Waziri anaitwa January mgao kauweka February, jamaa ajitafakari sana. Nilikutana na mzungu Ardhi Institute mwaka 90 alikuwa katoka Denmark anasema toka azaliwe hajawahi shuhudia umeme kukatika na hapo alikuwa na miaka 36 sasa nawaza hao wenzetu vifaa vyao huwa havihitaji marekebisho?Sijawahi kuona mgao wa kuanza saa 2 asubuhi hadi saa 6 usiku duniani kote!