Taliban wapiga marufuku wanawake kupiga simu redioni

PureView zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
9,114
29,956
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion

✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono

✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini

✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume kuzini kupitia hisia

✍🏻 watawala wapendekeza hapo baadae mwanamke asimiliki simu kabisa !

Nini maoni yako juu ya hili ije na Tanzania ?
 
Shida ya watu wa hizi imani ni kwamba fikra zote ziko kwenye mambo ya ngono. Hivi mbona mimi akili yangu hainitumi kutilia maanani kwamba mwanamke fulani amevaaje maanake akili yangu iko bize kiasi kwamba sina muda wa kuwaza mambo ya mavazi ya watu.

Tanzania hatuwezi kuwa na hizi sheria za kipumbavu unashindwa kuwaza utaishije unakaa kuchunguza wanawake wanavaaje mavazi.

Yaani mwanaume ukisikia hata sauti tu ya mwanamke tayari umeshaamsha. Very stupid.
 
Wale watu Wana ukaribu Sana na shetani kuliko MUNGU
 
Shida ya watu wa hizi imani ni kwamba fikra zote ziko kwenye mambo ya ngono. Hivi mbona mimi akili yangu hainitumi kutilia maanani kwamba mwanamke fulani amevaaje maanake akili yangu iko bize kiasi kwamba sina muda wa kuwaza mambo ya mavazi ya watu.

Tanzania hatuwezi kuwa na hizi sheria za kipumbavu unashindwa kuwaza utaishije unakaa kuchunguza wanawake wanavaaje mavazi.

Yaani mwanaume ukisikia hata sauti tu ya mwanamke tayari umeshaamsha. Very stupid.
Kwani magaidi wenzao wa jamii forum yanasemaje?
 
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion

✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono

✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini

✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume kuzini kupitia hisia

✍🏻 watawala wapendekeza hapo baadae mwanamke asimiliki simu kabisa !

Nini maoni yako juu ya hili ije na Tanzania ?
Hapo inadhihirisha kwa mujibu wa Taliban kwamba, kuzaliwa mwanamke ndani ya dini hiyo ni laana ama kifungo

huwezi ukaweka restrictions za kipuuzi eti kulinda wapuuzi wasio na soni wala utu kwamba hisia zao zina thamani kuliko utu ama ubinadamu kwa wanadamu wengine.
 
Yale magaidi ya kilosa yanasoma tu hizi comment na kusonya halafu yanapita kule. Ingekuwa inahusu Magaidi ya Hamas au Houthi yangekujazia inzi
 
Shida ya watu wa hizi imani ni kwamba fikra zote ziko kwenye mambo ya ngono. Hivi mbona mimi akili yangu hainitumi kutilia maanani kwamba mwanamke fulani amevaaje maanake akili yangu iko bize kiasi kwamba sina muda wa kuwaza mambo ya mavazi ya watu.

Tanzania hatuwezi kuwa na hizi sheria za kipumbavu unashindwa kuwaza utaishije unakaa kuchunguza wanawake wanavaaje mavazi.

Yaani mwanaume ukisikia hata sauti tu ya mwanamke tayari umeshaamsha. Very stupid.
Nguvu zenyewe za kiume huna
 
Lije Tanzania kwani ni maagizo ya allah mwanamke akiongea anahamasisha ngono.
FB_IMG_1709174520765.jpg
 
Back
Top Bottom