Nunua stabilizer mkuu,tena iwe na nguvu kwa ajili ya kulinda mali zako.Hata hivyo umeme ukiwa low voltage au high voltage kila saa unashauriwa kuzima kila kitu mpaka hali itakapotengemaa.Poleni sana
 
Habari za mida hii waungwana,

Asubuhi ya leo baada ya kuona units za luku zimebaki kidogo ndipo nikafanya muamala wangu wa M-Pesa kununua units nyingine.

Kimbembe wakati wa kuziweka, nimejaribu mara nyingi sana nikashindwa. Nikamkumbuka rafiki yangu mmoja yupo TANESCO nikampigia kanambia kuwa kuna tatizo kwenye system tangu jana usiku so izo token nimepewa sio sahihi na sio mimi peke yangu niliepatwa na hili.

Akanambia nikanunue umeme mwingine kwa mawakala wakubwa wakati nasubiria mchakato kuhusu huu muamala wangu.

So kwa ambae amewahi kukumbwa na hili hatua gani ulizichukua ili kurudishiwa pesa yako au kupewa token sahihi?

Alafu kitu kingine kama wanaona kuna tatizo kwanini wasiwape tahadhari watumiaji ili kuepusha usumbufu?

Ni hayo tu wasalaam
 
pole,ushaliwa mkuu,kwa ubabaishaji wa hii nchi sidhani kama tatizo lako litarekebishwa..
 
Uko too negative.
No mkuu,i`ve been through these,na hakuna la maana lilifanyika,hasa kwenye upande huo wa kielektroniki,si miamala,umeme wala mambo ya simu(mitandao)hakuna huduma za haki kwa wateja,akirekebishiwa huyo nakufa ha
 
duuh ata kufariji amna yaani
 
Tatizo lilikuwepo lakini sasa limeisha unaweza kuweka token yako itakubali
 
Dah kumbe sio mimi tu jana nilimpa elfu 25,000 ya awamu ya tano ilivyo ngumu kuipata ili akanunue luku kwa mawakala wa MAX MALIPO kumbe nilivyotoka akaona uvivu akaamua kuweka hela m.pesa anunue mwenyewe kapewa unit bandia jana tumelala giza ila nilimtwanga kibao matata nimetoka nyumbani hatuongeleshani sababu ya upuuzi wa tanesco.
 
duuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
ko umechukua hatua gani asee
 
Back
Top Bottom