Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

Hivi kwani alshababu wanatumia kareti kufanya mashambulizi, hata hivyo ni vema kufanya uchunguzi.
 
tpaul.ni boya nenda kwa Nova ukamueleze nyinyi ndio mnatungiwa sheria za mtumizi mabaya ya mtandao.labda twende na ubongo wako.swali ulithibitisha vipi kama hao ni magaidi tena wa all shabab.pili.utuelezee uma ulijuaje kama hilo eneo na hao ni alshabab.yawezekana ulitimuliwa au tukisema tunakutaka kwa Maelezo zaidi.kuna ubaya.
 
Mkuu Simiyu Yetu hii ni taarifa ya kiintelejensia. nl

Nahofia kutamka mahali walipo moja kwa moja wasije wakatoroka kabla ya kushughulikiwa.

Hivi sasa naelekea kibaruani. Nikirudi jioni itabidi nitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama wafanye uchunguzi. Huwezi kujua kama wahusika nao wanapita humu JF, nikitaja mahali walipo naweza kujikuta nimewakurupua kabla hawajachunguzwa.

Cha muhimu ni kila mmoja wetu kuwa makini mahali anapokaa pindi akiona vikundi vya ajabuajabu kama hivi.

My God !!!! Tpaul are u really sane person or mentally Ill. unangoja nini kama kweli una taarifa ya ukweli. Tafadhali sana wacha kutuchezea maisha ya waTanzania ni muhimu sana. mimi nadhani hakuna ulichoona bali unatafuta sifa tuu. u r very stupid and pathetic person
 
Last edited by a moderator:
natarajia baadaye kupeleka taarifa polisi. lakini kama ujuavyo polisi wetu wasivyokuwa weledi hawakawii kwenda kunitaja kwa mkuu wa kikundi hiki na kuniweka hatarini.

Mkuu naona unaleta porojo jamvini, kama huwezi kuitaja hiyo sehemu walipo kuliktwa na haja gani ya kuleta hizi taarifa?
 
My God !!!! Tpaul are u really sane person or mentally Ill. unangoja nini kama kweli una taarifa ya ukweli. Tafadhali sana wacha kutuchezea maisha ya waTanzania ni muhimu sana. mimi nadhani hakuna ulichoona bali unatafuta sifa tuu. u r very stupid and pathetic person

Watu wanafanya mazoezi na kunena kwa lugha jamaa hataki
 
lakini ni muhimu kuwa makini mkuu Molembe. nataka kwanza nijiridhishe kama mafunzo haya ni halali na kama kikundi hiki kimesajiriwa kufanya shughuli hapa nchini.

Ujirizishe kwani wewe ni kama nani? Mbona hukujirizisha kabla ya kuleta hizi taarifa humu?

Fanyeni kazi acheni umbea kila kitu ugaidi munapenda kuomba matatizo?

Ivi kweli unategemea nani atawaona hawa wanaoitwa magaidi watakapo kusudia kufanya mambo yao?

Mauaji ya kujitoa muhanga ni hatari sana hata Wamarekani vita hii hawaiwezi.

Mara nyingine kama una taarifa kamili jirizishe kwanza ndio utangaze au peleka kunakohusika.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Simiyu Yetu hii ni taarifa ya kiintelejensia. nl

Nahofia kutamka mahali walipo moja kwa moja wasije wakatoroka kabla ya kushughulikiwa.

