Gwajima aliwarekodi watu aliokuwa anaenda kuwapa ushauri wa kiroho.
Halafu anatangaza ushauri huo na matatizo yao hadharani.
Ole wako...ukimwambia siri zako utajuta.
kiongozi wa dini sio wa kulipiza kisasi...gwajima wala hafai kuwa kiongozi wa dini... yupo kimaslahi zaidi...
nilidhani alivyomtukana Pengo alipitiwa tu kumbe sasa ndio tabia yake...
watu wake lazima wawe macho kuingozwa na kiongozi kama huyu
Tunamuamini na tunamuheshimu gwajima.
Sasa kwa akili hiyo hiyo iliyokutuma kuamini hivyo ni kuulize na wewe je Slaa nae anafaa kuaminiwa?
Sijakuamulia mkuu!
Nimetoa tahadhari...kama wewe ulishamjua ni msanii siku nyingi wengine hawamjui na wana haki ya kutahadharishwa.
Bahati nzuri Dr Slaa ni mtumishi wa Mungu kwa cheo cha upadri na ni mtu anayejua nini maana ya siri na nini maana ya kutunza siri.
Gwajima naye ni mtumishi wa Mungu mwenye cheo cha uasikofu kama ilivyo kwa Dr slaa naye ana jua siri ni nini na namna ya kutunza siri.
Kwa pamoja wote ni watumishi wa Mungu wanaopaswa kutunziana siri pamoja na siri za watu wengine.
Kama kuna mtumishi mmoja kaamuwa kumwaga ugali hadharani,mwenzake kajibu kwa kumwaga mboga hadharani,huyu mtumishi wa pili aliyejibu kwa kumwaga mboga hadharani ana laumiwa kwa kosa gani?.

Huyu mhuni namchukia kuliko mtu yeyote na sijawahi kumkubali zaidi ya kumuona mpigaji tu ..alivunja ndoa ya kijana mwenzetu na sahivi bado hana haya anasimama mbele ya madhabau, sijuhi hii ni aina gani ya Utumishi kwa mungu ..jamaa ni poisonous kuliko king cobra na hafai hats kumkaribisha kwako make hajuhi mipaka ya maongezi, ni mpayukaji sana.
Gwajima hadi kwenye kamati kuu ya CHADEMA aliingia,hili ni balaaa nchi yetu wallah inaenda wekwa reahani.MUNGU saidia Magufuli ashinde
Si busara kuzumzia maisha ya ndoa ya mtu, ni mambo mapana na kila mmoja yanamsibu ila yanatofautiana.