Habari Zenu, Kuna uzi unaendelea humu JF malalamiko kuhusu utaratibu wenu wa kuajiri, Tunazidi poteza imani nanyi au hadi tusogeze malalamiko mbele??Habari,
Tumeipokea na tunaifanyia kazi
MPENDWA MTEJA TUHUMA ZAKO HAZIJAKAMILIKA.TUNAOMBA WEKA TAARIFA ZOTE STAHIKI ZA JINA NAFASI ULIYOOMBA VIGEZO VYAKO KISHA IDARA YETU YA RASILIMALI WATU ITAKUPATIA MAELEZO STAHIKI.Mnawaingiza gharama watu za kutuma maombi,kumbe tayari mna majina ya watu wenu,haiwezekani mtu anavigezo vyote na ufaulu mzuri,hata kwenye usaili msimuite!!
Tunaomba maelezo zaidi kwa kuwa taarifa za kusikia haziwezi kutolewa ufafanuzi bila kwenda moja kwa moja kwa hicho unachokituhumuHabari Zenu, Kuna uzi unaendelea humu JF malalamiko kuhusu utaratibu wenu wa kuajiri, Tunazidi poteza imani nanyi au hadi tusogeze malalamiko mbele??
Namba ya simu tafadhali1.MKOA: Dar es Salaam
2.MTAA: Kinyerezi Kanga
3.NAMBA YA MITA: 24 21 85 04 934
4.TATIZO: Umeme hauwaki baada ya kuunganishwa kwa mara ya kwanza. Mita imeandika Relay Open.
Error check baada ya kuandika 098 imenipa error 012.
NAOMBENI MSAADA TAFADHALI MNIWASHIE MITA YANGU
N.B: Mita inasoma units zilizopo kuwa ni 49.98 ila ndo umeme hamna.
Nafasi za udereva shinyanga ni vigezo vipi vimetumika kuita watu kwenye usaili?!!mbona kuna watu wanavigezo vyote mlivyovihitaji hamjawaita kwenye usaili?MPENDWA MTEJA TUHUMA ZAKO HAZIJAKAMILIKA.TUNAOMBA WEKA TAARIFA ZOTE STAHIKI ZA JINA NAFASI ULIYOOMBA VIGEZO VYAKO KISHA IDARA YETU YA RASILIMALI WATU ITAKUPATIA MAELEZO STAHIKI.
SHIRIKA LETU LINATOA FURSA SAWA KWA WANANCHI WOTE , KWA KAWAIDA WALIOMBA WOTE HAWAWEZI KUPATA KWA KUWA KUNA VIGEZO NA IDADI INAYOHITAJIKA.
Hebu toa tathmini ya uharibifu. Hapo naona nguzo mbili zilizokuwa eneo moja ndizo zimeanguka baada ya kuungua.MOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeshuhudia uharibifu mkubwa wa miundombinu ya umeme uliotokana na uchomaji moto katika msitu wa Kirando ulioko katika Wilaya ya Nkasi hivyo kupelekea miundombinu kuungua na kusababisha hasara kubwa.Tukio hili limeathiri Wateja wa maeneo ya Kirando na Kipili wanaopata huduma ya umeme kupitia njia hii ya msongo mkubwa wa umeme.
TAHADHARI
Shirika linawaomba wananchi wote kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa kwenye ofisi zetu, vituo vya Polisi na Ofisi zote za Serikali Nchini ili kuokoa miundombinu hii muhimu kwa umma wa Watanzania
HATUA ZILIZOCHUKULIWA
Shirika linaendelea kutumia vyombo vya Ulinzi na Usalama ili sheria ifuate mkondo wake kwa wahusika wote
TULINDE MIUNDOMBINU YETU KWA MANUFAA YA TAIFA.
Kwa Mawasiliano
Kituo cha Miito ya Simu Makao Makuu 0768985100/0222194400
www.tanesco.co.tz
www.facebook/twitter.com/tanescoyetu
customer.service@tanesco.co.tz
Imetolewa na:
Leila Muhaji
Kaimu Meneja Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Mpendwa mtejaTunashukuru ndugu TANESCO..
Mimi ni mkazi wa Morogoro, kata ya Kilimanjaro. Huku ni makazi mapya na watu siyo wengi sana. Ni eneo ambako majenzi yanaendelea kwa kasi. Shida yetu ni umeme. Tulijaribu kufuatilia ofisi ya TANESCO Morogoro na tulipewa ahadi tam sana kwamba eneo letu lilikuwa kwenye mradi wa REA na tuliahidiwa umeme ingefika mnamo mwezi April, 2016. Mwezi huo ulipita na mwaka ukapita hakuna dalili wala nini. Tuliendelea kufuatilia lakni yakaibuka maelezo mengine kibao.. kama transfoma, nk..
Nadhani tufike mahali tuseme kwamba mambo ya kuzungushana yalishapitwa na wakati. TANESCO inafanya biashara na kuunganisha wateja wapya maana yake ni kuongeza biashara. Basi tunaomba swala la umeme kwa sie wakazi wa Kihonda Kilimanjaro mtaa wa YESPA tupate umeme.
Natanguliza shukrani kama nitajibiwa
maana si rahisi sisi kujua hapo ni wapi haswa kwa kutumia picha tu.
Tunaomba namba yako ya simuMKOA MOROGORO
WILAYA KILOMBERO
KATA. NAMWAWALA
KIJIJI NAMWAWALA . Kijiji kipo umbali wa Kilometa 30 kutoka IFAKARA Kuelekea MLIMBA. JIMBO la Uchaguzi ni MLIMBA.
TANESCO Wilaya Kilombero , Mkoa Morogoro , Makao Makuu fuatilieni huo mradi REA hapo kijijini kwanini wamekwepesha kipande cha hiyo laini kupitisha kandokando ya barabara kuu?
Kuna nini nyums ya Pazia ?
Unafuka office ya eneo lako utajaza fomu kisha uchunguzi utafanyika kama umeme huo huajaingia ikidhibita utapewa umeme wakonauliza ikiwa nimenunua luku kwa mitandao ya simu na bahati mbaya nikawa nimekosea namba za miya na kumnunulia mtu mwingine! vp utaratibu ea kubadirisjiwa token... asante na tafadhali
Tunaomba namba yako ya simu na namba ya taarifa ambayo umewahi kupewaTransforma iliyopo BUZA kanisani Kata ya Buza Wilaya ya Temeke inakuwaga na tatizo la kupiga shoti na kutoa cheche kali Mara kwa Mara, hilo tatizo lina zaidi ya mwaka sasa halijafanyiwa kazi. Ni vyema mkaishughulikia kabla haijaleta maafa one day, maana inatia hofu sana kwa wakazi wa maeneo hayo.
Tumeipokea mkuu uchunguzi utafanyika kuthibitisha kama aloyetuhumiwa ni mfanyakazi wetu au laa ikiwemo kupitia ushahidi wako.tumeipokea kwa ufatiliajiNimelipia umeme hii sasa inaenda mwezi wapili na nguzo ipo ndani ya mita 30 ila sijafungiwa mpaka leo na kuna mfanyakazi wenu anaomba rushwa ya ngono ili aweze kufunga umeme kwangu tena anamuomba mke wangu na ashajulishwa na haogopi na kasema kama anataka umeme amkubalie kwanza ndio umeme uingie yupo tanesco charambe na namba yake ya simu ni hii 0712949598 na nilimrekodi maongezi yake hivi ndio utaratibu mliojiwekea hamuweki umeme bila rushwa ya ngono sasa me jumatano au alhamisi naamkia ofisini kwenu ila mjue hilo