Peleka taarifa kwa email AU message ya simu kwa yeyote kati ya wafuatao

Njia za Mawasiliano za Jeshi La Polisi Tanzania

JINA WADHIFANAMBA YA SIMUBARUA PEPE
IGP Ernest ManguInspekta Jenerali wa Polisi Tanzania +255754 78 55 57 igp@tpf.go.tz
DIGP Abdulrahmani KanikiNaibu Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania +255658 90 01 26 digp@tpf.go.tz
CP Clodwig MtweveKamishina wa Fedha na Logistics +255754 33 29 99 clodwig.mtweve@tpf.go.tz
CP Paul ChagonjaKamishina wa Operesheni na Mafunzo +255754 48 95 67 paul.chagonja@tpf.go.tz
Kaimu mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai +255787 323444
CP Mussa Alli MussaKamishina wa Polisi jamii +255782 41 72 47 mussa.alimussa@tpf.go.tz
CP Thobias AndengenyeKamishina wa Utawala na Utumishi +255754 77 00 00 thobias.andengenye@tpf.go.tz
SACP Shabani HikiNaibu Kamishina wa Intelijensia ya jinai +255713 26 93 42
DCP Brown LekeyAfisa Mnadhimu Makao Makuu ya Upelelezi +255786 28 32 55 brown.lekey@tpf.go.tz
DCP Omar RashidMkuu wa Mafunzo +255713 26 30 96 rashid.omary@tpf.go.tz
DCP Hezron GyimbiMkuu wa Ufuatiliaji na Tathmini CID +255754 67 18 05 hezron.gyimbi@tpf.go.tz
SACP Ferdinand MtuiMkuu wa Operesheni Maalumu za Polisi +255754 89 79 79
DCP Sostenes KondelaMkuu wa Kitengo cha Miradi ya Maendeleo na Ununuzi +255652 959505 sospeter.kondela@tpf.go.tz
DCP Alice MapundaKaimu Kamishna Uchunguzi wa Sayansi ya Makosa ya Jinai +255719 11 40 00 alice.mapunda@tpf.go.tz
DCP Adolphina ChialoMkuu wa Dawati la Kijinsia na Watoto +255714 28 66 40 adolfina.chialo@tpf.go.tz
DCP Mpinga GyumiMkuu wa Kitengo cha Kushughulikia malalamiko +255655 75 95 74 mpinga.gyumi@tpf.go.tz
DCP Samson KasalaMtaalamu Muelekezi Vikosi Kazi +255765 09 19 19 samson.kassala@tpf.go.tz
SACP Salehe AmbikaMkuu wa Kitengo cha Maadili +255782 43 34 33
SACP Daniel NyambabeMkuu wa Mahusiano ya Kimataifa +255658 47 05 02 daniel.nyambabe@tpf.go.tz
SACP Albert NyamuhangaMkuu wa Mipango na Bajeti +255713 44 22 00 albert.nyamhanga@tpf.go.tz
SACP Gustavus BabileMkuu wa Interpol +255754 28 89 72 gustavus.babile@tpf.go.tz
SACP Ndalo ShihangoAfisa Mnadhimu Fedha +255754 50 79 18 ndalo.shihango@tpf.go.tz
SSP Barnabas MwakalukwaMkuu wa Kitengo cha Kuzuia Uhalifu +255655 56 31 00
ACP Martini OtienoMkuu wa kitengo cha Teknohama +255767 27 97 47 martin.otieno@tpf.go.tz
Bw. Frank MsakiMhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi +255754 49 42 86 frank.msaki@tpf.go.tz
ACP Akili MpwapwaAfisa Mnadhimu Makao Makuu ya Polisi +255754 47 08 92
SSP Advera BulimbaMsemaji wa Jeshi la Polisi +255758 009 861 advera.senso@tpf.go.tz
INSP Antonin MkundiMeneja Mkuu Bwalo la Maafisa +255655 831525 elisha.saenda@tpf.go.tz
JINAWADHIFANAMBA YA SIMUBARUA PEPE
DCP Mohmed MpingaKamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani +255754 360 046 co.traffic@tpf.go.tz
DCP Andrian MagayaneKamanda Bohari Kuu la Polisi +255713 434 008 co.qmaster@tpf.go.tz
DCP Anthon MwamiKamanda kikosi cha Anga +255754 025292 co.anga@tpf.go.tz
SACP Mboje KangaKamanda kikosi cha Wanamaji +255713 217 702/658 481 002 co.marine@tpf.go.tz,
SACP Lucas MkondyaKamanda kikosi cha Ufundi +255713629 824co.ufundi@tpf.go.tz
SACP Patrick ByataoKamanda wa Polisi Tazara +255715 00 30 10 co.tazara@tpf.go.tz,
SACP Richard MalikaKamanda wa kikosi cha Ujenzi +255658 376 503 co.ujenzi@tpf.go.tz,
SACP Simon ChilleryKamanda wa Polisi Reli +255767 56 55 54 co.reli@tpf.go.tz
ACP Paulo Trephony KasabagoKamanda kikosi cha Polisi Afya +255713 47 17 70 co.afya@tpf.go.tz,
SACP Matanga MbushiMkuu wa chuo cha Polisi Moshi +255715 009 972 co.mpa@tpf.go.tz
SACP Ally LugendoMkuu wa Chuo cha Polisi Dar es salaam +255715 009 985 co.dpa@tpf.go.tz
SACP Godfrey NzowaMkuu wa kitengo cha kuzuia dawa za kulevya +255716 921 712
ACP Hamis SelemaniKamanda wa Polisi viwanja vya Ndege +255658 444 488 co.airport@tpf.go.tz
ACP Onesmo LyangaKamanda wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) +255719 222 101 co.ffu@tpf.go.tz
ACP Adelgot HauleKamanda wa kikosi cha Polisi Bendi +255717 260791 co.bendidsm@tpf.go.tz,
ACP Francis MassaweMkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar +255715 009 973co.zpa@tpf.go.tz
ACP Advocate NyombiKamanda wa Kikosi cha Kuzuia wizi wa Mifugo +255756 22 00 22 co.stpu@tpf.go.tz
SSP DK Eugen EmmanuelMkuu wa Kikosi cha Mbwa na Farasi +255754 44 02 33 co.doghorse@tpf.go.tz,
JINAWADHIFANAMBA YA SIMUBARUA PEPE
CP Suleiman KovaKamanda wa Polisi Kanda Maalum DSM +255754 03 42 24
DCP Ally MlegeMkuu wa Utawala na Fedha Kanda Maalum +255754 49 99 77
SACP Constantine MassaweMkuu wa Upelelezi Kanda Maalumu +255754 26 12 82
SP George DanielMkuu wa Kikosi cha Polisi 999 DSM +255713 323 999
Simu ya Dharura112
Chumba cha 999 +255787 66 83 06
JINAMKOANAMBA YA SIMUBARUA PEPE
SACP Valentino MlowolaMWANZA +255715 009 949 rpc.mwanza@tpf.go.tz
SACP Augustino L.OllomiMTWARA +255715 00 99 48 rpc.mtwara@tpf.go.tz
SACP Godfrey Y.KamwelaKILIMANJARO +255715 009 923 rpc.kilimanjaro@tpf.go.tz
ACP Phillipo KalangiMARA +255715 009 930 rpc.mara@tpf.go.tz
ACP Henry MwaibambeKAGERA +255715 009 916 rpc.kagera@tpf.go.tz
SACP Ahmed MsangiMBEYA +255715 009 931 rpc.mbeya@tpf.go.tz
ACP Jafary MohamedKIGOMA +255715 009 915 rpc.kigoma@tpf.go.tz
ACP Renata M. Mzinga (Bi)LINDI +255715 009 927 rpc.lindi@tpf.go.tz
SACP Ulrich MateiPWANI +255715 009 953 rpc.pwani@tpf.go.tz
SACP Jocob MwaruandaRUKWA +255715 009 954 rpc.rukwa@tpf.go.tz
SACP Leonard Paul LwabuzalaMOROGORO +255715 009 946 rpc.morogoro@tpf.go.tz
ACP Thobias G. SedoyekaSINGIDA +255715 009 959 rpc.singida@tpf.go.tz
SACP Frasser KashaiTANGA +255715 009 963 rpc.tanga@tpf.go.tz
SACP Justus KamugishaSHINYANGA +255767508090 rpc.shinyanga@tpf.go.tz
ACP Mihayo MsikhelaRUVUMA +255715 00 99 56 rpc.ruvuma@tpf.go.tz
ACP Lazaro MambosasaTARIME RORYA +255715 009 964 rpc.tarimerorya@tpf.go.tz
SACP Charles MkumboSIMIYU +255658376481/754380176 rpc.simiyu@tpf.go.tz
SACP Furgence NgonyaniNJOMBE +255658 376 495 rpc.njombe@tpf.go.tz
SACP Liberatus SabasARUSHA +255715 009 912 rpc.arusha@tpf.go.tz
SACP David MisimeDODOMA +255715 009 914 rpc.dodoma@tpf.go.tz
SACP Dhahiri KidavashariKATAVI +255769 168 850 rpc.katavi@tpf.go.tz
ACP Joseph Michael KonyoGEITA +255658 376 488 rpc.geita@tpf.go.tz
SACP Marietha MinangiILALA +255715 OO9 980 rpc.ilala@tpf.go.tz
ACP Kihenya M. KihenyaTEMEKE +255715 009 979 rpc.temeke@tpf.go.tz
ACP Camilius WamburaKINONDONI +255715 009 976 rpc.kinondoni@tpf.go.tz
ACP Suzy KagandaTABORA +255715 009 961 rpc.tabora@tpf.go.tz
SACP Deusdedit NsimekiMANYARA +255715 009 929 rpc.manyara@tpf.go.tz
ACP Ramadhani MungiIRINGA +255715 009 921 rpc.iringa@tpf.go.tz
ACP Juma Saadi KhamisKusini Unguja +255786 66 20 99 rpc.kusiniunguja@tpf.go.tz
ACP Juma Yusuf AliKaskazini Pemba +255715 00 99 17 rpc.kaskazinipemba@tpf.go.tz
ACP Mkadam Khamis MkadamMjini Magharibi +255715 00 99 39 rpc.mjinimagharibi@tpf.go.tz
ACP Juma Yusuph MsigeKusini Pemba +255715 00 99 24 rpc.kusinipemba@tpf.go.tz
ACP Suleiman MsangiKaskazini Unguja +255715 00 99 18 rpc.kaskaziniunguja@tpf.go.tz
JINA WADHIFA NAMBA YA SIMU BARUA PEPE
CP Hamdani MakameKamishina wa Polisi Zanzibar +255754 41 26 90
SACP Aziz MohamedMkuu wa Utawala na Fedha Zanzibar +255755 76 32 92
SACP Hamis Juma SaidMkuu wa Mipango na Maendeleo +255653 36 97 07
SACP Salum MsangiNaibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar +255655 17 63 00
SACP Hassan Nassir AliMkuu wa Operesheni Zanzibar +255777 41 44 88
SP George ChongolaMkuu wa Kikosi cha Bendi +255654 55 81 90
SP Mohamed H HajiAfisa Mnadhimu Fedha +255777 42 91 25
D/SSGT Hamdan Iddrisa Hamdan Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Dawa za Kulevya +255777 43 17 54

