mshikamano daima
Member
- Apr 12, 2015
- 7
- 3
Mbona mnaturusha roho na habari hizi....hapo hujatoa msaada wowote na Wewe sio RAIA mwema. Kama RAIA mwema ungetoa eneo na ungetoa taarifa polisi
Mkuu Simiyu Yetu hii ni taarifa ya kiintelejensia. nl
Nahofia kutamka mahali walipo moja kwa moja wasije wakatoroka kabla ya kushughulikiwa.
Hivi sasa naelekea kibaruani. Nikirudi jioni itabidi nitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama wafanye uchunguzi. Huwezi kujua kama wahusika nao wanapita humu JF, nikitaja mahali walipo naweza kujikuta nimewakurupua kabla hawajachunguzwa.
Cha muhimu ni kila mmoja wetu kuwa makini mahali anapokaa pindi akiona vikundi vya ajabuajabu kama hivi.
Leo asubuhi nimepita mahali fulani hapa Dar nikawashuhudia watu wamevaa kininja na vilemba vya kigaidi wakifanya mazoezi ya kungfu na kareti bila wasiwasi wowote.
Mwalimu wao mwenye asili ya kisomali alisikika akiwapa maelekezo kwa lugha ya kiarabu huku akiwa mkali kwa wale walioonekana kukosea maelekezo yake. Kikundi hiki ni cha watu wasiopungua 15.
Hatuwezi kujua vikundi hivi viko vingapi hapa jijini na kama mafunzo haya ya kigaidi wanayopata wataenda kuyatekeleza wapi. Hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kuwa makini na kuchukua tahadhari pindi atakapoona vikundi kama hivi.
Ulinzi na amani ya Taifa letu ni jukumu la kila raia. Juzi kati tumeshuhudia mtanzania mwenzetu akikamatwa kwa sababu za kigaidi. Huenda ugaidi huu amejifunzia hapahapa Tanzania. Chukua tahadhari kabla ya hatari!

Nyie ndio maana Kanisani badala ya kusali, mnaishia kutolewa mapepo!
Si ajabu una pepo limekuganda kuanzia kichwani mpaka makalioni
shukrani tunashukuru na wengine tuige mfano wa huyu mwenzetu.
Mawasiliano yote na jeshi la polisi hayo hapo chini popote ulipo andika meseji au email.Toa taarifa.
Njia za Mawasiliano Jeshi La Polisi Tanzania
Hivi hawa waislam kwa nini hawapendi kuishi kwa amani, yaani bila kuua hawaoni raha kabisa...dini mbaya sana hiyo
Hapo CHAMVIGA umetukosea sana WAKRISTU,mleta mada hakuusema UISLAMU ameusemea UGAIDI,na kamwe usichanganye UGAIDI na UISLAMU ni vitu viwili tofauti,wala usichanganye UARABU na UISLAMU ni vitu viwili tofauti.
Kakangu tunachotakiwa kufanya ni kuielimisha jamii pamoja na wewe kwamba tujitahidi kuweka vitu hivi viwili tofauti,DINI YA KIISLAMU na UGAIDI,anavyosemea UGAIDI anasemea watu wenye nia mbaya wanaojaribu kumwaga damu za watu wasio na hatia kwa kisingizio cha dini..................
Hatuhitaji akina Anthony Koni wa Uganda walivyoua tukasema ni UKRISTu hapana ,Antony Koni aliua kwa sababu zake za uuaji na ile awe regicognised na dunia.
Iheshimu dini yako kwanza upate kuheshimu dini za wenzako,Kaka Uisalmu siyo UGAIDI.............
Unachekesha kweli mwanaaa,huku jamii forum ni hadharani kvp ilhali ww si verified member hata picha ya profile si yako nachoka kabisa.Anyway kitendo cha ww kutoa taarifa hii hauoni inatosha kukutia hatarini kama ni kweli kwa jinsi akili yako ilivyokutuma?Ila angalia uwe makini kwani jeshi la polisi kupitia msemaji wake limeonya tabia za kuzusha kuhusu ugaidi.nitoe taarifa humu hadharani usalama wangu utalindwaje? nitapeleka taarifa polisi physically na wasipochukua hatua, nawalipua kwa kova.
Hii tarifa yako mbona haina msaada ungesema ni wapi,maeneo gani,mtaa gani,ikiwezekana ukumbi au uwanja gani ili wahusika wapate kufuatilia sasa unaadika kama unatunga wimbo bana.
Leo asubuhi nimepita mahali fulani hapa Dar nikawashuhudia watu wamevaa kininja na vilemba vya kigaidi wakifanya mazoezi ya kungfu na kareti bila wasiwasi wowote.
Mwalimu wao mwenye asili ya kisomali alisikika akiwapa maelekezo kwa lugha ya kiarabu huku akiwa mkali kwa wale walioonekana kukosea maelekezo yake. Kikundi hiki ni cha watu wasiopungua 15.
Hatuwezi kujua vikundi hivi viko vingapi hapa jijini na kama mafunzo haya ya kigaidi wanayopata wataenda kuyatekeleza wapi. Hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kuwa makini na kuchukua tahadhari pindi atakapoona vikundi kama hivi.
Ulinzi na amani ya Taifa letu ni jukumu la kila raia. Juzi kati tumeshuhudia mtanzania mwenzetu akikamatwa kwa sababu za kigaidi. Huenda ugaidi huu amejifunzia hapahapa Tanzania. Chukua tahadhari kabla ya hatari!
UPDATE
tukio limeisharipotiwa kituo cha polisi na wanausalama hao wameahidi kulichunguza kwa umakini na kunipa mrejesho. tuendelee kuwa watulivu wakati polisi wakifanya uchunguzi wao. wote mnaonitukana nimewapuuza.
NAKUBALIANA NA WEWE KWA YOTE ULIYOYASEMA LAKINI SIJAONA KOSA LANGU KWA WAKRISTO KWAKUWA WAKIRISTO HUMUITA YESU MUNGU NA KWAMBA MUNGU HUYO AMEADHIBIWA MSALABANI KWA KUPIGIWA MISUMALI.
Lakini mimi nilimhoji mleta habari uhusiano uliopo kati ya ugaidi, kungfu,vilemba na lugha ya kiarabu unatoka wapi? Wasomali si waarabu wala hata kiarabu sio lugha yao mama inakuaje mtu huyu kuungaunga sentensi zenye kuashiria chuki na kuinyooshea kidole dini ya watu wengine?
Vitambaa vya kigaidi ni vitambaa gani hivyo na vikoje? Sijawah sikia eti kuna vilemba vya ugaidi msaada tafadhali. tpaul.