpendwa mteja wetuNaombeni link za whatsap Katavi Mpanda, maana tangu Tr 01/11/2018 niliandika barua ya kuomba Tarif 04 mpaka leo hata sijui kama Tanesco wanatekeleza majukumu yao zaidi ya kuwasha na kuzima umeme mjini.
Namba zangu ni
0673 448447,
0787 448447, na
0767 448447.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiMimi toka nimeripoti kuhusu Swala la Nguzo mbovu toka 02/11/2018 kwa TB 0172 MBEZI KIMARA...Walifika nakuona tatizo na hadi Leo hakuna chochote kilichofanyika..Ninyi kweli mnajua mnachokifanya au ndiyo hadi zianguke.. Napatikana Mbezi 0713455895
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetuMimi toka nimeripoti kuhusu Swala la Nguzo mbovu toka 02/11/2018 kwa TB 0172 MBEZI KIMARA...Walifika nakuona tatizo na hadi Leo hakuna chochote kilichofanyika..Ninyi kweli mnajua mnachokifanya au ndiyo hadi zianguke.. Napatikana Mbezi 0713455895
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanesco mbona hamnijibu ombi langu hili??Nimelipa gharama zote za kuunganishiwa umeme toka October mpka sasa nazungushwa tuu.. basi nirudishieni pesa yangu hamtaki!!
Sio Siri mnatufelisha Sana wakazi wa chanika tutumiayo Tanesco Kisarawe..
Wafanyakazi wana majibu ya kero mpka basi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupatie jina, eneo na mkoa wako bila kusaau wilayaWakuu wangu wa Tanesco nimelipia umeme nguzo mbili mwaka jana mwezi wa 10 hadi leo sijapatiwa umeme tatizo nini? Morogoro hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Morogoro, wilaya Morogoro jina Peter Westerberg, simu 0713692000