Nikashindwa nako maana mikwaju ilizidi lakini kwa kukumbusha tuu ni kuwa mimi nimesoma na akina HAMIDU MACHUPA, SHUSHU na BEDA ambao dingi wao alikuwa ndiye owner wa Langata na walikuwa wanaishi Mikocheni karibu na kwa mzee Muhaji
una la zaidi?
hahahhahahahhahaaaaa mbavu siiiiina, no amina chifupa wa juzi sana , sasa mwanangu mtapiganaje huku mnajikuna hahhahahaTambaza ya mwaka gani hiyo mkapigwa na Pugu nyinyi wazembe nyinyi? aaaaah!
Hiyo itakuwa Tambaza ya 2000 ya kina marehemu Amina Chifupa!
Huko Pugu kulikuwa na mwalimu mmoja fisadi eti ana reputation ya kutunga mitihani ya taifa ya Physics form six ( what's his name again?), basi inabidi mwende tuition kwake, all the way from city center mnapanda vichai-maharage vya Gongo la Mboto (Tambaza Physics walimu walikuwa watupu, kama alumni mmoja alivyosema hapo juu...) Wanafunzi wa Pugu tulikuwa tunawaona wakulimaaaa, tuko ugenini halafu wanatuogopa.
What's funny ni kwamba mwalimu mtunga mitihani wa NECTA eti anafundisha practical physics ubaoni, sio lab, darasani, kwa lecture!!!!! Elimu yetu Bongo duuuuh!
mhhhh mkuu Salute kumbe umakula mvua nha..........?!!!!Wakubwa.... hii thread ipambeni kwa mambo ya Tambaza, where Jabali la muziki was there, akina footballers na other celebrities plus academics wamepita; wajanja na mafisadi!!! Talents na all egos plus the real Gs wa miaka yote
late eighties were fantastic to be o level student at TAmbaza, compounded by the crazy double shif in 1988, crazy boys etc. etc... the A-Levels were respected yes unfeared!!!
I remember when danida installed new lights and re-wiring of the school only to last for few months
Thats TAmbaza too
mhhhh shost weee naona ni baada ya akina amina chipupa eeee, maana hostel zilikuwa za wanaume tu enzi zangu mie kagaruki alikuwa anaenda kuwafurumusha asubuhi maana wamezidi uchafu wanaficha mikate kwenye magodoro blue band kwenye mito hahhahaah wapi Eric Masanja , tunnyfish, Joachim(CBG),Said Yakub, Mariam (manywele) Neyciah ooooh wako wengi sana uuuuuuh Josephine(Tall kama model)Mie nilikuwa enzi za Headmaster Kaaya pale, namkumbuka Hassani nilisoma tution yake pale ubungo, alikuwa anabania kufundisha vizuri skul, ila ukienda tution anatoa materials si mchezo. Ticha chale alikuwa mkali wa bios practical, academic master Kagaruki alikuwa ananiacha hoi pale vifaa vya usafi anaaviita apparatus.
Nilikuwa Hostel pale tambaza, basi tulikuwa tunatoroka kwenye tobo kule nyuma kwenye mnara wa simu kuna seng'eng'e ilikuwa imetoboka, lilikuwa tobo la kupitia ili yule matron asituone tunavyoenda kununua viepe muhimbili.
I remember those days, I wish zingerudi.
mhhhh mkuu Salute kumbe umakula mvua nha..........?!!!!
1988 where was i...................??????????
yeah sure we r lucky, umestukia tambaza wamejaa kila kona? halafu wana kaumoja kao flani ambako hakafi.Yeah.. not much though
As long as you uliwahi kupita pale, your footsteps are alsways there and we were always feeling as one NO MATTER WHAT!!! I am lucky to pass there too [luckier that i have experienced more than 2 sedondary schools in my education]
HIVI HAKUNA TAMBAZA ALUMNI AU YAHOO.GROUP AROUND??
