Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Lol... labda wakati wa kuoga hua unanawa uso sasa wao wanataka kukuosha uso.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Hao wapo kibiashara zaidi.

Kuna siku moja nilienda kwenye barbershop maeneo ya Kona Bar...hii huwa iko wazi masaa 24.

Siku hiyo nikaamua tu kukubali kuoshwa uso.

Basi yule mdada wakati ananipaka sabuni akawa anayagusisha maziwa yake kwenye kichwa changu.

Hahahaa kusema ukweli nilinogewa....lakini sikuona tofauti yoyote ile kati ya alivyoniosha yeye na nijioshavyo mwenyewe nikiwa naoga.

Ila yale matiti yalivyokuwa yananigusa kichwani....mashalaah😉
 
Hao wapo kibiashara zaidi.

Kuna siku moja nilienda kwenye barbershop maeneo ya Kona Bar...hii huwa iko wazi masaa 24.

Siku hiyo nikaamua tu kukubali kuoshwa uso.

Basi yule mdada wakati ananipaka sabuni akawa anayagusisha maziwa yake kwenye kichwa changu.

Hahahaa kusema ukweli nilinogewa....lakini sikuona tofauti yoyote ile kati ya alivyoniosha yeye na nijioshavyo mwenyewe nikiwa naoga.

Ila yale matiti yalivyokuwa yananigusa kichwani....mashalaah😉
Hahahaha hapo kwenye matiti kunogewa ndio na wenyewe wanapataka ili wachote pesa vizuri....

fanya urudi tena.... kuna huduma kabambee zimeongezwaa hahaha

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
sinza makaburini kuna mdada aliniletea hizo. nilikubali sikuwa na jinsi . ushamba na ugeni vilinigharimu
 
BINAFSI NILIWAHI KUKUTANA NA HILO JAMBO MWAKA 2008 KWENYE SALON MOJA HV PALE MBEZI TANGIBOVU, BAS WAMENINYOA, NILIFUATANA NA WADOGO ZANGU, KUMBE WAKAT NANYOLEWA WALE WADOGO ZANGU WA KIUME WAKAWA WANASAFISHWA KUCHA NA MIGUU BILA MI KUJUA.. BASI IMEKUJA BILI ATI NILIPE ELFU 30. NIKAWAKATALIA NIKAWAAMBIA SIJAWAPA RUHUSA YA KUWASAFISHA MIGUU.. NILIKOMAA MZEE KIPIND HKO NPO SEKONDARI.. NIKAWAAMBIA SILIPI.. MKITAKA HATA POLISI TWENDENI... SIKUWA NA AIBU (MAANA WENG WANAIBIWA KWA AIBU ZAO).. WALINIMAIND LAKN NILIWALIPA BUKU 5 YA KUNYOA NKASEPA..

NB:AIBU NDO INAWAPONZA WANAUME WA DSM KWA HOFU YA KUDHARAULIKA, SASA KUNYOA UNALIPAJE ELFU 80 LABDA? KAMA HUJUI BEI ULIZA.. NA UWE NA UAMUZ WA VITU UNAVYOVITAKA NDYO VFANYIKE.. HATA UNAPOKWENDA MGAHAWAN ULIZA BEI NDIYO UAGZE MSOSI.

Tchao
Mimi nilishajiwekea sheria yangu binafsi nikiingia hizo saloon almaaruf kama barbarber shop..huwa na stick na bei yangu tena nauliza mara mbili mbili..mawaambia kama sio buku 5 basi nitaenda mtaani

Maana siku hizi mtaani kunyoa saloon za kawaida ni buku 2...hizo nyingine huwa ni mbwe mbwe...eti unasuguliwa miguu..duh..eti kusuguliwa kidevu..mdio unaambiwa buku 30 si bora uite demu wa kuZUGIE UMPE NAYE AKUPE
 
Mbaya zaidi unakuta huna muda..kuna salun ipo kinondoni nilikuwa nikienda kunyoa naambiwa na mba...mimi nilikuwa nawatolea makavu..nawambia na dawa yangu home..maana ni njia ya utapeli utakuta huna mba
 
Aisee kumbe wengi tumepitiwa na huo ushenzi, nakumbuka niliingia hizo saloon mwaka Jana nikawakuta wadada niliambiwa kunyoa 5000 tu, baadae mala uma mafuta usoni subili tupunguze, ooo una MBA, mala ila nywele kama zimepoteza rang yake, kumaliza naambia 75,000 kajasho kembamba kalinitoka kuuliza imekuwaje ndio wananza kutoa maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wapo kibiashara zaidi.

Kuna siku moja nilienda kwenye barbershop maeneo ya Kona Bar...hii huwa iko wazi masaa 24.

Siku hiyo nikaamua tu kukubali kuoshwa uso.

Basi yule mdada wakati ananipaka sabuni akawa anayagusisha maziwa yake kwenye kichwa changu.

