Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

Vitambaa vya kigaidi ni vitambaa gani hivyo na vikoje? Sijawah sikia eti kuna vilemba vya ugaidi msaada tafadhali. tpaul.
 
Last edited by a moderator:
udaku at it's best.
wapuuzi kama ninyi ni janga kwa taifa.eti ''leo nikitoka kibaruani nitaripoti kwenye vyombo vya usalama''
acha uatani na upumbavu katika masuala ya usalama wewe mtoto

ndio maana nawashauri Moderator Mhariri waifute habari hii haina tija kabisa
 
Last edited by a moderator:
nitoe taarifa humu hadharani usalama wangu utalindwaje? nitapeleka taarifa polisi physically na wasipochukua hatua, nawalipua kwa kova.

nahisi unavuta bange. mara polisi sio weledi watakuripoti kwa kundi hilo mara utapeleka mwenyewe na wasipochukua hatua unawalipua jwa kova. kwani kova sio polisi? kama unahitaji usiri, si ndo ungetumia forum hii ili kujiweka salama? wacha bange za ki 4m 2 wewe
 
baada ya kuona umechukua hatua gani?,umetoa taarifa Polisi?

Leo asubuhi nimepita mahali fulani hapa Dar nikawashuhudia watu wamevaa kininja na vilemba vya kigaidi wakifanya mazoezi ya kungfu na kareti bila wasiwasi wowote.

Mwalimu wao mwenye asili ya kisomali alisikika akiwapa maelekezo kwa lugha ya kiarabu huku akiwa mkali kwa wale walioonekana kukosea maelekezo yake. Kikundi hiki ni cha watu wasiopungua 15.

Hatuwezi kujua vikundi hivi viko vingapi hapa jijini na kama mafunzo haya ya kigaidi wanayopata wataenda kuyatekeleza wapi. Hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kuwa makini na kuchukua tahadhari pindi atakapoona vikundi kama hivi.

Ulinzi na amani ya Taifa letu ni jukumu la kila raia. Juzi kati tumeshuhudia mtanzania mwenzetu akikamatwa kwa sababu za kigaidi. Huenda ugaidi huu amejifunzia hapahapa Tanzania. Chukua tahadhari kabla ya hatari!
 
We jamaa wa ajabu sana. Askari wa usalama wapo wengi sana humu. We toa taarifa kamili humu haraka iwezekanavyo kuokoa wengine. La sivyo usingeandika chochote bali ungeingia kwa Kova kimyakimya maana sasa umewastua na taarifa yako sasa imekuwa uchochezi na nasubiri mods wakushughulikie tu
 
Halafu mimi nashangaa watu wanaposema eti wanafanya mazoezi ya kigaidi ya kungfu mbona sijawah sikia sehemu kumetokea ugaidi na magaidi hao wameshambulia watu kwa kungfu?
 
catch Word "Lugha ya Kiarabu". Umesema ni msomali, lakini lugha ukamchagulia hiyo. Unakijua Kisomali?
 
Paw ondoeni huu uchochezi unaelenga kuchafua hali ya hewa na kuwatisha watu.
 
Last edited by a moderator:
Leo asubuhi nimepita mahali fulani hapa Dar nikawashuhudia watu wamevaa kininja na vilemba vya kigaidi wakifanya mazoezi ya kungfu na kareti bila wasiwasi wowote.

Mwalimu wao mwenye asili ya kisomali alisikika akiwapa maelekezo kwa lugha ya kiarabu huku akiwa mkali kwa wale walioonekana kukosea maelekezo yake. Kikundi hiki ni cha watu wasiopungua 15.

Hatuwezi kujua vikundi hivi viko vingapi hapa jijini na kama mafunzo haya ya kigaidi wanayopata wataenda kuyatekeleza wapi. Hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kuwa makini na kuchukua tahadhari pindi atakapoona vikundi kama hivi.

Ulinzi na amani ya Taifa letu ni jukumu la kila raia. Juzi kati tumeshuhudia mtanzania mwenzetu akikamatwa kwa sababu za kigaidi. Huenda ugaidi huu amejifunzia hapahapa Tanzania. Chukua tahadhari kabla ya hatari!
Huna lolote wewe!
 
Hii tarifa yako mbona haina msaada ungesema ni wapi,maeneo gani,mtaa gani,ikiwezekana ukumbi au uwanja gani ili wahusika wapate kufuatilia sasa unaadika kama unatunga wimbo bana.

Kabisa brother. Upo sahihi. Mijitu mingine mijinga sana. Inashindwa nini kutaja eneo.

[Ndugu yangu Asante kwa taarifa hii.Lakini kama umeweza kuguswa na swala la hofu ya usalama wa nchi yako hadi ukaamua kuandika humu asubuhi hii, unashindwaje kutoa taarifa hii nyeti kwa wahusika hadi jioni utakapo kuwa unatoka kazini? Je kama maandalizi hayo ni ya mwisho kabla ya kuvamia sehemu na baadaye uvamizi ukafanyika kabla haujaitoa hiyo taarifa tutakuelewa? Vinginevyo tuamini kuwa unafanya masihala katika jambo la hatari ambalo pia si jambo la kiungwana. ]Mkuu Simiyu Yetu hii ni taarifa ya kiintelejensia. nl

Nahofia kutamka mahali walipo moja kwa moja wasije wakatoroka kabla ya kushughulikiwa.

Hivi sasa naelekea kibaruani. Nikirudi jioni itabidi nitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama wafanye uchunguzi. Huwezi kujua kama wahusika nao wanapita humu JF, nikitaja mahali walipo naweza kujikuta nimewakurupua kabla hawajachunguzwa.

Cha muhimu ni kila mmoja wetu kuwa makini mahali anapokaa pindi akiona vikundi vya ajabuajabu kama hivi.[/QUOTE]
 
natarajia baadaye kupeleka taarifa polisi. lakini kama ujuavyo polisi wetu wasivyokuwa weledi hawakawii kwenda kunitaja kwa mkuu wa kikundi hiki na kuniweka hatarini.

Utatoa taarifa baadae polisi wakiwa tayari wameshaleta madhara then ili iweje?.
 
Katika wilaya ya Kahama kuna msikiti mmoja unaongozwa na wasomali. hayo mazoezi wanafanya kila siku, sijui nini lengo lake
 
Vitambaa vya kigaidi ni vitambaa gani hivyo na vikoje? Sijawah sikia eti kuna vilemba vya ugaidi msaada tafadhali. tpaul.[/QUOTE tpaul Aisayee Omba radhi, maana umeanza kutuhumu kabla hujahakikisha!! ati mazoezi ya kigaidi (what) vijana wanajifunza selfdefence na kujenga miili yao !! wewe unawatuhumu bila ushahidi!! Halafu mtazamo wako unalenga kashfa na kejeli na uchochezi wa kidini.!!
 
Last edited by a moderator:
Umewaona kwenye masjid ya mtaa gani vile.
 
Back
Top Bottom