zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,355
- 9,863
- hata mrema alitoa tongo tongo nyingi sana mkuu, vipi dr. Slaa hana skills zingine ni hii tu ya kutoa tongo tongo?
willie @ nyc, usa.
hapa hujaeleweka.
- hata mrema alitoa tongo tongo nyingi sana mkuu, vipi dr. Slaa hana skills zingine ni hii tu ya kutoa tongo tongo?
willie @ nyc, usa.
sio kweli, nakataa kata kata.
kijana wa cigwiyemisi, unaziamini mahakama za tanzania kwa kiwango ambacho slaa anaweza kufungua kesi hizo na akashinda? Kama unaziamini hizi mahakama za huku kwa kiwango hicho nakusihi kwa unyenyekevu wote, fanya upya homework yako. Huyo mtikila si unaona kesi zake zinavyochezewa mchezo mchafu? Ile kesi ya mgombea binafsi si umeona ilikoishia? Usijifanye huyajui magamba bana
neno zito hili.
Msidhani kuwa hamna watu wanaofaa kuwa viongozi wetu nje ya hawa wanasiasa waliopo hivi sasa wengi hawa wa sasa ni vilaza tu!
Mi nashauri Mwanakijiji pia aje agombee ubunge sasa ili aingie uwanjani kucheza sita au nane tuone michango yake live Bungeni akiwa PM
List yangu mimi ni hii hapa:Kwasasa wabunge wengi tuliona nao hawafai kuwa viongozi serikali na hasa CDM inamkosi huo wengi wa Wabunge wake wanafaa kuwa wabunge tu lakini hawawezi kuongoza wizara hata kidogo.
- Rais: Dr.Slaa
- PM: Mwanakijiji
- Spika: Marando
- Sheria na Katiba: Lissu
- Serikali za Mitaa ofisi ya PM: Mbunge wa Ubungo
- Mambo ya nje: Zitto Kabwe Naibu Arafat
- Ujenzi Uchukuzi: Magufuri
- Fedha na Uchumi: Tuta tangaza watu walete CV zao ilitupate mtu ambaye atapewa terms za kufanyia kazi kunyanyuwa Uchumi local na forex experts
- Kilimo na Umwagiliaji: Pinda Naibu bado hajaonekana
- Maji na mazingira ofisi ya Waziri Mkuu: tuta tangaza kuchambuwa CV ndani Local experts
- Futa wizara ya jinsia na watoto shughuli zake ziamie Elimu
- Elimu tutangaze pia Local experts;
- Mambo ya ndani: Mbowe Naibu Mchungaji Peter wa Iringa
- Ulinzi na JWTZ nadhani waunganishwe na Mambo ya ndani... Discuss!
Sitegemei kama kuna mtu anafikiria Mbunge wa Mbeya mjini, Musoma, Arusha, Viti maalum, na type hiyo kuwa Mawaziri?!
vizuri dereva etu magari mabovu park pembeni. Dr.Slaa ndie anafaa hatakama haja wachukulia ha2a yeyote lakini ka2 toa matongotongo cc wana nchi.- Sema nani anafaa au hafai kua Rais au Waziri, kama huwezi kaa pembeni achia wanaoweza mimi sigombei urais wala anything, uwe na siku njema sana mkuu!Willie @ NYC, USA.
vizuri dereva etu magari mabovu park pembeni. Dr.Slaa ndie anafaa hatakama haja wachukulia ha2a yeyote lakini ka2 toa matongotongo cc wana nchi.
Mkuu kuwa na uwezo ni pamoja na kutokuwa muoga, kwa misingi hiyo sidhani kama ni sahihi kusema kuwa kuna wenye uwezo ila waoga.Inawezekana kabisa kuna watanzania wenye uwezo zaidi ya Dr. Slaa lakini kinacho wa ponza ni uoga. Hivyo Dr. Slaa anabakia kuwa chagua langu kwa sasa
- Tunaaangalia viongozi sio vyama vyao, sio CDM yote ni Wachagga na sio CCM yote ina wezi, ni common sense tu kidogo!
Willie @ NYC, USA.
- Unasema Mwenyekiti akiwa Mchagga iina maana wote ni Wachagga? Is that right?, kwenye hii thread tunachagua kiongozi sio chama, unawza kunaisha thread ya chama kwanza, hapa ni taifa kwanza, karibu sana mkuu!
Willie @ NYC, USA.
Nachukia Ufisadi: Matusi, Uongo, Tetesi na Majungu pia ni Ufisadi; Tujitenge Navyo:rain: LOWASA NI FISADI
kama uongozi wanchi ungepangwa kama timu ya mpira wamiguu, mimi ni hawa:
1. Salim Ahmed Salim (Dr) --- Rais
2. Wilbroad Slaa (Dr) - Vice President
3. John Magufuli - PM
4. Freeman Mbowe - Fedha
5. Asha Rose Migoro - Foreign
6. Tindu Lissu - Katiba
7. Halima Mdee - Home Affairs
8. Joseph Mbilinyi - Utamaduni na Michezo
9.Lembeli Jamees - Utalii
10. Mwakyembe - Nishati na Madini
11. Kabwe Zitto - Ulinzi na JKT
Ni mtazamo tu
WJ Malecela, kama vipi namtoa Mbowe nampachika Hamad Rashid _ Fedha. Hapo VIPI? Mbowe balozi huko kwako DC