Huwezi kusema hadharani siri za maisha binafsi ya mtu kama umeaminiwa. Gwajima anajiita au kujitangaza kwamba ni askofu,Dr akamwamini kwa kumtaka ushauri(kama ni kweli) kwa mambo ya ndani sana ya familia,lakini Gwajima ametumia nafasi hiyo kushambulia familia ya Dr Slaa. Mapovu yamemtoka kujibu hoja za kisiasa kuweka wazi mazungumzo ya siri(kama yalikuwepo). Hili si sahihi. Kama aliyozungumza kuhusu Dr Slaa ni ya kweli,Gwajima amekiuka wajibu wake kama kiongozi wa dini.Haaminiki,hana kifua cha kubeba siri za watu. Dr Slaa huwa anakija na nondo nzito za serikali,lakini sikuwahi kumsikia akitaja vyanzo vya taarifa zake. Dr ni Padre wa Kanisa Katoliki,amefundishwa kutunza siri za watu,hata kutoa maisha yake.
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.
Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.
Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.
Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.
Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.
Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.
Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

naona ccm sindano imewwingia haswa

Hivi hata ukibadili dini Askofu anatoka hadharani kuja kumwaga siri zako?
Gwajima yupo sahihi kabisaaaaa kwa aliyoyasema leo.
Tangu Gwajima aanze huduma yake mwanzoni mwa miaka ya 90 hii ni mala yake ya kwanza kutaja tatizo la mtu aliyeenda kwake kwa huduma ya maombezi.
BILA SHAKA HILI KALIFANYA KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA.
NI SAWA TU NA DAKTARI KUWAAMBIA WATANZANIA MGOMBEA FULANI (AMBAYE NI MTEJA WAKE NA KAFANYA KITUKO HADHARANI) KUWA ANA TATIZO LA AKILI.
Slaa katika utumishi wake kanisani amepata mengi lakini hakuna hata siku moja aliyowahi kutumia anayoyajua kama padre katika mimbari za kisiasa.He basically gave him a taste of his own medicine. If he had shut his mouth and not attack him personally then it he would never has responded like that. What did you want him to do? To shut while they had lied about him? Come on?.
Why did he call him mshenga? That was a very big insult it. It was done not once but twice, this was very unfair and as a human being patient has a limit. Remember he is a merely a human being and not GOD. Even God patience has limit that's why he send people to hell despite that he is a merciful GOD
He basically gave him a taste of his own medicine. If he had shut his mouth and not attack him personally then it he would never has responded like that. What did you want him to do? To shut while they had lied about him? Come on?.
Why did he call him mshenga? That was a very big insult it. It was done not once but twice, this was very unfair and as a human being patient has a limit. Remember he is a merely a human being and not GOD. Even God patience has limit that's why he sendm
bu....bu but mshenga is not even an insult it like a go between,a middleman,and that is excatly ngwajima was doing in this deal of getting lowasa to decamp...
Nani wa kumuamini sana babayako?
Kwa jinsi nilivyoona, anaweza hata ku-blackmail waumini wake! SIO WA KUMUAMINI HATA KIDOGO.
ndio maana mkapa kakuiteni wapumbavu na malofa. macho mnayo hamuoni, masikio mnayo hamsikii, tatizo akili mgando au ni kufuata malisho! mtu unawezaje kumuamini gwajima kama mchungaji au askofu wa kanisa. kama ni kiongozi wa kiroho labda ni mganga wa kienyeji.Tunamuamini na tunamuheshimu gwajima.
huyo gwajima ninamashaka naye kama kwel ni mtanzania.sifa ya watanzania ni ukarimu.lakin yy kavunja ndoa za watu,kagombana na viongoz wa din na sasa anachonganisha kwenye siasa. huyu jamaa tumwogope kama ukoma.huo uaskofu atakuwa kajipa mwenyewe maana hana sifa ya kuwa bishop.
..hiyo juice ya 'pensheni' kuinunua mpk uwe umestaafu sio.!
He basically gave him a taste of his own medicine. If he had shut his mouth and not attack him personally then it he would never has responded like that. What did you want him to do? To shut while they had lied about him? Come on?.
Why did he call him mshenga? That was a very big insult it. It was done not once but twice, this was very unfair and as a human being patient has a limit. Remember he is a merely a human being and not GOD. Even God patience has limit that's why he send people to hell despite that he is a merciful GOD.