Tambaza Taifa Kubwa!!

Tambaza Taifa Kubwa!!

hahahhahahahhahaaaaa mbavu siiiiina, no amina chifupa wa juzi sana , sasa mwanangu mtapiganaje huku mnajikuna hahhahaha
unamuongelea mwalimu gani MKANDAWILE mzee wa MASUTI AU? huyo anasuti yake ya rangi ya kijani na damu ya mzeee hata kukiwa na jua kali vipi yumo tuuuu , alikwa kitukooo darasani na mineno yake

Yeeeees! Mkandawile, hahahahhaaaaaa! That old dude teacher was clowning! Mtaalam wa practical physics, kila siku topic ile ile tu, Pendulum, Pendulum, Pendulum, formula liko moja tu lakini linafinyangwa finyangwa mara mia nne, halafu tukariri!

dde61021-1092-4201-a388-2589824dc10e.gif
 
Kwani pointi saba iko level gani?

Unataka kuniambia SRSS na Mzizima kulikuwa hakuna pointi saba? Na kwa taarifa yako hizo shule zina a level pia..

Forget point saba....watu wamekuwa kwenye Dean's list miaka yote minne na kuhitimu na ma magna cum laude na summa cum laude....

Basi mtoto wa shule za jamatini, umeniweza!!!!! Kama ni za A-level ni nyingi sana; kama ni za O level, yeah maybe one ya mhindi mmoja [miaka hiyo niliyosoma mimi nyuma ya akina abdil na ndomba!!!
 
Yeah mie nilikuwepo Tambs baada ya akina amina chifupa, Hostel zilikuwa za wasichana tupu wanaochukua science. Hadi sasa nadhani hostel ni wasichana tupu.
yeah nina watoto wa kaka yangu wanasoma pale, so nyie hamkukuta WUTAMBA maana alivyokuja kaaya nasikia akaipiga marufuku maana ilikuwa ni naught by nature
 
Unacheza wewe...watu tulifumua pointi saba...na darasa la saba tulifaulu vile vile lakini tukaamua kupelekwa shule private. Hata nyinyi mngekuwa na uwezo msinge turn down fursa ya kwenda kusoma SRSS au Mzizima...
yeah wala sikukataliii najua point 7 zenu ndio failure za university, mnajaza madarasa tu mwaka wa kwanza mna disco, maana mitihani mlikuwa mnapewa kabla kisa headmaster/mistress ananunua mitihani kupitia hela za baba zenu. therefore its true mlikuwa mna hata one za point one kamazingekuwepo , lakini 'F' za elimu ya juuuu. pole mkuu ni ukweli tuuu simaanishi nakuattack.
 
hahahah, umeniacha hoi na mambo ya Mkandawile, alikuwa mkali kwenye organic chemistry si mchezo. Na sasa ana high skul yake mitaa ya pugu.
wow ameprosper jamaniii , nakumbuka hiyo ndio ndoto yake hata darasani (tution) alikuwa anasema , am glad he made some steps
thanks for info mwaya
 
Yeeeees! Mkandawile, hahahahhaaaaaa! That old dude teacher was clowning! Mtaalam wa practical physics, kila siku topic ile ile tu, Pendulum, Pendulum, Pendulum, formula liko moja tu lakini linafinyangwa finyangwa mara mia nne, halafu tukariri!

dde61021-1092-4201-a388-2589824dc10e.gif
ahahahhahahahaaa yule mwalimu alikuwa na vituko jamani alinipaga jina mie na kaka mmoja tulikuwa tunawahiana viti kila siku, si unakumbuka kuingia darani kwa purukushani? basi akituona tunaongea tu ananza kutuoa story zake za alfa ulela ulela, akatutunga na majina lol, but was fun
 
yeah wala sikukataliii najua point 7 zenu ndio failure za university, mnajaza madarasa tu mwaka wa kwanza mna disco, maana mitihani mlikuwa mnapewa kabla kisa headmaster/mistress ananunua mitihani kupitia hela za baba zenu. therefore its true mlikuwa mna hata one za point one kamazingekuwepo , lakini 'F' za elimu ya juuuu. pole mkuu ni ukweli tuuu simaanishi nakuattack.

watu wa kwenye circles zangu wote walifumua o-level na kutimua. hakuna hata mmoja aliyehangaika na lichuo lenu limoja enzi hizo. tumefika majuu dean's list mtindo mmoja hadi graduation day na kuvikwa majoho yenye rangi tofauti kuonyesha nani ni magna cum laude na nani ni summa cum laude...meaning straight As from start to finish...acha mchezo dogo...
 
Du, asiee kumbe Tambaza Alumni kibao humu ndani.

Lakini wana Tambaza mbona tena mnawasema vibaya Azania, sisi wengine tulikuwa kote Azania na baadae Tambaza. Mwaka niliosoma mimi Tambaza, nadhani asilimia kubwa watu walikuwa wametokea Azania.

All in all, topic imebring old memories.
 
hahhahahaha mwalimu chale nilikutana nae nilivyoendaga kuchukua vyeti vya ndugu yangu, alikuwa ame base kwenye lab ya biology, alikuwa kituko mdomo mziiito , unakumbuka mikwara yake?

Sasa ni wakati mzuri wa kuanzisha Alumn Associations kwa ajili ya kusaidia shule tulizo soma.Shule kubwa ambazo zimetoa viongozi wengi zingetakiwa kuwa katika hali nzuri.Let give back to alma mater.
Shule kama Tabora boys,Tabora girls,umbwe,minaki,pugu,moshi tech,tanga tech,azania,kibaha,nyakato,ihungo,,mara na zingine nyingi
 
mimi nilisoma kinondoni sec sisi ndo tulikuwa kiboko yenu mlikuwa mnawaonea MAKONDA AZANIA na JITEGEMEE sio kinondoni tena hacheni hizo milifikia wakati mkawa mnawaonea mpaka watoto wa primary muhimbili nyinyi kiboko yenu ilikuwa KINONDONI SEC
 
watu wa kwenye circles zangu wote walifumua o-level na kutimua. hakuna hata mmoja aliyehangaika na lichuo lenu limoja enzi hizo. tumefika majuu dean's list mtindo mmoja hadi graduation day na kuvikwa majoho yenye rangi tofauti kuonyesha nani ni magna cum laude na nani ni summa cum laude...meaning straight As from start to finish...acha mchezo dogo...
art_failed.jpg
 
Huu ndio uzi wangu wa kwanza kusoma mwanzo mpaka mwisho, japokuwa ni wa zamani sana. Nilisoma Tambaza O level na A level 1980 - 1990
 
Hahaha
bibie ilikuweje ukasoma combination ngumu namna hio? PCB CBG unaonekana shori wa HKL HGK KLF hivi........

ila tambaza walikuwa machizi tu.....kujifanya magangwe gangwe usela wao ulizidi...kuna kijamaa kimoja eti alikuwa anajiita killer one......ukimuuliza kaua wangapi hata mbu hajaua.....
 
Back
Top Bottom