PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,349
- 30,732
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion
✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono
✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini
✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume kuzini kupitia hisia
✍🏻 watawala wapendekeza hapo baadae mwanamke asimiliki simu kabisa !
Nini maoni yako juu ya hili ije na Tanzania ?