Nimesikitika sana, Sikutegemea kama Taifa zima lipo hivi

Nimesikitika sana, Sikutegemea kama Taifa zima lipo hivi

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,210
Reaction score
6,774
Toka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini?

Viongozi wanawaza nini? Ila connections za akina Rihanna, J. Lo watu wanataka sana. Dogo mmoja ananiambia nikiwa room na miss world 2024 nimchukue video nimtumie. Nikamuuliza itakusaidia nini?akawa anakenua tu meno.

Mimi kuwala hawa warembo wa Dunia ni normal tu kwangu halafu huo muda wa kuchukua video haupatikani kabisa tunakuwa busy nikiwakilisha Waafrika wenzangu.

Hakuna hata mmoja ambaye amewahi kuuliza Billionea Lugano nini chanzo cha Utajiri wenu na wako? Angalau kidogo kuna madada humu JF hao waliomba niweze kuzaa nao wapate watoto wenye akili kama mimi. Shida tu nilipokuwa nawapeleka kufanya interviews walikuwa wanafail kwa sababu mbalimbali ambazo naomba nisiziweke hapa.

Watanzania asilimia zaidi ya 90 wanakula milo 4 mpaka mitano kwa siku kutokana na umaskini. Lakini wala hawajali kabisa kujikwamua. Unamuuliza mtu pato lako kwa siku tsh ngapi? Anakuambia Tsh 50,000. Unajiuliza huyu anaishije? Maisha gani hayo? Ila anataka connections za madem. Mambo ya uchumi hawazi..

Nakutana na viongozi wakubwa tu wanaishia kuomba pesa za kampeni tu kwa sasa. Nashangaa sana. Kama Taifa mnakwenda wapi?
 
Ila JF bwana , hata walioifungia huwa wanacheka sanaa
73b1a05b6268804864ca9c0a7f6f3f67.jpg
 
Toka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini?

Viongozi wanawaza nini? Ila connections za akina Rihanna, J.Lo watu wanataka sana. Dogo mmoja ananiambia nikiwa room na miss world 2024 nimchukue video nimtumie.nikamuuliza itakusaidia nini?akawa anakenua tu meno.

Mimi kuwala hawa warembo wa Dunia ni normal tu kwangu halafu huo muda wa kuchukua video haupatikani kabisa tunakuwa busy nikiwakilisha Waafrika wenzangu.

Hakuna hata mmoja ambaye amewahi kuuliza Billionea Lugano nini chanzo cha Utajiri wenu na wako? Angalau kidogo kuna madada humu JF hao waliomba niweze kuzaa nao wapate watoto wenye akili kama mimi. Shida tu nilipokuwa nawapeleka kufanya interviews walikuwa wanafail kwa sababu mbalimbali ambazo naomba nisiziweke hapa..

Watanzania asilimia zaidi ya 90 wanakula milo 4 mpaka mitano kwa siku kutokana na umaskini. Lakini wala hawajali kabisa kujikwamua. Unamuuliza mtu pato lako kwa siku tsh ngapi? Anakuambia tsh 50,000. Unajiuliza huyu anaishije? Maisha gani hayo?ila anataka connections za madem. Mambo ya uchumi hawazi..

Nakutana na viongozi wakubwa tu wanaishia kuomba pesa za kampeni tu kwa sasa. Nashangaa sana. Kama Taifa mnakwenda wapi?
downloadfile.gif
 
Back
Top Bottom