[TD="colspan: 4"] NAMBA ZA SIMU ZA MAOFISA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI [/TD]

[TD="colspan: 4"] NAMBA ZA SIMU ZA MAOFISA VIKOSI VYA JESHI LA POLISI [/TD]

[TD="colspan: 4"] NAMBA ZA SIMU ZA MAOFISA KANDA MAALUMU YA POLISI DAR ES SALAAM [/TD]

[TD="colspan: 4"] NAMBA ZA SIMU ZA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA [/TD]

[TD="colspan: 4"] NAMBA ZA SIMU ZA MAOFISA MAKAO MAKUU YA POLISI ZANZIBAR [/TD]
 
Hii tarifa yako mbona haina msaada ungesema ni wapi,maeneo gani,mtaa gani,ikiwezekana ukumbi au uwanja gani ili wahusika wapate kufuatilia sasa unaadika kama unatunga wimbo bana.

Pumbavu kabisa wewe nyambaf mkubwa,ataje hadi mtaa unamlipa? TISS wana kazi gani hadi raia tu mpita njia aone? lijinga sana wewe,nakuchukia sana kama mavi,mbona maandamano ya CHADEMA wanajua hata kabla hawajaandamana? leo watu wanaonekana hadharani bado serikali eti haiwaoni,ukitokea ugaidi hapa Tanzania ccm itakuwa inahusika.
 
ANGALIZO: -/ ziko shule mbalimbali huko ilala na temeke na pembezoni mwa mji zinazofundisha mashuleni KUNG FU KWELI NI MCHEZO LAKINI KWA SASA IMEKUWA TOO MUCH KWA NINI MICHEZO HII ISICHEZW3 KATIKA MABARAZA YA MICHEZO YANAYOTAMBULIKA ,KWANINI KUNG FU INASISITIZWA KTK MASHUL3 YA KIDINI TU HASA YA KIISLAMU / QUIET DANGEROUS/ MICHEZO HII IEUHUSIWW KTK SEHEMU ZINAZOTAMBULIKA RASMK
 
How much is too much?? Na ni too much according to nani??
 
Pumbavu kabisa wewe nyambaf mkubwa,ataje hadi mtaa unamlipa? TISS wana kazi gani hadi raia tu mpita njia aone?

Ulinzi wa Tanzania ni wajibu wa kila mtanzania na kila mzalendo.Ukiona nyumba ya jirani jambazi lenye silaha limevamia usitoe taarifa shauri yako hujui wakimaliza kwa jirani wanakuja kwa nani yawezekana wanakuja kwako.

Hao magaidi hilo zoezi huwezi jua wanafanya wanamlenga nani waweza kuwa wanalenga utakapoukuwa upo wewe.Wakikushugulikia usije sema kuwa ningewaripoti kwani nimeajiriwa polisi au TISS.

Mambo ya ulinzi ni ya wote na vyama vyote.
 
lakini ni muhimu kuwa makini mkuu Molembe. nataka kwanza nijiridhishe kama mafunzo haya ni halali na kama kikundi hiki kimesajiriwa kufanya shughuli hapa nchini.

Wewe kweli walewale. Umekula maharage ya wapi? kwa nini umetoa thread ambayo huna uhakika nayo? Watu wa kukurupuka kama nyinyi ndio ile sheria mpya inawahusu. Haya wahi kibaruani
 
Last edited by a moderator:
Leo asubuhi nimepita mahali fulani hapa Dar nikawashuhudia watu wamevaa kininja na vilemba vya kigaidi wakifanya mazoezi ya kungfu na kareti bila wasiwasi wowote.

Mwalimu wao mwenye asili ya kisomali alisikika akiwapa maelekezo kwa lugha ya kiarabu huku akiwa mkali kwa wale walioonekana kukosea maelekezo yake. Kikundi hiki ni cha watu wasiopungua 15.

Hatuwezi kujua vikundi hivi viko vingapi hapa jijini na kama mafunzo haya ya kigaidi wanayopata wataenda kuyatekeleza wapi. Hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kuwa makini na kuchukua tahadhari pindi atakapoona vikundi kama hivi.

Ulinzi na amani ya Taifa letu ni jukumu la kila raia. Juzi kati tumeshuhudia mtanzania mwenzetu akikamatwa kwa sababu za kigaidi. Huenda ugaidi huu amejifunzia hapahapa Tanzania. Chukua tahadhari kabla ya hatari!

mkuu umetoa taarifa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama? ni wapi? maeneo gani? hebu weka taarifa zitakazosaidia
 
Leo asubuhi nimepita mahali fulani hapa Dar nikawashuhudia watu wamevaa kininja na vilemba vya kigaidi wakifanya mazoezi ya kungfu na kareti bila wasiwasi wowote.

Mwalimu wao mwenye asili ya kisomali alisikika akiwapa maelekezo kwa lugha ya kiarabu huku akiwa mkali kwa wale walioonekana kukosea maelekezo yake. Kikundi hiki ni cha watu wasiopungua 15.

