Taifa kwanza: Rais na mawaziri 2015

Taifa kwanza: Rais na mawaziri 2015

Hivi raisi akiwa DR. Abdallah Kigoda itakuwaje,huyu jamaa ni mtaalam sana wa mipango, mie naona anaweza kutufaa maana sijasikia kashfa zake na ameshika nafasi mbalimbali za uongozi bila kukutwa na kashfa.

Kama kuna mtu anajua mapungufu yake anieleze
 
- Salaam wananchi wenzangu,

kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia tuwaambie kwa lugha ya Black and White yaani the truth bila kuchanganya maneno! na tujali Taifa kwanza vyama baadaye!

- Tanzania sio taifa la mtu mmoja au kikundi flani tu na tuanze kuambiana ukweli kuanzia sasa mapema sana ili maviongozi magoi goi waanze kujifikiria mapema kama wapo kwenye the right field au wajiondoe wenyewe, maana ninakatishwa tamaa sana na baadhi ya majina ya wanaotajwa kujipanga kuchukua fomu hasa za Urais 2015!

- Nani wanafaa na nani hawafai na sababu?

- Mungu Aibariki Tanzania!

William @ NYC, USA.

Raisi hawezi kutoka kwenye Magamba! Wametuangusha kwa miaka 50 sasa
 
Kwa jinsi CCM na akina baba yako mlilivyotupeleka puta kwa miaka 50 tangu tupate uhuru
Hatutaki,wala kutegemea mtoto,jamaa yoyote kutoka familia ya John Samuel Malecela kugombea nafasi yoyote.ni hatari kwa Taifa letu,UKWELI NDIYO HUO.
 
- Ushauri wangu siku zote ni kwamba Dr. Kitila na Mkulu wangu Mwanakijiji wapewe nafasi huko ya kujitayarisha kushika nafasi kubwa mbele ya safari, lakini kwa sasa level ya Uwaziri Zitto, Lissu, wanafaa sana isipokuwa ninatatizwa sana na Urais kwa waliopo sasa huko CDM na ni mawazo yangu tu!, sio lazima yawe sahihi, lakini ninatatizwa sana na kwenye Urais!

- I mean CDM hamjafanya collective serious thinking ya kumtayarisha Rais wa 2015 na sitaki kuamini kwamba mnategemea mabaki kutoka CCM, mkuu hili linanitatiza sana!, kwa sababu kwa walipo sasa CDM, CCM itashinda Urais bila tatizo sana!

Willie @ NYC, USA.

Kumbe unapiga campain ya chama cha magamba! umetudanganya hivyo hivyo ....... Nilidhani ni mpembuzi wa mambo na unaitakia mema nchi yetu kumbe unataka kuendeleza usulutani.
 
Tanzania kama taifa ina bahati kubwa ya hazina ya uongozi wa sasa na baadae.Wapo wanasiasa wengi wanaofaa kukamata wadhifa wa urais wa Tanzania.

[1] Dr W Slaa bado ni rais wangu,sijui niwalaumu wapiga au nilaumu mfumo mbaya wa chaguzi zetu.Bila shaka unaweza kutamka mbele ya hadhara ya wasomi na wanazuoni mahali popote Tanzania ilikosa nafasi ya pekee ya kuufanyia mageuzi mfumo mzima wa siasa na uchumi.Nina hakika Dr W Slaa kama angepata nafasi ya kutuongoza maliasili zetu eg Madini,Ardhi,maliasili za bahari na maziwa,misitu na nk zingewekewa utaratibu mzuri unaohakikisha taifa linafaidika.

Nina hakika mfumo wa kupeana vyeo eg mkuu wa mkoa,wilaya na nk vingefutwa mara moja kwakuwa havina tija kwa taifa pia vinatuongezea mzigo wa kodi wananchi wa kawaida.Nina hakika visiwa vya Zanzibar vingepewa uhuru wa kuamua kuendelea na muungano au vinginevyo.Nina hakika Dr W Slaa angetazama upya uendeshaji wa mahakama zetu.Dr W Slaa angetazama upya mfumo wa wabunge kuteuliwa mawaziri na bado wakabakia na nafasi zao za ubunge.

Kwakuwa Dr W Slaa hajabadilika wala hajaonyesha dalili za kutubadilikia itakuwa jambo jema kabisa mwaka 2015 akapewa nafasi ya urais ili aliondoe taifa kwenye lindi la umasikini,maradhi na ujinga.

[2] Dr Salim A Salimu angetufaa sana kama angechaguliwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2015.Nafasi ya urais wa JMT kwa sasa haimfai tena ufaa umezidi kutanuka baina ya Tanzania bara na Zanzibar.Nafasi ya urais wa JMT ni nzito sana kushikwa na mtu toka Zanzibar Dr Salim A Salim ataonekana kama gavana wa Zanzibar anayetawala Tanzania.Siko comfortable kabisa kutawaliwa na mzanzibar tena.Dr Salim ana sifa zote za uongozi lakini uZanzibar wake na umri ni kikwazo pekee kitakachomzuia kuukwa urais wa JMT.

[3] Dr J Magufuli ana uwezo mkubwa sana hakika fitina za CCM ni kikwazo sioni akipitishwa na vikao vilivyojaa urasimu na uzandiki wa kutisha.Ni aina ya viongozi wanaohitajika kushika madaraka ili taifa lisonge mbele.Ni mwepesi kufanya maamuzi laiti angepewa nafasi ya uwaziri mkuu Lowassa asingepata nafasi ya kukosoa na kuizodoa serekali kwa kutochukua maamuzi magumu.Tanzania inahitaji kiongozi aina ya Magufuli.

[4] Dr H Mwakyembe ni mwanasiasa mzuri lakini hana msimamo madhubuti amejiegemeza zaidi CCM.Ripoti ya RICHMOND ilimyanyua sana ingawa alificha mambo muhimu kwa taifa ili chama chake na serekali ya Kikwete isidhalilike zaidi kwa kufanya hivyo alijihakikishia nafasi ya nafasi ya uwaziri ingawa mpaka sasa ni naibu waziri.Nguvu za Mwakyembe ndani ya CCM zimezidi kupungua hasa baada ya kusita kugombania nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu taifa kupitia bunge yamkini nguvu za wabaya wake kisiasa zilimtisha.Ana uwezo wa kushika madaraka ya urais wa JMT pamoja na mapungufu ya uCCM dhidi ya uTaifa [Tanzania].

[5] Samwel Sitta ni mwanasiasa mahiri na jasiri.Kila nikikumbuka jinsi alivyomdhalilisha Kikwete mjengo "kuwa mkali kidogo dhidi ya mafisadi".Ni mwanasiasa aliyefanyakazi na Mwl Nyerere na pengine imemsaidia sana kujenga nidhamu na uthubutu wa kutamka jambo bila uoga.Uwezo na udhoefu wake serekalini ni hazina kubwa.Alijenga taasisi ya bunge ikaheshimika ndani na nje ya Tanzania.Hakika viatu vya S Sitta hadi leo ni vikubwa mno kiasi kwamba Mama Anna Makinda ameshindwa kutembea hadi leo Mama Makinda anatambaa.Anafaa kuongoza taifa walau muhula mmoja.

[6] Bernard Membe mwanzoni nilidhani anauwezo kumbe hamna kitu.Kati ya mambo ya kijinga kuwahi kufanywa na waziri Membe ni madai ya chenchi ya Rada.Badala ya kujikita kumtafuta aliyetufikisha mahali pa kudai chenchi.Hafai kuongoza si mbunifu hana tofauti na Kikwete.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
- Salaam wananchi wenzangu,

kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia tuwaambie kwa lugha ya Black and White yaani the truth bila kuchanganya maneno! na tujali Taifa kwanza vyama baadaye!

- Tanzania sio taifa la mtu mmoja au kikundi flani tu na tuanze kuambiana ukweli kuanzia sasa mapema sana ili maviongozi magoi goi waanze kujifikiria mapema kama wapo kwenye the right field au wajiondoe wenyewe, maana ninakatishwa tamaa sana na baadhi ya majina ya wanaotajwa kujipanga kuchukua fomu hasa za Urais 2015!

- Nani wanafaa na nani hawafai na sababu?

- Mungu Aibariki Tanzania!

William @ NYC, USA.

Ridhwani Kikwete. Maana Baba yake alianza na Kasi mpya, Ari mpya na Nguvu Mpya. Baada ya miaka mitano akaja na kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi. Akichukua huyu Mwanae ndo tutapaa zaidi ya hapa. Nawasilisha
 
- Mwalimu the greatest alitusaidia kutufanya huru, lakini the rest ni debatable, naomba unishawishi zaidi kwamba Dr. Slaa anafaa kuwa Rais wa kulisaidia hili taifa zaidi ya wengine, kwa mfano unasema ndiye aliyetufunua kuhusu mafisadi ambao mpaka leo hakuna aliyefikishwa kwenye sheria, Dr. Slaa anao ushahidi wa kutosha kwa nini asiwapeleke kwenye sheria kwa jina la wananchi? I mean Mch. Mtikila siamini kwamba ana uwezo wa kuwa Rais, lakini kwenye hili la kwenda kwenye sheria na ushahidi anaonekana kuwa na ubavu zaidi,

- Sasa je tutaendelezwa na Rais asiyesimama kuona sheria inatendeka?

Willie @ NYC, USA.
Binafsi naona Slaa anafaa, kwa sababu zilizo tajwa hapo juu, kama una wengine wataje pamoja na sababu zinazo wafanya wastahili kukaa kwenye nafasi hizo, sisi tuta fanya komparizoni
 
Hivi raisi akiwa DR. Abdallah Kigoda itakuwaje,huyu jamaa ni mtaalam sana wa mipango, mie naona anaweza kutufaa maana sijasikia kashfa zake na ameshika nafasi mbalimbali za uongozi bila kukutwa na kashfa.

Kama kuna mtu anajua mapungufu yake anieleze

hafai kabisaaaaaa! kashafa zake hujaziskia? hafai hafai!
 
Kujadili MAJINA naona ni sawa kabisa na KUKIMBILIA suala kubwa kirahisi-rahisi. Hatuhitaji kujua majina ya watu. Tunahitaji kuchambua yanayotukabili kama taifa, ndiposa tuanze kuulizana nani (mtu, ama chama) kinaweza kutuongoza.

Tujadili MASUALA. Majina hayatatufikisha popote zaidi ya kuendeleza utaratibu uliozoeleka wa watu kufitianiana. Tukiisha kubaliana kwa pamoja ni MAJANGA yepi yanatukabili, then kutokea hapo inakuwa rahisi mtu yeyote kupitia majina ya hawa wote wanaojipitisha pitisha KUTAKA KUUNUNUA URAISI. Kuanza kutaja taja majina ya watu, halafu sifa inabaki ah huyu mkali sana sijui nini, ni kupotea njia.

Kwa kuanzia tu, kila anayeutaka U-Rais wa nchi hii, atuambie AMEONA UPUNGUFU GANI MKUBWA UNAOTUKABILI KAMA TAIFA (CHINI YA WATAWALA HAWA WA CCM) NA KWA NINI ANADHANI YEYE ANAWEZA KUWA TOFAUTI? Amefanya nini so far (zaidi ya kuuza sura kwenye TV)? Ana mpango gani wa kutukwamua hapa tuliko?

Kama yuko CCM, ana mkakati gani wa kuwa tofauti na watangalizi wake (hasa huyu aliyepo hivi sasa)?
Kama yuko upinzani, anatuhakikishiaje kwamba yeye na chama chake watakuwa tofauti na hawa waparua magamba? Chama chake kimefanya nini so far kinachowatofautisha wao na CCM?

Mpaka hapo msomaji utabaini kwamba hii shughuli ya umbeya wa kutaja taja majina ya watu, haiwezi kutusaidia sana zaidi ya kuridhisha nafsi zetu.
 
Edward Lowassa, Pombe Magufuli, Prof. Mwandosya, Rose Migiro na Anna Tabaijuka. Hatuwezi kuwa Taifa la majaribio sasa ni wakati wa kukataa.
 
Nionavyo mimi ni hawa wafuatao:
Dr Salim Ahamed Salim;
Ana uzoefu wakutosha na hasa wakimataifa na ni mtu asiyependa rushwa,japo umri umekwenda kidogo lakini bado anaweza kutuongoza na kwa asili wazanzibari hawana sifa ya ufisadi.

Dr Slaa;
Ana uchukia ufisadi kwa vitendo na anasimamia anachokisema hata kama walio wengi watampinga lakini baadaye ukweli hudhihirika kuwa alichokuwa anakisema ni sahihi,Angalizo anahitajika kupunguza jaziba kwa kile anachokichukia kwani akiwa na jaziba anaweza toa amri ambayo pengine ikatugharimu baadaye,Kinachowaogopesha watu wengi hasa viongozi wanafikiri akiwa kiongozi anaweza lipiza kisasi lakini huo ni wasiwasi nafikiri hatapenda kulipiza kisasi na sifa kubwa aliyonayo huyu atasaidia kubadilisha mfumo mzima wa nchi yetu na kutuletea mfumo mpya.

Mhe Sumaye,
Huyu anauzoefu wa kutosha na anaweza kulisaidia taifa kuimarika kiuchumi ila walioko madarakani wasingependa achukue nafasi.

Dr Migiro
Anauzoefu wa kimataifa na hana doa la aina yeyote ila shida yetu ni kuwa na mfumo dume.

Mhe Lowassa,
Ni kweli amelalamikiwa sana, Ninachosema inawezekana kila binadamu ana mapungufu yake ila sifa mbili anazo hata kama tukubali ama tukatae sifa hizo ataendelea kuwa nazo; Anaweza kufanya maamuzi magumu na watendaji wote wa serikali wanamwogopa sana na hii itatuwezesha sisi wanachi wa chini kupata nafasi ya kuhudumiwa na watendaji wa serekali kwa ajili ya woga wa kumwogopa yeye. naomba nieleweke sina nia ya kumtetea au kumpigia debe na pia niwaombe radhi kwa wale watao chukia maelezo haya sina nia ya kuwaudhi kwani nawaheshimu sana.

Mhe Zitto
Kwa mawazo yangu huyu anafaa sana pengine 2020 nakuendelea kwani anahitaji muda kidogo wa kupata uzoefu wa kuwa kiongozi wa juu,
Hapa pia ni waombe radhi kwani kuna kudi fulani humu ndani wanatofautiana na zitto na chochote kinachosemwa kuhusu yeye wana kipinga kwa nguvu wa kichanganya na tofauti zao.

Kwa ufupi sifa ya pekee aliyonayo mhe zitto:
Ana kipaji cha kuzaliwa cha uongozi na kipaji hiki kimemsaidia kujijengea umaarufu hali akiwa na umri mdogo na hili mkilikataa mtakuwa mnamwonea wivu tu, Suala la kipaji ndio sifa ya ziada aliyonayo naomba tumpe muda kidogo aweze kuhama ujana ndio mtakuja kubaliana na mimi kama tutakuwa hai.

Huyu akipata nafasi ya kuwa kiongozi wa kitaifa baadaye taifa letu litaweza kutoka kwenye kundi la nchi masikini na kuelekea kwenye nchi za kati, kwa
ufupi kinachoshidikana sasa yeye anaweza kukifanya na atatuletea heshima ya taifa kama ilvyokuwa enzi ya mwalimu.

Kwa ufupi Tukitatua mambo haya nchi yetu itasonga mbele kwa haraka:

1.Tuwe na katiba mpya
2.Tuwe na tume huru ya uchaguzi
3.Tuwe na mawaziri wasio tokana na wabunge
4.Tuwe na spika wa bunge asiyetokana na chama cha siasa(awe mwenye taaluma ya sheria)
5.Baadhi ya mamlaka ya kiongizi mkuu ya punguzwe
6.Mihimili ya bunge,Takukuru na mahakama kuwa huru na kutoingiliwa na mamlaka yeyote
7.Matumizi ya rasilimali ya taifa yasimamiwe vizuri na yeyote atakayekiuka ashughulikiwe bila ya kuogopwa
 
Tanzania kama taifa ina bahati kubwa ya hazina ya uongozi wa sasa na baadae.Wapo wanasiasa wengi wanaofaa kukamata wadhifa wa urais wa Tanzania.

[2] Dr Salim A Salimu angetufaa sana kama angechaguliwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2015.Nafasi ya urais wa JMT kwa sasa haimfai tena ufaa umezidi kutanuka baina ya Tanzania bara na Zanzibar.Nafasi ya urais wa JMT ni nzito sana kushikwa na mtu toka Zanzibar Dr Salim A Salim ataonekana kama gavana wa Zanzibar anayetawala Tanzania.Siko comfortable kabisa kutawaliwa na mzanzibar tena.Dr Salim ana sifa zote za uongozi lakini uZanzibar wake na umri ni kikwazo pekee kitakachomzuia kuukwa urais wa JMT.

[3] Dr J Magufuli ana uwezo mkubwa sana hakika fitina za CCM ni kikwazo sioni akipitishwa na vikao vilivyojaa urasimu na uzandiki wa kutisha.Ni aina ya viongozi wanaohitajika kushika madaraka ili taifa lisonge mbele.Ni mwepesi kufanya maamuzi laiti angepewa nafasi ya uwaziri mkuu Lowassa asingepata nafasi ya kukosoa na kuizodoa serekali kwa kutochukua maamuzi magumu.Tanzania inahitaji kiongozi aina ya Magufuli.

.

mkuu nimejikuta na comments hapo kwa mzee wetu SHS, znz wamemkataa, huku bara pia mnamkataa, sasa huyu bwana mbona bado mnamtwika dhambi ya ubaguzi kiivyo? binafsi hata km muungano ukivunjwa leo, akigombea uraisi wa tanganyika mie ningempa kura yangu.

hapo chini kwa mzee magufuli nafasi inayomfaa ni uwaziri mkuu.

wale wengine (Dr. mwakyembe, mzee 6) hawa hawana misimamo, warudi tu CCJ.

KWA SIASA ZA SASA ZISIZOTAKA FITINA WALA UNAFIKI, NI DR. SLAA PEKEE NDIE ANAYEFAA KUONGOZA TAIFA HILI.
 
- Mh. Ben Membe: anafaa sana kuwa Rais na Waziri Mkuu pia 2015; kwa sababu ni msomi, mfuatiliaji, mtendaji, anajali sheria, na ni mkali sana.

Willie @ NYC, USA.
Hayo ni mawazo yako wewe na Malaria Sugu. Kiukweli Membe amekosa hizo sifa ulizozitaja. Kitendo cha kulilia fedha ambayo anajua wezi wote wako na yeye kila siku wanakula, wanakunywa na wanakutana kwenye vikao na halilii washtakiwe atakuja kuendeleza kizazi cha MAJIZI yaliyokaa madarakani tangu enzi za Mzee Malecela tu
 
Kwa jinsi CCM na akina baba yako mlilivyotupeleka puta kwa miaka 50 tangu tupate uhuru
Hatutaki,wala kutegemea mtoto,jamaa yoyote kutoka familia ya John Samuel Malecela kugombea nafasi yoyote.ni hatari kwa Taifa letu,UKWELI NDIYO HUO.
@NYC hawezi kuja kuwa kiongozi kwenye nchi yenye kipindupindu, malaria, pepopunda, foleni, rushwa aache maisha yake ya raha huko aliko yaliotokana na jasho letu watanzania maskini
 
Nionavyo mimi ni hawa wafuatao:
Dr Salim Ahamed Salim;
Ana uzoefu wakutosha na hasa wakimataifa na ni mtu asiyependa rushwa,japo umri umekwenda kidogo lakini bado anaweza kutuongoza na kwa asili wazanzibari hawana sifa ya ufisadi.

Dr Slaa;
Ana uchukia ufisadi kwa vitendo na anasimamia anachokisema hata kama walio wengi watampinga lakini baadaye ukweli hudhihirika kuwa alichokuwa anakisema ni sahihi,Angalizo anahitajika kupunguza jaziba kwa kile anachokichukia kwani akiwa na jaziba anaweza toa amri ambayo pengine ikatugharimu baadaye,Kinachowaogopesha watu wengi hasa viongozi wanafikiri akiwa kiongozi anaweza lipiza kisasi lakini huo ni wasiwasi nafikiri hatapenda kulipiza kisasi na sifa kubwa aliyonayo huyu atasaidia kubadilisha mfumo mzima wa nchi yetu na kutuletea mfumo mpya.

Mhe Sumaye,
Huyu anauzoefu wa kutosha na anaweza kulisaidia taifa kuimarika kiuchumi ila walioko madarakani wasingependa achukue nafasi.

Dr Migiro
Anauzoefu wa kimataifa na hana doa la aina yeyote ila shida yetu ni kuwa na mfumo dume.

Mhe Lowassa,
Ni kweli amelalamikiwa sana, Ninachosema inawezekana kila binadamu ana mapungufu yake ila sifa mbili anazo hata kama tukubali ama tukatae sifa hizo ataendelea kuwa nazo; Anaweza kufanya maamuzi magumu na watendaji wote wa serikali wanamwogopa sana na hii itatuwezesha sisi wanachi wa chini kupata nafasi ya kuhudumiwa na watendaji wa serekali kwa ajili ya woga wa kumwogopa yeye. naomba nieleweke sina nia ya kumtetea au kumpigia debe na pia niwaombe radhi kwa wale watao chukia maelezo haya sina nia ya kuwaudhi kwani nawaheshimu sana.

Mhe Zitto
Kwa mawazo yangu huyu anafaa sana pengine 2020 nakuendelea kwani anahitaji muda kidogo wa kupata uzoefu wa kuwa kiongozi wa juu,
Hapa pia ni waombe radhi kwani kuna kudi fulani humu ndani wanatofautiana na zitto na chochote kinachosemwa kuhusu yeye wana kipinga kwa nguvu wa kichanganya na tofauti zao.

Kwa ufupi sifa ya pekee aliyonayo mhe zitto:
Ana kipaji cha kuzaliwa cha uongozi na kipaji hiki kimemsaidia kujijengea umaarufu hali akiwa na umri mdogo na hili mkilikataa mtakuwa mnamwonea wivu tu, Suala la kipaji ndio sifa ya ziada aliyonayo naomba tumpe muda kidogo aweze kuhama ujana ndio mtakuja kubaliana na mimi kama tutakuwa hai.

Huyu akipata nafasi ya kuwa kiongozi wa kitaifa baadaye taifa letu litaweza kutoka kwenye kundi la nchi masikini na kuelekea kwenye nchi za kati, kwa
ufupi kinachoshidikana sasa yeye anaweza kukifanya na atatuletea heshima ya taifa kama ilvyokuwa enzi ya mwalimu.

