Tanesco acheni ratiba ya kukata umeme usiku. Ni hatari kwa usalama

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
TANESCO huku nilipo kila ijumaa mnakataa umeme kuanzia jioni hadi usiku wa saa tano au saa sita.

Sasa kwa style hii vibaka, wezi au majambazi wanaweza tumia ratiba hii kama fursa ya kufanya matukio yao kutokana na giza kuwepo.

Kwa maana wanajua kila ijumaa mnakataa umeme muda huo basi ikawa tija kwao.
 
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kheri nyie wanakata usiku sisi asubuhi mpaka usiku, tuuheshimu msemo wa Biteko kuwa mgao ulikwisha.
Magufuli yuko ofisini anachapa kazi.
 
Back
Top Bottom