Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,645
- 7,172
UnararuaVile vidada vya salon huwa vina mitego sana ukizubaa ovyo tu unanasa.
UnararuaVile vidada vya salon huwa vina mitego sana ukizubaa ovyo tu unanasa.
hahaha isidingo nn? o obama barber shop?Nimetoka kupigwa sasa hivi kwa mchezo huuhuu hapa morogoro mjini,,asante kuniamsha sikujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa aisee.Hahahaaa! Wengi huwa ni matapeli. Wanajifanya ni wadada na kujiandikisha post za kimahaba ili kuwatapeli huko pm wanaume wenye tamaa..sasa hapo kajisahau. Men tuwe makini sana.
Hata mimi aisee sijawahi kutapeliwa tangu nazaliwa mpaka sasa nakaribia kuzeeka.Ila wale wa bara mkumbuke tu, Dar ina wenyewe, na walio Dar wanawajuwa WAKUJA, kwa kweli wengine sio kwa kujisifu, ila hatujawahi kufanyiwa hivi...
hhhhaahaha mkuu, wapi hapo [emoji16] [emoji16]kuna saluni 1 msasani nimeingia kunyoa, wakati naendelea kunyoa wakaja wadada wa3, kinyozi akaninong'oneza chagua wa kukusafisha mba, nikamwambia lilie tinginya leusi, nikasia ANNa andaa maji moto na dawa ya mmba, kinyozi alivyomaliza akaniambia ingia chumba kile, kuingia nikamkuta yule dada kavaa taiti tu kashika taulo akaniambia kaa, nikaambiwa vua shati nikavua, akaniambia kwanini usifanye scrub kabisa nikajikuta nasema haya, wakati anaendelea kunifanyia scrub akawa ananipapasa shingoni na na kifuani, nikaanza kusikia nyege balaa dushe likavimba nikakaa kimya, kumbe yeye ananiangalia kwenye kioo, akaniuliza vipi umebanwa sana nikamwambia sana, akaniambia ngoja nikusaidie akanishusha suruali mi nimeshangaa tu, mara dushe likaanzakupakwa mafuta mpaka mapajani, raha niliyosikia, akaitia mdomoni huku anatumia na mkono mara nikasia anasema usinikojolee mdomoni, kilichofuata nilisikia ****** nini ni nilikwambia usinikojolee mdomoni, nikatolewa ndani ya kile chumba hata scrub haijaisha, sijaoshwa kichwa, yule dada aanidai elfu 50 kwa kumchafua mdomoni, kinyozi anadaielfu 15, mfukoni nina 12700 tu, wakachukua 12700 zote wakawa wananidai, wakaniitia police nafikiri ni police wanayemjua, kuja akaniambia unataka starehe wakati huna pesa, police ilipelekwa na deni nililipa, nakumbuka siku ile nilipanda daladala mpaka mabibo huku sina nauli, konda akanikoromea akanisamehe, Aiseee hizo saloon ni hatari kama hamjapatana malipo, sikuile nilidhalilika sana
Umesahau kama hili ni jukwaa la kijamii watu wanatumia fake ID na hata jinsia zao ni complicated, pia sio kila wazo linaloletwa hapa linamuhusu mhusika unaweza ukaiwakilisha jamii au ndugu na jamaa, Hapa jf tupo watu wa aina tofauti we paone hivihivi, wengine wapo kaziniMkuu naona jinsia yako inabadirika kila uchao. Mara hii umesahau kuwa juzi ulikuwa mwanamke Msaada wa ushauri na matibabu
hapo leo tu nimenyoa, wananielewa , kuna yule mrefu mwembamba analazimisha scrub,Nilikutana nayo Geita mitaa ya Classic Bar.
hii avatar [emoji6] [emoji6]kweli kaka naona hayajakukuta
hahha we mhengaTatizo ushamba na uoga, mini naingia saloon yoyote kunyoa sitoi zaidi ya watatu.
Hahahaaa...[emoji1] [emoji2] [emoji1]HILI JAMBO NI KWELI KABISA, KUNA MOJA IPO MAENEO YA MLIMANI CITY WALIMFANYIA HIVYO MDOGO WANGU ALIKUWA AMETOKA KIJIJINI NIKAENDA PALE NIKATAKA KUMTOA MTU ROHO, SHUKURANI KWA KIONGOZI WAKE AMBAYE ALIRUDISHA HELA NA KUOMBA MSAMAHA LA SIVYO LEO NINGEKUWA GEREZANI KIFUNGO CHA MAISHA AU KUSUBIRI KUNYONGWA MAANA NINGEFANYA TUKIO AMBALO DUNIA NZIMA INGESHANGAA...SASA WEWE MWENYEWE JIULIZE NI TUKIO GANI. NYINGINE MBILI ZIPO PALE SINZA-MORI ZINA WANAWAKE SAMAHANI NAOMBA NITUMIE JINA LA MALAYA...WALITAKA KUNILETEA ZA KULETA NIKAWAAMBIA WAIONE HII SURA HIVIHIVI WASITAKE KUTENGENEZA VIFO VYA SIMULIZI...
Kuna jamaa yangu mmoja akiingia salon anauliza kabisa: Kunyoa nywele na ndevu sh ngapi? anapewa jibu. Na scrub je? anapewa jibu. Then analipa palepale na kazi inaendelea. Hata wale wadada wakianza kumnong'oneza sikioni kwa sauti zao zile za wiziwizi sijui kuna wave, dawa ya m'ba, massage ya kichwa au mgongo etc anawaambia aisee sina kitu. Nimeshalipa zote. Ukijifanya unakubali kila ''offer' wanayokuuliza kama utapenda kufanyiwa, hukawii kuacha misimbazi 6 pale
Yes najua zipo saloon wanafanya blow job nk... ila waangalie na hali za watu wenyewe pia... doh...!
Kwa hiyo wewe huwa unaona raha leo kuwa mwanamme, kesho mwanamke tena unaeleza namna unavyogegedwa. Kama si ushoga ni nini? Eti upo kazini...utapeli nao ni kazi?Umesahau kama hili ni jukwaa la kijamii watu wanatumia fake ID na hata jinsia zao ni complicated, pia sio kila wazo linaloletwa hapa linamuhusu mhusika unaweza ukaiwakilisha jamii au ndugu na jamaa, Hapa jf tupo watu wa aina tofauti we paone hivihivi, wengine wapo kazini
hoja dhaifu.Umesahau kama hili ni jukwaa la kijamii watu wanatumia fake ID na hata jinsia zao ni complicated, pia sio kila wazo linaloletwa hapa linamuhusu mhusika unaweza ukaiwakilisha jamii au ndugu na jamaa, Hapa jf tupo watu wa aina tofauti we paone hivihivi, wengine wapo kazini
Kumbuka wanararua wengi hapo[emoji23] [emoji23]Unararua