Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 768
hii point haiendani na umri wako
Kwani kuna uhusiano kati ya Umri na uelewa?
Nadhani kaitowa kama mwana CCM kwahiyo yupo sawa husitegemee mtu yeyote aliye kulia CCM na Kulelewa CCM anampenda Dr. Slaa! Nilisema CCM hofu ya ipo kwa Slaa peke yake, ndio maana yule Mchawi aliyetangulia kwenye moto alitaka alitaka kumuuwa lakini Mungu mkubwa kafa yeye