Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Mimi siruhusu huduma zaidi ya kunyolewa! Hata kuoshwa sitaki! Mambo ya kushikwa masikio pasipo ridhaa yangu nilishasema NO!
 
😀😀😀
nikasia anasema usinikojolee mdomoni, kilichofuata nilisikia ****** nini ni nilikwambia usinikojolee mdomoni, nikatolewa ndani ya kile chumba hata scrub haijaisha, sijaoshwa kichwa, yule dada aanidai elfu 50 kwa kumchafua mdomoni, kinyozi anadaielfu 15, mfukoni nina 12700 tu
Hii sehemu imenichekesha sana mkuu...
 
Mimi kiwembe kiwembe namimi wapeleke ujinga wao wa massage ,sijui pedicure mbali na mimi kesho minyweli inaota tena usawa huu wa ma... ni wa kuchezea hela kijinga namna hiyo?
 
HILI JAMBO NI KWELI KABISA, KUNA MOJA IPO MAENEO YA MLIMANI CITY WALIMFANYIA HIVYO MDOGO WANGU ALIKUWA AMETOKA KIJIJINI NIKAENDA PALE NIKATAKA KUMTOA MTU ROHO, SHUKURANI KWA KIONGOZI WAKE AMBAYE ALIRUDISHA HELA NA KUOMBA MSAMAHA LA SIVYO LEO NINGEKUWA GEREZANI KIFUNGO CHA MAISHA AU KUSUBIRI KUNYONGWA MAANA NINGEFANYA TUKIO AMBALO DUNIA NZIMA INGESHANGAA...SASA WEWE MWENYEWE JIULIZE NI TUKIO GANI. NYINGINE MBILI ZIPO PALE SINZA-MORI ZINA WANAWAKE SAMAHANI NAOMBA NITUMIE JINA LA MALAYA...WALITAKA KUNILETEA ZA KULETA NIKAWAAMBIA WAIONE HII SURA HIVIHIVI WASITAKE KUTENGENEZA VIFO VYA SIMULIZI...
duu una mkwara 😀😀😀
 
BINAFSI NILIWAHI KUKUTANA NA HILO JAMBO MWAKA 2008 KWENYE SALON MOJA HV PALE MBEZI TANGIBOVU, BAS WAMENINYOA, NILIFUATANA NA WADOGO ZANGU, KUMBE WAKAT NANYOLEWA WALE WADOGO ZANGU WA KIUME WAKAWA WANASAFISHWA KUCHA NA MIGUU BILA MI KUJUA.. BASI IMEKUJA BILI ATI NILIPE ELFU 30. NIKAWAKATALIA NIKAWAAMBIA SIJAWAPA RUHUSA YA KUWASAFISHA MIGUU.. NILIKOMAA MZEE KIPIND HKO NPO SEKONDARI.. NIKAWAAMBIA SILIPI.. MKITAKA HATA POLISI TWENDENI... SIKUWA NA AIBU (MAANA WENG WANAIBIWA KWA AIBU ZAO).. WALINIMAIND LAKN NILIWALIPA BUKU 5 YA KUNYOA NKASEPA..

NB:AIBU NDO INAWAPONZA WANAUME WA DSM KWA HOFU YA KUDHARAULIKA, SASA KUNYOA UNALIPAJE ELFU 80 LABDA? KAMA HUJUI BEI ULIZA.. NA UWE NA UAMUZ WA VITU UNAVYOVITAKA NDYO VFANYIKE.. HATA UNAPOKWENDA MGAHAWAN ULIZA BEI NDIYO UAGZE MSOSI.

Tchao
umeongea point sana AIBU ndio inawaponza wengi.... pia utaratibu wa kuuliza bei....

I hope wengine watajifunza hili la kuuliza na kuondoa aibu kwenye masuala ya msingi.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Huu ni wizi wa mchana kweupe.

Mambo gani hayo ya kubabatizana
 
Mimi nikienda huwa naweka wazi kuwa nataka kunyoa tu.

Hayo matakataka mengine siyataki.

Kunyoa tu, basi. Kama kuosha uso na hayo maushuzi mengine ntafanya mwenyewe nyumbani.

Eti kuosha uso....kwani wakati wa kuoga huwa nafanya nini?

FOH...
 
Mimi nikienda huwa naweka wazi kuwa nataka kunyoa tu.

Hayo matakataka mengine siyataki.

Kunyoa tu, basi. Kama kuosha uso na hayo maushuzi mengine ntafanya mwenyewe nyumbani.

Eti kuosha uso....kwani wakati wa kuoga huwa nafanya nini?

FOH...
Lol... labda wakati wa kuoga hua unanawa uso sasa wao wanataka kukuosha uso.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom