Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Gwajima ni Mjasilia mali. Na bidhaa ni Kondoo.
Mnataka akale wapi?

Kwani Nani anaefanya kazi ya Upako asie Tapeli?
 
Pigs magoti sana usali ndugu yangu! Biblia imesema kuweni chonjo siku za mwisho maana manabii wa uongo watakuwa wengi na watakuja kwa jina la Bwana! Sitaki kumhukumu Gwajima ila matendo yake yanatia shaka

Ila matendo ya Padri Slaa hayana shaka!!?
 
mnajua maana ya mshenga? huwezi kuwaita viongozi wa kiroho washenga.......viva gwajima na MUNGU azidi kukupa hekima ya kua muwazi
 
Dr. Slaa alivyoelekeza makombora kwa Mch.Gwajima alitarajia nini, acha ajibiwe ili kuweka mambo sawa.
 
Gwajima ni kama kibwetere, mwizi tu na hana maadili yeyote.
 
Ni nani aliyehama na akaanikwa? Au kuna shida ubongoni kwako huyu silaha kaanza kumdhihaki Askofu na labda nikuulize wewe kama sio wa kuzimu yaani akisemwa vibaya mtumishi wa kwako ni furaha ila akisemwa silahaa imekuuma sana, upigwe kwa jina la Yesu.

Watu kama hao usikute hawajui chanzo ni nini yeye kaona mashambulizi hajui yameanzia wapi,gwajima angenyamaza siwangesema ni ukwelialiyoyasema BABUSILAA?mimi naona gwajima yuko katika uborawake.
 
Mtu kuwa na mapepo siyo siri.

Na inapendeza kwa watumishi Wa Mungu kurekodi kila kitu maana wapo watu hutumika na shetani ili kuangusha huduma hiyo ya injili.
Inapotokea kadhia ya kipajaziwa uongo ukweli unaletwa shetani anahaibika.

Niwakumbushe shetani niroho utumia watu ili kufanikisha hadhima yake. Dr alisha ingiliwa na roho ya ushetani ndo maana anakuwa hivo hawezi jitambua kirahisi
 
Nasubiri siku lowassa akikosana na gwajima sipati picha, maana lowassa naye atakuwa amemwamini gwajima na kumpa siri nyingi tu.
Gwajima kama yeye ni mtumishi wa mungu alishindwa kuombea hayo mapepo yamtoke mama?
Biblia inasema usilipe kisasi maana kisasi ni juu ya bwana gwajima hapa kasimamia wapi?
Alitakiwa kumuombea huyu mzee kutokana na yale yanayomsumbua, tatizo kajiingiza kwenye siasa ili apate kiwanja cha tanganyika packers endapo lowassa atashinda.

Slaa si padri? Kwa nini hakumuombea mashetani mchumba wake?
 
Katukanwa naye amejitokeza na kukanusha. Leo hii mnamwona mbaya, angekaa kimya mngejidai amezidiwa na facts za dr. Kumbe utupu
 
ukweli umenza kuwa uma? mula mihogo tena ya kuchemsha je hakutumwa alipata wapi hela za kulipia live air times kwenye Luninga na kusema yote ailyo yasema kwa wale ambao ni wavivu wa kufikiri hawataelewa
 
...kwani mapepo hukemewa sirini?..Gwajima Yuko sahihi...Slaa aliyataka mwenyewe..na amejibiwa kama alivyotaka...watanzania mmezoea kuishi kinafiki..ndio maana mnalia humu..slaa angekaa kimya yasingemkuta...
 
Ya kaisali mpe kaisali na ya mungu mpe mungu mbona hata slaa nae ni padli lakini kamchafua mwenzie msiangalie upande mmoja.sababu yeye slaa kaja kimwili nae kajibiwa kimwili .no. koment

Point of correction.... DR sio Padre bali alikuwaga.
 
Chadema udini na ukanda umewajaa sana... Hiv Gwajima anaingia kwenye kamati kuu mbaya zaidi ndie aliyewachugulia ukawa mgombea... Juzi tumemsikia Lowasa nae akiwaomba waumini wa dhehebu lake wampigie kura kisa tu yy ni dhehebu hilo.. Hii ni hatar sana kwa taifa lenye watu wenye Imani tofauti... Na watu kama hawa hawafai hata kupewa hata ujumbe wa nyumba kumi maana mwishowe wataishia kutugawa tu kutokana na Imani zetu....
 
Kwa hili huyu gwajima kakosea. Tena sana. Yeye angeongelea mengine ila haya ya huduma za kiroho kwa waumini limenitafakarisha sana.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom