Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

Ungetumia busara hii hii kumuonya Slaa wakati anarusha mawe kwa viongozi wake wa dini na hasa pale alipoamua kuwataja kwa majina, huenda ushauri huu ungekuwa na maana. Tatizo letu macho yetu yamepinda. Yanaona yanayotokea mkono wa kulia tu, yale ya upande wa kushoto tunayaita matusi, uchochezi n.k.
 
Chadema udini na ukanda umewajaa sana... Hiv Gwajima anaingia kwenye kamati kuu mbaya zaidi ndie aliyewachugulia ukawa mgombea... Juzi tumemsikia Lowasa nae akiwaomba waumini wa dhehebu lake wampigie kura kisa tu yy ni dhehebu hilo.. Hii ni hatar sana kwa taifa lenye watu wenye Imani tofauti... Na watu kama hawa hawafai hata kupewa hata ujumbe wa nyumba kumi maana mwishowe wataishia kutugawa tu kutokana na Imani zetu....

Ni vema tuheshimu uhuru wako wa kutoa maoni. Hivi kweli umeaminishwa kuwa hata ukikutana na watu wa familia yako hamtaweza kuongea juu ya ugombea wako kisa kukutana kwenu hakupo katika ratiba ya tume ya uchaguzi!!?
 
gwajima kama kumjibu angemjibu slaa na si kumuingiza josephine. pili alikuwa anamrekodi muumini wake kwa lengo gani? pia kumtangaza mtu anamashetani ndiyo maadili? chadema kama mnashabikia haya basi mtakuwa kwelii mmetoka kwenye misingi
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!
Kuna vitu ambavyo sidhani kama ni mbaya, mfano ni kuhakikisha muumini wake lowasa anajiunga na chadema na kutoka ccm, makosa aliyofanya ni kuingia ndani zaidi kwenye siasa na alipoamua kumrekodi mke wa slaa, kama kiongozi wa kiimani kwani chochote afanyalo au mzungumzayo baina ya mtu na kiongozi wake wa dini inatakiwa iwe siri, sasa je nani atakuamini kama hujamrekedi na je wangapi umewarekodi katika ukawa?hii ni maswali viongozi wengi watajiuliza kimyakimya,kwa mtazamo wangu nadhani hapo asingezungumzia wala kuthubutu kuifanya kama kiongozi wa dini kwani ni inavuruga masuala muhimu ya kumuamini kiongozi na kumweleza siri zetu, hata kuzungumzia masuala ya kuzimia mke wa slaa hiyo ni mambo ya siri na kiongozi wa dini anatakiwa awe na mipaka kwani yeye siyo mwanasiasa,lakini mengine ya kusimamia maelewano kati ya EL na Ukawa in sawa kwani pande zote lazima ziwe na mtu wanaye mwamini.
 
Bahati nzuri Dr Slaa ni mtumishi wa Mungu kwa cheo cha upadri na ni mtu anayejua nini maana ya siri na nini maana ya kutunza siri.

Gwajima naye ni mtumishi wa Mungu mwenye cheo cha uasikofu kama ilivyo kwa Dr slaa naye ana jua siri ni nini na namna ya kutunza siri.

Kwa pamoja wote ni watumishi wa Mungu wanaopaswa kutunziana siri pamoja na siri za watu wengine.

Kama kuna mtumishi mmoja kaamuwa kumwaga ugali hadharani,mwenzake kajibu kwa kumwaga mboga hadharani,huyu mtumishi wa pili aliyejibu kwa kumwaga mboga hadharani ana laumiwa kwa kosa gani?.

Tatizo la mtumishi wa pili ni kwamba yuko against the SYSTEM
 
Hapa Ni kata funua tu.Kama Slaa anadai Askofu ambaye Ni mtumishi wa Mungu alimweleza kwamba maaskofu 30 wamepewa Rushwa hapo alitakiwa ajibiwe VP.Bahati mbaya huyo Slaa hakuwahi kuleta ushahidi Kama Yeye Gwajima alivyofanya.Hapa mkweli Ni yupi ukizingatia Askofu Ni mtumishi MWENYE kiapo cha kusema ukweli muda wote.Kama mtu anatolewa pepo hadharani kwa Jina LA yesu mlitaka Askofu afiche ukweli juu ya Josphine kuwa na mapepo?Awaogope nyie wanadamu kuliko kuwa na hofu ya Mungu?.Rudini kwenye maandiko tuache kumzonga Askofu wa Watu.Mlitaka msijulikane kwamba mnang'ang'ania mapepo Nendeni kwa Kalimanzila.
 
Amefanya vizuri;
Dr ndiye aliyeanza kwa kusema kuwa wamepokea rushwa.

Hata bible imetoa onyo, soma hapa

Yakobo 3:5 Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao hujivuna majivuno makuu. Angalieni jinsi moto mdogo uwashavyo msitu mkubwa sana.
 
Kwa kweli hata kanisa analoongoza sambamba na waumini wote wanaomfuata wanapotea duuu we kiongoz yakupasaaa umrudie mungu umepotea sanaaa na hunasifa ya kuitwa askofu au mchungaji kabsaaaa
 
Mi nashangaaa hatanwengine mnamuunga mkono kwa upuuzi anaofanyaaaaa kiukweli ni dhahiri shetani kawakalia kiongozi mkubwa ivooo kuuza kanisa kwa siasaaa hajui kama kunamaisha yanatusubr ya haki na amani zaid hata ya siasa anazotetea mchunguja kaaa kanisan kwakoo wasaidie waumini wako wamuishi munguuu
 
Mi sijaona tatizo la gwajima, yeye alikuwa amenyamaza, slaa akamuanza kwa kumwita majina ya ajabu. Sasa amejibu mmeanza kulia. Kwanza ilitakiwa ataje huo mzigo wa afrika kusini aliopewa Dr slaa
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

gwajima.jpg

gwajima.jpg

FRONTWIKIENDA22222.jpg
 
Mi nashangaaa hatanwengine mnamuunga mkono kwa upuuzi anaofanyaaaaa kiukweli ni dhahiri shetani kawakalia kiongozi mkubwa ivooo kuuza kanisa kwa siasaaa hajui kama kunamaisha yanatusubr ya haki na amani zaid hata ya siasa anazotetea mchunguja kaaa kanisan kwakoo wasaidie waumini wako wamuishi munguuu

Flora%2Bm%2Bbasha1.jpg
1.png
 
Hahaahhahahaah patakuwa pa tamu apoo ili waumini wake na jamii kwa ujumla wajue jamani kiukweli tunapotea sanaaaa yaani
 
Back
Top Bottom