Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Mimi huwa naingia saloon simple tu. Nikiona salion ina mambo meeengi naipitia mbali. Na nikifika huwa nanyoa nywele na ndevu tu bei haizidi 5000/-.
Nikimaliza huwa wanajipendekeza njoo tukufanyie scrub nawaambia huwa sifanyi scrub, utasikia basi njoo tukuoshe nawaambia sioshi naenda nyumbani kuoga.
Sasa hivi washanizoe nanyoa na kusepa!

Mkuu kwanza nikiona lisaloon lina mambwebwe meng siingii. Swala ni kupunguza wing wa nywele tu.
 
Wajinga.
Halafu kuna vitabia vya kufikiri kila Mwanaume anayeingia salon anawaza ngono hasa kwa wahudumu wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie huwakatalia kuingia vyumbani kushikwa vichwa na wahudumu wengine kama binti zangu tu.Muhimu ni kuuliza bei mapema. Nanyoa tu huyoo nyumbani. Natumia 3,000 tu.
 
Pale Bunju Paris huwa nawaambia mi mkulima wa matikiti msinifanyie hizo madude naenda shamba muda huu wakiliona landrover nje pale wanaamini kweli nyadikwa mkulima, sinyoi kwa zaidi ya 10,000,mwiko!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, hata hiyo 10,000 mbona kubwa sana? Au ulimaanisha 1000 (buku)?
 
mi vinyozi vyangu ni vya upenuni/vilabuni, huwa natumia 1000 au 1500 imezidi sana elfu2. akizidisha hapo nahama kinyozi
 
[emoji26] [emoji26] [emoji26] 20000saloon.

Mkuu embu naomba kuuliza hilo gogo huko juu ktk picha ya saloon ni la kazi gani???ndio maana bei in kubwa sana hadi magogo saluni!!!!!
 
Mkuu umenikumbusha mara ya kwanza nimeamia Dar nikiwa adavance,niliingia salon moja maeneo ya mwenge,nilivyokuwa nikiulizwa hizo huduma nilikuwa nikikubali wakati sijui hata maana yake.Shughuli ilikuwa kwenye kulipa sasa nilipoambiwa elfu 15,nilihisi mwili kupata ganzi,bahati nzuri nilikuwa nimetembea na ada nikalipa,tangu siku hiyo nikaamini kweli mjini shule japo nilidakagwa pia sehemu nyingine kwenye misosi huku nikiwa na binti.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka eti ulikuwa unakubali tu hujui hata maana yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HILI JAMBO NI KWELI KABISA, KUNA MOJA IPO MAENEO YA MLIMANI CITY WALIMFANYIA HIVYO MDOGO WANGU ALIKUWA AMETOKA KIJIJINI NIKAENDA PALE NIKATAKA KUMTOA MTU ROHO, SHUKURANI KWA KIONGOZI WAKE AMBAYE ALIRUDISHA HELA NA KUOMBA MSAMAHA LA SIVYO LEO NINGEKUWA GEREZANI KIFUNGO CHA MAISHA AU KUSUBIRI KUNYONGWA MAANA NINGEFANYA TUKIO AMBALO DUNIA NZIMA INGESHANGAA...SASA WEWE MWENYEWE JIULIZE NI TUKIO GANI. NYINGINE MBILI ZIPO PALE SINZA-MORI ZINA WANAWAKE SAMAHANI NAOMBA NITUMIE JINA LA MALAYA...WALITAKA KUNILETEA ZA KULETA NIKAWAAMBIA WAIONE HII SURA HIVIHIVI WASITAKE KUTENGENEZA VIFO VYA SIMULIZI...
ahaaaaaaahaa
 
ila wanawake akili zao wote sawa, huwa sioni tofauti, samahani kama nitawakwaza, na wengi wa saloon ni malaya tu, manake wale ni hela yako tu, hawana tofauti na wale wa kona bar

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
Unaposema wanawake wote akili zao sawa na kuwafananisha na machangu wa kona bar wakati umezaliwa na mwanamke na unaishi na mwanamke una ndugu wanawake maana yako hasa inakua nini??

au wewe ni ile jinsi ya tatu inayokuja kwa kasi??

Acha kuharibu uzi jombaaa huna cha kuchangia jus read the comments yatosha pia kugain something.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
sawa nimezaliwa na mwanamke lakini niliomna samahani kama nitawakwaza,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
sawa nimezaliwa na mwanamke lakini niliomna samahani kama nitawakwaza,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
Hayo maneno hebu kayaongee mbele ya huyo aliyekuzaa lakini tanguliza samahani kwake.
hlf leta mrejesho.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hayo maneno hebu kayaongee mbele ya huyo aliyekuzaa lakini tanguliza samahani kwake.
hlf leta mrejesho.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
sawa

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Back
Top Bottom