Hatuwezi kujua vikundi hivi viko vingapi hapa jijini na kama mafunzo haya ya kigaidi wanayopata wataenda kuyatekeleza wapi. Hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kuwa makini na kuchukua tahadhari pindi atakapoona vikundi kama hivi.

Ulinzi na amani ya Taifa letu ni jukumu la kila raia. Juzi kati tumeshuhudia mtanzania mwenzetu akikamatwa kwa sababu za kigaidi. Huenda ugaidi huu amejifunzia hapahapa Tanzania. Chukua tahadhari kabla ya hatari!
Umetoa taarifa polisi kwa ajili ya uchunguzi? nilikuwa nasubiri umalizie kwa kusema nimeripoti polisi.
hii itasaidia ili namwingine akiona tukio atoe taarifa polisi ili kuokoa maisha ndipo atuletee taarifa hapa jamvini baadae.
Hasara ya kuanzia jf ni kwamba kama walikuwa wanamalizia mazoezi ya mwisho ili kwenda kuleta madhara sehemu
unaweza hata wewe ukadhurika wakati unaandika post humu jf ghafla unasikia mlipuko,unaishia kusema niliwaona asubuhi kwenye mazoezi.
 
Mkuu Simiyu Yetu hii ni taarifa ya kiintelejensia. nl

Nahofia kutamka mahali walipo moja kwa moja wasije wakatoroka kabla ya kushughulikiwa.

Hivi sasa naelekea kibaruani. Nikirudi jioni itabidi nitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama wafanye uchunguzi. Huwezi kujua kama wahusika nao wanapita humu JF, nikitaja mahali walipo naweza kujikuta nimewakurupua kabla hawajachunguzwa.

Cha muhimu ni kila mmoja wetu kuwa makini mahali anapokaa pindi akiona vikundi vya ajabuajabu kama hivi.
udaku at it's best.
wapuuzi kama ninyi ni janga kwa taifa.eti ''leo nikitoka kibaruani nitaripoti kwenye vyombo vya usalama''
acha uatani na upumbavu katika masuala ya usalama wewe mtoto
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo unataka tuwaache waendelee na mazoezi yao bila kuchunguzwa kwa kisingizio cha uchochezi? anachochewa nani hapa?
naamini kama wewe ulivyowaona na wengine pia wameona je umetumia intelijensia gani yakujua hao ni magaidi...? umetoa taarifa sehemu husika...? au ndio tukueleweje...?
 
Mkuu Simiyu Yetu hii ni taarifa ya kiintelejensia. nl

Nahofia kutamka mahali walipo moja kwa moja wasije wakatoroka kabla ya kushughulikiwa.

Hivi sasa naelekea kibaruani. Nikirudi jioni itabidi nitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama wafanye uchunguzi. Huwezi kujua kama wahusika nao wanapita humu JF, nikitaja mahali walipo naweza kujikuta nimewakurupua kabla hawajachunguzwa.

Cha muhimu ni kila mmoja wetu kuwa makini mahali anapokaa pindi akiona vikundi vya ajabuajabu kama hivi.

Kwa sababu huwezi kutaja mahali au sehemu ulipo waona na pia umeshindwa kureport tukio hili polisi basi tuchukulie kuwa taarifa yako haina usahihi na huna uhakika nayo kabisa maana haingii akilini kabisa unacho kiandika ...hivi unafikiri usipo pataja ndio watakusubiri? polisi wakisoma habari hii watasema ni ya kizushi na ya kichochezi ....mimi nawashauri Moderator waifute maana haina mantiki kabisa.
 
Last edited by a moderator:
udaku at it's best.
wapuuzi kama ninyi ni janga kwa taifa.eti ''leo nikitoka kibaruani nitaripoti kwenye vyombo vya usalama''
acha uatani na upumbavu katika masuala ya usalama wewe mtoto

Hawa ndio walio sababisha sheria za uhalifu wa mitandao kutungwa ili kudhibiti taarifa kama hizi...
 
Back
Top Bottom