Hahahaa kusema ukweli nilinogewa....lakini sikuona tofauti yoyote ile kati ya alivyoniosha yeye na nijioshavyo mwenyewe nikiwa naoga.

Ila yale matiti yalivyokuwa yananigusa kichwani....mashalaah😉
kwaio kuguswa na maziwa ulilipia shlng ngp! !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilikuwa salooon mpya (Sijaizoea) maeneo ya Sinza.... Kuna dogo kaja, analalamika nadhani ni mgeni.. kaomba kunyoa ndevu na Kichwa, ila ndevu watumie magic...... kumbe wamempiga stima ya kidevu, massage ya mgongo, scrub ya kichwa... bili anaambiwa alipe 80 alfu.... khaaaa

Wakati naendelea kupiga story mbili tatu, huku nanyoa game likatokeza nje.... sasa namuuliza yule kinyozi kwanini mnawafanyia watu vitu bila kuwaambia bei? Anasema ........ooh wala, mteja anatakiwa awe anajua ....ndio bei zake!

Dogo nae kavimba , nikamwambia kuwa mpole ndio biashara za watu hizi...... kalipa 20, nikamkomalia mjomba nitamuongezea 15k dogo asepe...
Dada wa saloon kawaka.. Nikamwambia kama huna risiti na huna kibali cha hiki unayofanya si sawa kuwaka hivyo.. gawaneni na kinyozi mambo yaishe......

Sasa hili lilinikumbusha nikiwa mwanza saloon flani hivi inaitwa Smart... wao wana range za scrub kuanzia 20k na kuendelea..... bado sijui kuna kusuguliwa miguu na kadhalika...

Nika kumbuka na Moshi tena, kuna saloon wanakwambia kunyoa elfu 5, ila dada wa sallon anakwambia kuna dawa ya mba and bla bla.. kama hujui wala hulizi bei anakupaka alafu mwisho wa siku unaambiwa lipa 20 alfu.....

Nadhani hii ni aina mpya ya utapeli kwenye saloon za kiume.... na hapa nasisitiza sana hasa kwa wasiojua hii michezo....... Ujinga/Ushamba wa mambo hauhalalishi kutapeli watu.....

Yes men are weak on ladies hands, ila sio sababu ya kuwanyaganya hela kwa nguvu.. ni kama kujiuza flani hivi kwa kivuli cha biashara.
Yes najua zipo saloon wanafanya blow job nk... ila waangalie na hali za watu wenyewe pia... doh...!

View attachment 560415
Mkuu blow job ni kitu gani? Maana huwa naisikia tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mchezo sinza upo sana bila kuwa makini unauvaaa na wale wadada ni machangu wala siyo wahudumu na vinyozi wanaelewa mchezo wote!
 
mi ndio maana kamwe siendi salon zenye wanawake wanaofanya sijui scrub ....nikihitaji mke wangu atanifanyia.......salon ya kiume ikishakuwa na wanawake tu sikanyagi huko

Yaani mkuu wewe ni kama mimi. Saloon za kiume ukikuta kuna vibinti basi ujue kuna utapeli unaendelea humo
 
Mimi nikishaona saloon sijui kachorwa Pogba, Ronaldo au mtu yeyote maarufu siingii maana humo unaweza kushangaa kunyoa tu umemuacha mdogo wake msimbazi
Hata mm mkuu sisogei hapo huku mwanza kuna hizo saloon unakuta vichenchede vimevaa t shirt saresare vimekaa nje mahsusi kuwapiga wananzengo wakijichanganya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Nakumbuka nilikuja bongo mwaka juzi December huwa kuna ki barber shop flani hivi maeneo ya meeda pembeni na ilipokuwa ofisi ya Marehemu Kanumba...Nimekua nikinyoa hapo kwa zaidi ya miaka 15 nywele 2000 scrub 3000 sinaga ndevu total 5000/=Tsh..Mwenzangu siku hiyo nafika namuulizia kinyozi wangu yuko wapi naambiwa kaacha kazi kasajiliwa saloon nyingine basi jamaa mmoja kaniwahi faster kaanza kunitengeneza kamaliza nikapiga na scrub khaaa napewa bili eti 30000/= nakumbuka niliitoa ila ilikua mabatini kituo cha polisi nimefikishwa kwa kosa la shambulio la mwili...Tena walilipa hiyo hela wadhamini wawili waliokuja kunitoa nisilale. Ni wizi wa kipuuzi sana alafu na hali ngumu ya huko sasa hivi wauza nyapu wote wanakimbilia kazi ya saloon na Massage parlows.

Duh! Pole mkuu. Kwa kweli nimejifunza somo zuri kwa visa ninavyovisoma humu
 
ila wanawake akili zao wote sawa, huwa sioni tofauti, samahani kama nitawakwaza, na wengi wa saloon ni malaya tu, manake wale ni hela yako tu, hawana tofauti na wale wa kona bar

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Back
Top Bottom