jabali gumu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 229
- 46
Hivi kumbe kujifunza kungfu ni ugaidi?
Hizo zinaitwa DOJO zimejaa kila mtaa hapa Dar! Nenda kawaripoti Wajapan wote maana ndio source ya hii kitu!
Vitambaa vya kigaidi ni vitambaa gani hivyo na vikoje? Sijawah sikia eti kuna vilemba vya ugaidi msaada tafadhali. tpaul.
Mkuu Simiyu Yetu hii ni taarifa ya kiintelejensia. nl
Nahofia kutamka mahali walipo moja kwa moja wasije wakatoroka kabla ya kushughulikiwa.
Hivi sasa naelekea kibaruani. Nikirudi jioni itabidi nitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama wafanye uchunguzi. Huwezi kujua kama wahusika nao wanapita humu JF, nikitaja mahali walipo naweza kujikuta nimewakurupua kabla hawajachunguzwa.
Cha muhimu ni kila mmoja wetu kuwa makini mahali anapokaa pindi akiona vikundi vya ajabuajabu kama hivi.
Natumai umaripoti pia kwenye vyombo vya usalamaLeo asubuhi nimepita mahali fulani hapa Dar nikawashuhudia watu wamevaa kininja na vilemba vya kigaidi wakifanya mazoezi ya kungfu na kareti bila wasiwasi wowote.
Mwalimu wao mwenye asili ya kisomali alisikika akiwapa maelekezo kwa lugha ya kiarabu huku akiwa mkali kwa wale walioonekana kukosea maelekezo yake. Kikundi hiki ni cha watu wasiopungua 15.
Hatuwezi kujua vikundi hivi viko vingapi hapa jijini na kama mafunzo haya ya kigaidi wanayopata wataenda kuyatekeleza wapi. Hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kuwa makini na kuchukua tahadhari pindi atakapoona vikundi kama hivi.
Ulinzi na amani ya Taifa letu ni jukumu la kila raia. Juzi kati tumeshuhudia mtanzania mwenzetu akikamatwa kwa sababu za kigaidi. Huenda ugaidi huu amejifunzia hapahapa Tanzania. Chukua tahadhari kabla ya hatari!
Karipoti polisi
Mkuu Simiyu Yetu hii ni taarifa ya kiintelejensia. nl
Nahofia kutamka mahali walipo moja kwa moja wasije wakatoroka kabla ya kushughulikiwa.
Hivi sasa naelekea kibaruani. Nikirudi jioni itabidi nitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama wafanye uchunguzi. Huwezi kujua kama wahusika nao wanapita humu JF, nikitaja mahali walipo naweza kujikuta nimewakurupua kabla hawajachunguzwa.
Cha muhimu ni kila mmoja wetu kuwa makini mahali anapokaa pindi akiona vikundi vya ajabuajabu kama hivi.
nitoe taarifa humu hadharani usalama wangu utalindwaje? nitapeleka taarifa polisi physically na wasipochukua hatua, nawalipua kwa kova.
Hivi kumbe kujifunza kungfu ni ugaidi?
Vikundi hivyo vipo vingi na baadhi yao hufanya mazoezi kwenye nyumba za ibada. huwenda vyombo vya ulinzi na usalama vimeona hakuna madhara wanajiweka fit tu!!! ila tusipoziba ufa tutajenga ukuta,Karipoti polisi
kuna wapumbavu wenzio watakuamini na taarifa yako ya kichochezi, chadema hamuishiwi vitukoLeo asubuhi nimepita mahali fulani hapa Dar nikawashuhudia watu wamevaa kininja na vilemba vya kigaidi wakifanya mazoezi ya kungfu na kareti bila wasiwasi wowote.