Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji

Bora nisiwe na umeme ama maji ya bomba kuliko kutawaliwa na mtu muovu.
Hapo umedhirisha uafrica kabisaa...waafrica wamezoea kuish kimakskn sana..yaan ukose maji na umeme..unaona ni sawa..magu alikuwa anawanyoroshaa wezi wa nchi hii..bas na ww ulikiwa mwiz jomba
 
Hapo umedhirisha uafrica kabisaa...waafrica wamezoea kuish kimakskn sana..yaan ukose maji na umeme..unaona ni sawa..magu alikuwa anawanyoroshaa wezi wa nchi hii..bas na ww ulikiwa mwiz jomba

Ananyoosha kwa wizi wa 1.5t na lile kundi lake la watu wasiojulikana?
 
Kwenye hii issue ya umeme nitakataa kila kauli inayotoka kwa wanasiasa wetu Hawa.... Mheshimiwa Rais ifikie hatua ajue kwamba yeye sio msemaji wa kila kitu....na hotuba zake zisilenge kuwatetea watendaji wake. Huku chini WANANCHI tunateseka Sana maana tuliowategemea japo kukemea wametetea.

WANANCHI tunataka huduma za msingi Kama vile maji na umeme. Kumbuka mlituwekea tozo nyingi kwa kutuaminisha kuwa zinaenda kutusaidia kwenye social services.....
We need water.
We need electricity.
Nchi iPo kwenye uchumi wa kati
 
Katiba yetu si inaruhusu maandamano??
Kuna mtu amepewa majibu ya kuridhisha juu ya kilichosababisha mgawo??
Kwanini tusiandamane ili hii mipuuzi iache kutuzoea?
Tukiichekea itaanza na Mgawo wa kutoka nje
 
Novemba ulitangazwa mgao!

Februari napo umetangazwa mgao.

Hawa watu [CCM, Tanesco] hawaiwezi hii kazi.

Ni majuha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom