popie JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 801 Reaction score 577 Jul 2, 2019 #101 Zile enzi kama umesoma tambaza halafu hujawahi kuvuta bangi basi wewe ni wakuja
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,837 Jul 2, 2019 #102 popie said: Zile enzi kama umesoma tambaza halafu hujawahi kuvuta bangi basi wewe ni wakuja Click to expand... Labda kwa ilivyokuwa O’ level lakini baada ya kuwa A ‘level tu na kuwa Co’ school mambo hayo sizani kama yalikuwepo! Nidhamu ilirejea kwa upya! Tambaza ilikuwa Shule ya ndoto yangu na ndoto ikatimia Utukufu kwa Bwana Mungu! Nilikuwa navutiwa na zile uniforms zao, dark grey, soksi nyeusi ilikuwa tamu sana! Sema baadae zikachakachuliwa rangi ikawa siyo hiyo tena ikaanza kufanana na kambangwa ! Namkumbuka Mwalimu Kaaya Head Master, Naomi Kaiyula , Millinga , Cosmas etc
popie said: Zile enzi kama umesoma tambaza halafu hujawahi kuvuta bangi basi wewe ni wakuja Click to expand... Labda kwa ilivyokuwa O’ level lakini baada ya kuwa A ‘level tu na kuwa Co’ school mambo hayo sizani kama yalikuwepo! Nidhamu ilirejea kwa upya! Tambaza ilikuwa Shule ya ndoto yangu na ndoto ikatimia Utukufu kwa Bwana Mungu! Nilikuwa navutiwa na zile uniforms zao, dark grey, soksi nyeusi ilikuwa tamu sana! Sema baadae zikachakachuliwa rangi ikawa siyo hiyo tena ikaanza kufanana na kambangwa ! Namkumbuka Mwalimu Kaaya Head Master, Naomi Kaiyula , Millinga , Cosmas etc