Kwa ufupi Tukitatua mambo haya nchi yetu itasonga mbele kwa haraka:

1.Tuwe na katiba mpya
2.Tuwe na tume huru ya uchaguzi
3.Tuwe na mawaziri wasio tokana na wabunge
4.Tuwe na spika wa bunge asiyetokana na chama cha siasa(awe mwenye taaluma ya sheria)
5.Baadhi ya mamlaka ya kiongizi mkuu ya punguzwe
6.Mihimili ya bunge,Takukuru na mahakama kuwa huru na kutoingiliwa na mamlaka yeyote
7.Matumizi ya rasilimali ya taifa yasimamiwe vizuri na yeyote atakayekiuka ashughulikiwe bila ya kuogopwa

Zitto labda Rais wa Wanafunzi siyo nchni hafai hata miaka sabani hafai na hawezi badala ya Zitto bora Halima Mdee
 
endeleza.

We kichaa wewe, Mbowe hata mambo ya ndani nilimpendelea kwa aibu kwasababu ni Mwenyekiti wa Chama otherwise hafai kuwa hata Waziri labda tumpe Mke wake! siyo yeye.

Zito fedha hawezi hatatuibia zote, ni Fisadi kama Lowasa na Kikwete, huyo Regia labda anafaa kuwa Msemaji wa Chama lakini sioni uzito wowote kwake, PM bado nafikiri kumjaribu Mwanakijiji hamna mtu wa kufaa hiyo nafasi tofauti na yeye maana najuwa after one Mafisadi wote watakuwa jela na wakina Zitto hawataleta Ufisadi wao Mwanakijiji akiwa PM
 
Hivi mwanakijiji ni mwanachama wa chama gani?Naomba kujuzwa maana naona mapendekezo mengi yanamuweka upande wa cdm.Amewahi kuweka wazi kuwa ni cdm?au hisia tu!
 
Dr Slaa hafai kwa sababu zifuatazo:
Nchi hii moja ya misingi yake ni kuwa haina dini ila watu wake wana dini.
pili msingi mwingine ambao huwa ina uenzi ni kutokuchanganya dini na siasa.

Kutokana na misingi hiyo Slaa hafai kuwa kiongozi wa kitaifa,kwani basically knowledge yake ni ya kiroho, watu wa itikadi tofauti na yake hata siku moja hawawezi kuwa na imani naye. Dr Slaa wakati ni katibu mkuu wa baraza la maaskofu alihusika kutengeneza mkata feki ujulikanao kama MoU kujiharalishia wao kama kanisa kujichotea pesa za watanzia wote pesa zinazokusanywa bila kuzingatia imani fulani wao wakawa wanazichot(nawanaendelea)kuliendeleza kanisa peke yake bila kuona kama upande wa pili nao wana haki katika hizo pesa. Achana na Slaa kuchangia kuharibu ndoa ya mtu na kujisogezea mke wa mtu hana sifa za kuliunganisha taifa.
 
- Mkuu heshima yako sana, vipi ukifafanua kidogo nini maana ya Dr. Slaa kuwajali wananchi wake?

Willie @ NYC, USA.

Huna lolote unahangaika tu William, huoneshi kuwa impatial hata kidogo kwenye
mjadala mdogo namna hii uliouanzisha wewe mwenyewe.

Wewe hauna mpango wa kujadili hilo uliloliandika, unataka kupotezea watu muda na
vi heading vyako tu. kwa nini nasema hivyo.

Unajifanya unataka ufafanuzi wa maana ya DR SLAA kuwajali wananchi wake,
Mbona Haujaomba ufafanuzi wa "Mipango Dhabiti" kwenye pendekezo la Zitto
kuwa waziri wa Fedha au "Anafit Sana" kwenye pendekezo la January Makamba
kuwa waziri wa mambo ya nje.

Ulichotakiwa kufanya ni kuweka mapendekezo yako kwanza, sababu unaonyesha
hauko tayari kupokea mapendekeo impatially. by the way swala la 2015
bado ni infant sana, kama unataka kujadili viongozi uliza nani anaweza kutufaa kuongoza
wizara ya nishati na madini sasa badala ya Ka ngereja.
 
Back
Top Bottom