Naitwa mahuzurio mhozya
Niko Rwamgasa Geita
Mtaa wa Nyerere mtu maarufu kushaa

Tatizo la mita yangu inakula Sana umeme kwa mwezi unit 270
Vifaa navyotumia umeme
Friza 3 tv 3 computer 1 kinanda Cha kuchaji simu 1
Zamani nilikuwa natumia unit 80

Namba ya mita yangu Ni 2421 0934329

Naomba msaada wenu
 
Tumepokea ushauri mkuu
 
Kuna tatizo gani Mbezi Beach B umeme hakuna tangu saa 5 asubuhi na haujarudi mpaka sasa?
 
Ivi jamani Hawa TANESCO huku maeneo ya mapinga had Kerege/bagamoyo,,,,,,,,,,kwann kila siku iendayo kwa Mungu wanakata umeme? Tatizo nn aswa, meneja wa Tanesco maeneo ya kule anapaswa apumzishwe, sisi wenye viwanda vidogo imekuwa ni kero kubwa kabisa, juzi jana na leo saizi washakata, , miezi yote ndio mtindo huohuo
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Kwetu huku Msongola Yangeyange jimbo la Ukonga Daresalaam tuliwekewa nyaya kubwa (Ht lines) pamoja na nyaya ndogo (Lv lines) lakini tangia mwaka jana mafundi hawajarudi tena!!

Waya tunaziona tu lakini hatuna umeme, hatuwezi kuanza taratibu za kuomba umeme kwa kuwa hakujafungwa Tranfoma, sasa sijui shida ni nini mwezi wa sita sasa tunaziona nyaya tu.

Tanesco Gongo la mboto waseme lolote tatizo liko wapi!??
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Nyumba yangu iko ukonga, meter no. yangu. ni 24219542842, ni nyumba ya wapangaji, walichokonoa luku, nimelipa laki 450,000 mmerudisha umeme, lakini unit mnaniuzia Kwa bei kubwa maana nalipa nikiwa mkoani, unit moja nimejaribu kununua mpesa, 500 napata 0.4 unit!

Hii sio haki, hata kama na riba itoeni! huwa hatuendagi hivyo! Hat dangote hanunui umeme kwa bei hiyo! Jina la meter ni aloyce ryoba. Hata tarrif 3 hawalipagi hivyo. 0765825819
 
Ndugu mpendwa mteja bei halisi ya umeme kwa kundi lako ni tsh 292 kwa unit bila kodi, umenunua umeme wa tsh 500 umekatwa kodi 22.54, deni 375 ndio iliyobaki umeme tarehe 25 leo mumla ya deni lako mpaka sasa ni tsh 1,0152,288
 
Kikubwa nilichokuwa nikiomba kwenu, ni kutolewa/ama kupunguziwa riba kwenye hili deni, vyuma vimekaza! Kweli katika umeme Wa 500 tu mnakata 375! Sawa na 75%!

Hii si rafiki kabisa Kwa mteja wenu, wekeni japo nusu kwa nusu makato, naumia! Hali yenyewe mnaijua, au japo mkate 45% naomba ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…