Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

Hata waseme nini, mtu hawezi akakopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati tena bila ruhusa ya bunge, hii haikubaliki, maana tunaweza kuja kupigwa mnada namna hii, hili lazima litaondoka na mtu!
Tushakata midomo sasa, as i told you mtanyooka. Na ule mnyororo wote ndio tunaenda kuuzika sasa, mbwa nyie.
 
Uko sahihi100%
 
Maswala za uccm na uchadema tupia kule ila hatokaa atokee mwamba mwenye Koo ya kiume misimamo thabiti katika nchi hii Kama mbowe uyu jamaa serikali imempa kila aina ya maumivu imeingilia shughuli zake zingine zimekufa kabisa kapewa wakina sabaya wakadili nae wampoteze mwisho wa siku sabaya kapotezwa yeye mwamba mahabusu pamekua Kama ndo chumbani kwake pa kulala but akitoa mawazo yake kwa kile anachokiamini atakifia hicho hicho na hio ndo maana ya uongozi

Mfano mzuri ni mawazo yake ya serikali kupitisha katiba mpya anamini katiba mpya itakua tiba ya Mambo mengi ya kiungozi katika nchi hii serikali haiko tayari wamemnyamazisha mwamba anasota mahabusu wamempiga kesi nzito but msimamo wake ni huo sio kwamba kule mahabusu ni pazuri sio kwamba huu muda aliokaa gerezani shughuli zake haziitaji uangalizi wake but kapuuzia vyote hivyo kaona Bora wamfunge ila katiba mpya kwa nchi hii kwake ndio tiba huo ndio msimamo wa kiuongozi

Huyu spika ameshindwa kujifunza hata kidogo tu kwa huyu mwamba ishu ni mikopo imezidi huu uongozi unakuja baada ya muda unapita wanavyoacha madeni makubwa kiasi hiki itakuja kuathiri vizazi vyetu mbeleni sababu athari za mikopo hutoziona Sasa zitakuja onekana wakati waliotukopa watakapohitaji pesa zao na hatuna kwa wakati huo what next...

Spika umeongea ukweli ila umekosa sifa ya kua kiongozi kwa kushindwa kusimamia ulichokiamini kwenye mhimili wako shame on you
 
Msimamo katka maisha huwa nikitu muhimu sana ila ukikosa msimamo mwisho wa siku ndiyo hayo unajikuta unadharilika kizembe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…