Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
- Thread starter
- #21
kun watu nwfhmu uko majuu wana uwezo kuanzia upstair wa kusoma harvard,oxford lakini wanasoma college za kinaijeria.......ukiamua mtoto asome shule za msondo atasoma ISM ISM ni aibu weusi wachache........mpaka sasa hivi huu utamaduni unaendelea.....weusi wanapaogopa.....BACK to the topic..Unajua mkuu..baada ya kufika nilipo..ndo nimegundua wengi tunakosa maendeleo partly kwa sababu ya kutokuwa na information sahihi. Personally IST nilijua ni shule za Vibopa tuu..sisi watoto wa wakulima haturuhusiwi hata kukatiza getini..lakini it seems kuna uwezekano wa mtu kupata chance/scholarship on merit (you can shade more info. on this). Same applies..hata vyuo vya maana nje..wengi wanaogopa kuomba kwa sababu ya woga kwamba hawatachukuliwa..kumbe ukihangaika..some one might see your grades and take you onboard.