TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

Nafasi bado ziko burundi naomba tuhamie huko
Mgao wa wa umeme na kuhamia Burundi inawahusu CHADEMA tu bwashee..
Jilize kama mbuzi.. ”kazi iendelee” utakula kwa urefu wa kamba utayofungwa nayo.
 
Hapana kwa kweli, try to consider.
Jaribuni kuangalia uhalisia huo ni mgao wa masaa 16 mfululizo!!
Real hakuna mgao hapo ila ni kuna deal inatengeneza ili kufanikisha deal kutiki, huko mbele kama hawatatuambia vifaa vingi ni chakavu basi analetwa muwekezaji wa kuchuma matunda yaliyoiva.

But tukumbuke pasi hivi wanavyotufanyia kuna kontena za majenereta kutoka china yatadoda.
 
1643623269685.png
 
Hapana kwa kweli, try to consider.
Jaribuni kuangalia uhalisia huo ni mgao wa masaa 16 mfululizo!!
Ila ni kwa siku moja tu kama tatizo la kukatikakatika kwa umeme litakwisha kweli ni bora kuliko kuwa na mgao usio kuwa na mwisho
 
concern yangu iko kuanzia juu kwenye management mpaka kwenye operations...kazi nyingi za kamlete ziko huko kwenye operations ambako ndio sehemu critical...kuanzia Engineers wa kanda, engineers kwenye operations mbalimbali, directors wa operations, and the whole technical team...
Kama management na CEO ni bure , huwezi kuona ubora au udhaifu wa technical team, performance ya technical team inategemea hao watu hapo juu, Makamba amemleta mshikaji wake Chande, wote hakuna wanachojua zaidi ya kupiga pics na mamiwana makubwa.
 
Back
Top Bottom