Ni kweli, A-Level Azania walikuwa vibonde. Lakini O-Level ni vizuri umekubali Tambaza walikuwa wanateswa.
Kulikuwa na pointi saba Azania kila mwaka, Abdil Rashid, Frank Minja, Omary Mtiga... just being objective
Hiyo ndio Azania babu miaka yetu.....
Ni kweli, A-Level Azania walikuwa vibonde. Lakini O-Level ni vizuri umekubali Tambaza walikuwa wanateswa.
Kulikuwa na pointi saba Azania kila mwaka, Abdil Rashid, Frank Minja, Omary Mtiga... just being objective
...Well sijui lolote kuhusu Tambaza kwa kifupi sijui mengi kuhusiana na shule nyingi za mjini hapa
Mkuu wakati wewe uko 22 probably mimi nilikuwa nachezea bakora za first lady darasa la tatu.
I know, I know, ulienda IST, as per your entries in the IST thread. Lakini sijui ulienda lini huko maana huyo first lady alifundisha Mbuyuni!
By the way, wakati wa utoto ndio IST ilikuwa ikionekana magoli. Lakini looking back sasa hivi naona ni bora nimesoma shule zetu za Uswai, I'm so ever proud of the education I got, kuliko huko mlikokuwa mnasoma na Wazambia, na Wa Nigeria na wa Wa Russia. Kuanzia msingi mpaka sekondari nimekutana na Watanzania wenzangu, walimu na wanafunzi ambao baadhi nimejenga nao udugu maisha. Kwa kujichanganya na Wabongo kutoka nyanja na hali zote za maisha nimejifunza mambo kibao, tabia zetu, utamaduni wetu, lugha yetu, matatizo ya elimu yetu, na kujua Watanzania wanavyofikiri. Na kama ni hiyo lugha ya Kiingereza ya IST, sidhani kama kuna Mnigeria au Mrusi nitakutana nae sasa hivi atanitingisha na kiingereza mdosho cha Abuja!
Sijasema nimesoma IST ebo!! kuwekeana maneno mdomoni.
Darwin unawakumbuka wale Zambian sisters Comfort na Joyce kama sikosei? one of the Moshas(yuko NY), Seame na kaka yake?
Mkuu ulifanya MUN na IAS?
Sasa Yo Yo wewe umeondoka darasa la mwaka gani?
Go Twigas
Toleo la tatu la Alumni Newsletter linatoka karibuni. Yo Yo nategemea ushajiregister kwenye Alumni Association.
Huyu ni yule wa Vancouver? wewe ulisoma na kina Lara, Kristine, Aisha sykes, Ikechukwu?
Ha haaaa aaaaa aaaaaaaa
Sasa mwanangu ilitaka kuchukua ujiko wa bure ukajisahau ukataja mwalimu wako Mama Kikwete wa Mbuyuni?
I guess ulikuwa unazuga maana hawa watoto hapa sijui umewajuaje, ulikuwa unawasubiri getini IST, hanh?
Eti "sijui lolote kuhusu shule za hapa mjini." Watu wengine hawako comfortable na background zao. Again, I am terribly proudful of the good old homespun Tambaza's and the Mzizima's and the Azania's and Mgulani's, and Mlimani Primary and Mtendeni and Gerezani and tuition za madarasani Magomeni Primary and what have you...
Mama Kikwete hakuanzia wala kumalizia career yake ya kufundisha Mbuyuni.
Ulifundishwa na Mama Kikwete, umesema. Nikasema mbona Mama Kikwete kafundisha Mbuyuni, sio IST?
Unasema teaching career yake yote haikuwa Mbuyuni Primary peke yake.
Kwa hiyo unataka ku insinuate kwamba at some point Mama Kikwete alifundisha IST???? Popote alipofundisha zaidi ya Mbuyuni au IST, if ever, is besides the point. Mama Kikwete alifundisha IST ipi, lini? This is humorous!!

Yakhe, mbona mihasira namna hiyo eh? Well sijui lolote kuhusu Tambaza kwa kifupi sijui mengi kuhusiana na shule nyingi za mjini hapa unless nilikuwa nafuata chicks (Jangwani, Zanaki, Shaban Robert na Mzizima). Ila nakumbuka jinsi cousins wangu walivyokuwa wanaogopa kwenda shule kisa wanafunzi wa Tambaza wanatishia kuwafanyia fujo eti hao ndio viongozi wetu siku zijazo.
Mkuu wakati wewe uko 22 probably mimi nilikuwa nachezea bakora za first lady darasa la tatu.
Wakubwa.... hii thread ipambeni kwa mambo ya Tambaza, where Jabali la muziki was there...
Mwanameka eeeh, eeeeh! Mwanameka Jirani Yangu...
Ukabadili na njia eee, lazima upite kwa Musa
Ukenda sokoni kwa Musa....
Musa amevumilia eee, mwisho kapotea njia
Kakusimamisha bila kutambua, akazungumza neno la mapenzi
Kwako wala habanduki, kwa mkewe hakumbuki
.....
Mara Musa humtaki, hata kumuona hupendi
....
Jama Musa ameumbuka, kakosa mwana na maji ya moto
....
Hakuliki wala hakulaliki, mpaka Musa akatoa talaka
....
Ooo bwana Musa hatokushau mpaka kufa
Tena amekwisha apa, mambo ya upuuzi hataki tena
Kesha umwa na nyoka, akiona unyasi....
Mara ya kwanza niliposoma comments zake nilifikiri ni mtu wa Kinondoni Muslim, lakini kila nilipoendelea yawezakana kabisa mazee yule alisoma ile shule ya Almuntanzir pale Upanga... sijui kama spelling nimepatia. Ni shule fulani hivi wanafunzi wake walikuwa hawawezi kukatisha barabara pale UN road bila msaada kutoka kwa traffic police kutoka Salander bridge. Wanafunzi wa kike walikuwa wanavaa full cover, dizaini dizaini zile mtu unaweza kukutana nazo ukiwa Kabul.
KadaMpinzani naye nahisi alisoma shule hiyo... ngoja aje hapa a-substantiate... lol

Kweli kabisa Chale alikuwa kituko kweli kweli, mdomo ulikuwa mzito kweli. Haswa sisi wakina dada tukiwa tunamuongelesha. ILa mimi namuaminia kwenye practicals za bios alikuwa anaelekeza vizuri, vile vile alikuwa najua jinsi ya kufanya kazi yake ya lab technician.hahhahahaha mwalimu chale nilikutana nae nilivyoendaga kuchukua vyeti vya ndugu yangu, alikuwa ame base kwenye lab ya biology, alikuwa kituko mdomo mziiito , unakumbuka mikwara yake?
MTM,
Nimekusikia mkuu wangu, kuna mtu wa IST hapa alidai hajui cha Tambaza wala cha shule zetu kumbe anazuga.