Mliosoma Tambaza washua wenu walikuwa hawana uwezo wa kuwapeleka shule kali kama Mzizima na SRSS....
Yeah sure..... Depends on miaka gani you are referring to!!! 70s?, 80?, 90?, au hii ya chekechea??
Mid to late 80's and early to mid 90s...
Magari mengi ya ST yalikuwa yanaenda kuchukua watoto shule za SRSS na Mzizima na watoto wengi walikuwa wakienda na magari yao wenyewe. Nyie mlikuwa mnapanda mi daladala
Nadhani anaongelea hiii miaka ya chekechea...., hata hivyo Mkuu Nyani Ngabu sio kila mtu alikuwa qualified kwenda Tambaza kama watoto wa "matajiri" mmetoka na 'F' zenu hukoo hakuna nafasi Tambaza , sorry if u wil b offended but thats simply true VILAZA hawagusi TamsYeah sure..... Depends on miaka gani you are referring to!!! 70s?, 80?, 90?, au hii ya chekechea??
Nadhani anaongelea hiii miaka ya chekechea...., hata hivyo Mkuu Nyani Ngabu sio kila mtu alikuwa qualified kwenda Tambaza kama watoto wa "matajiri" mmetoka na 'F' zenu hukoo hakuna nafasi Tambaza , sorry if u wil b offended but thats simply true VILAZA hawagusi Tams
Unacheza wewe...watu tulifumua pointi saba...na darasa la saba tulifaulu vile vile lakini tukaamua kupelekwa shule private. Hata nyinyi mngekuwa na uwezo msinge turn down fursa ya kwenda kusoma SRSS au Mzizima...
Duh... pointi saba A level au O level????, usichokoze details za waliopata saba wakaenda kusoma majamatini aisee, zipo hizo!!!!!
Kwani pointi saba iko level gani?
Unataka kuniambia SRSS na Mzizima kulikuwa hakuna pointi saba? Na kwa taarifa yako hizo shule zina a level pia..
Forget point saba....watu wamekuwa kwenye Dean's list miaka yote minne na kuhitimu na ma magna cum laude na summa cum laude....
Kwani pointi saba iko level gani?
Unataka kuniambia SRSS na Mzizima kulikuwa hakuna pointi saba? Na kwa taarifa yako hizo shule zina a level pia..
Forget point saba....watu wamekuwa kwenye Dean's list miaka yote minne na kuhitimu na ma magna cum laude na summa cum laude....
Yeah mie nilikuwepo Tambs baada ya akina amina chifupa, Hostel zilikuwa za wasichana tupu wanaochukua science. Hadi sasa nadhani hostel ni wasichana tupu.mhhhh shost weee naona ni baada ya akina amina chipupa eeee, maana hostel zilikuwa za wanaume tu enzi zangu mie kagaruki alikuwa anaenda kuwafurumusha asubuhi maana wamezidi uchafu wanaficha mikate kwenye magodoro blue band kwenye mito hahhahaah wapi Eric Masanja , tunnyfish, Joachim(CBG),Said Yakub, Mariam (manywele) Neyciah ooooh wako wengi sana uuuuuuh Josephine(Tall kama model)
hahahah, umeniacha hoi na mambo ya Mkandawile, alikuwa mkali kwenye organic chemistry si mchezo. Na sasa ana high skul yake mitaa ya pugu.hahahhahahahhahaaaaa mbavu siiiiina, no amina chifupa wa juzi sana , sasa mwanangu mtapiganaje huku mnajikuna hahhahaha
unamuongelea mwalimu gani MKANDAWILE mzee wa MASUTI AU? huyo anasuti yake ya rangi ya kijani na damu ya mzeee hata kukiwa na jua kali vipi yumo tuuuu , alikwa kitukooo darasani na mineno yake
hahahah, umeniacha hoi na mambo ya Mkandawile, alikuwa mkali kwenye organic chemistry si mchezo. Na sasa ana high skul yake mitaa ya pugu.