Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Huyu mhuni namchukia kuliko mtu yeyote na sijawahi kumkubali zaidi ya kumuona mpigaji tu ..alivunja ndoa ya kijana mwenzetu na sahivi bado hana haya anasimama mbele ya madhabau, sijuhi hii ni aina gani ya Utumishi kwa mungu ..jamaa ni poisonous kuliko king cobra na hafai hats kumkaribisha kwako make hajuhi mipaka ya maongezi, ni mpayukaji sana.
 
eti Josephine alizimia coz of majini,Dr alimpigia Gwajima ili apate msaada leo kaitumia hii against Josephine,kwamba ana mapepo mbaya sana hii

Gwajima kaharibu sana kama kiongozi wa kiroho.

Usijawaambia hawa wachungaji siri zako. Siku mkipishana maslahi
Watakutangaza tu.
Viongozi wa dini my foot. Kiongozi wa dini anapaswa kutunza siri za muumini hata anapotishiwa kipigo, kifungo au kifo.

Afu Gwajima anasema Josephine ndo alikuwa amemfungia Silaa ndani. Hiyo haiingii akilini.

Nimemsikia yeye na mlinzi wake akisema kuwa walinzi wa Gwajima ndo walikuwa wanamlinda Silaa nyumbani kwake.

Bodigadi wa Chadema alirudishiwa njiani na hakukanyaga hapo tena.
Je Josephine ndo alikua kamfungia Silaa ndani kwa zaidi ya wiki 2 au walinzi wa Gwajima ndo walimpiga pini ili asitoke na kumharibia Lowassa?

Tafakari..hii hesabu wala hainiingiii.
Ina maswali mengi sana.

Afu mlinzi kajichanganya kuwa Josephine alikuwa anatoka kwenda kwenye shughuli zake, na kumwacha Silaa ndani...Gwajima na Chadema wachache wanamtembelea..kwa nini Silaa alikuwa hawezi kuvuka geti?

Kwa nini alipoteza mawasiliano?
Kwa nini tuliaminishwa kuwa yule mama, aliyemteka alikuwa kamfumgia ndani wakati nyumba imejaa walinzi wa Gwajima na huyo mama alikuwa anatoka na kumuacha peke yake????

Leo nimejua jinsi Gwajima anavyodili na waumini wake wenye mapepo.

Shocked.
 
Askofu gani anatumia majini kuombea watu?hovyo kabisa hili jitu.
 
Wenye midomo muungeni slaa mkono kukashfu viongozi wa dini...
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

Isitoshe naamini UKAWA itashindwa vibaya, japo sijafanya utafiti, kwa sababu zifuatazo:

1) waumini wa kweli wa dini, aliyoyasema Ngwajima, kwenye kivuli cha UKAWA, kama
ulivodokeza, kinawaondolea imani na umoja huo.

2) kutofautiana kwa Gwajima na Slaa, kunawaondoa wafuasi wa Slaa CHADEMA.

3) wananchi makini, wanaopenda mabadiliko nje ya CCM, wanajiuliza tena kama viongozi wa
UKAWA wanaweza kukidhi hilo.

4) UKAWA inategemea kundi la vijana kwa kuchochea chuki dhidi ya CCM, kwa mfano alio utoe
Mgombea mwenza kwenye kampeni kuhusu kilichotokea Misri na mambo mengine
yanayongelewa kujikomba kwa vijana. Lakini ikumbukwe ni vijana haohao wanarudi nyumbani
na njaa zao baada ya kukesha na kushinda kwenye hiyo mikusanyiko. Naamini, wachache
kama siyo wengi, nwisho wa siku watajitambua.

5) uadilifu wa viongozi wa UKAWA waliohama CCM, haujatetewa na haohao waliowaita mafisadi
zaidi ya maneno yasiyo na tija kwa kukubali kwamba kweli ni fisadi. Ati shetani akingia
nyumba ya malaika anakuwa malaika. Huwezi kuondolewa dhambi bila kutubu.
Watubu kwanza.
 
Mkuu jingalao huna haja ya kuumiza kichwa kufahamu iwapo ana uchaji. Ile lugha ya "maharage ya wapi" au " kama humtaki kalambe malimao" inatosha kabisa kumfahamu huyu kijana. Kijana kakengeuka kiasi cha kupitiliza.
 
Mkuki kwa nguruwe. ....aliyeanza kumchafua mwenzake nani?

Hivi Dr. aliongea kuhusu private laifu ya Gwajima?
Gwajima na Tundu Lissu hawafai, hasa kwa huyu mchungaji, kiukweli kajishusha.
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

Ilikufurahisha Alivyoitwa mshenga?? Au alivyosema kahongwa ukweli n kwamba gwajima ajatenda haki kam kiongoz wa kiroho lakin pia lazima ujue huy muumini alimdharau vip pasta wake ukwel ni kwamba kashifa alizotoa Dr ni kama zilivunja uhusiano wa muumin na Askofu
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.
jingalao katika ubora wako..
 
Last edited by a moderator:
Isitoshe naamini UKAWA itashindwa vibaya, japo sijafanya utafiti, kwa sababu zifuatazo:

1) waumini wa kweli wa dini, aliyoyasema Ngwajima, kwenye kivuli cha UKAWA, kama
ulivodokeza, kinawaondolea imani na umoja huo.

2) kutofautiana kwa Gwajima na Slaa, kunawaondoa wafuasi wa Slaa CHADEMA.

3) wananchi makini, wanaopenda mabadiliko nje ya CCM, wanajiuliza tena kama viongozi wa
UKAWA wanaweza kukidhi hilo.

4) UKAWA inategemea kundi la vijana kwa kuchochea chuki dhidi ya CCM, kwa mfano alio utoe
Mgombea mwenza kwenye kampeni kuhusu kilichotokea Misri na mambo mengine
yanayongelewa kujikomba kwa vijana. Lakini ikumbukwe ni vijana haohao wanarudi nyumbani
na njaa zao baada ya kukesha na kushinda kwenye hiyo mikusanyiko. Naamini, wachache
kama siyo wengi, nwisho wa siku watajitambua.

5) uadilifu wa viongozi wa UKAWA waliohama CCM, haujatetewa na haohao waliowaita mafisadi
zaidi ya maneno yasiyo na tija kwa kukubali kwamba kweli ni fisadi. Ati shetani akingia
nyumba ya malaika anakuwa malaika. Huwezi kuondolewa dhambi bila kutubu.
Watubu kwanza.
Point ya msingi:
WANAWATUMIA VIJANA KUWALISHA CHUKI DHIDI YA UTAWALA ULIOPO MADARAKANI.
Hii ni HATARI sana, na kuna vijana wenasa kwenye huu mtego, ila sio mimi.
 
Ya kaisali mpe kaisali na ya mungu mpe mungu mbona hata slaa nae ni padli lakini kamchafua mwenzie msiangalie upande mmoja.sababu yeye slaa kaja kimwili nae kajibiwa kimwili .no. koment
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

Kwa kweli Gwajima kavunja maadili ya uchungaji kwa kutaja hadharani shida ya muumini. Swali langu kwa vile tayari tumeyasikia, je ni kweli habari hiyo kuwa mke wa Slaa anaongozwa/kutumikia hizo roho za mashetani? Na je yawezekana nazo zinamdhuru Dr? Ni kweli au si kweli????
 
Ametumwa na Mungu..hata manabii wengine kama kina Elia na isaya na Yeremia walikuwa wanatumwa na Mungu kuwapelekea watu ujumbe wa Mungu ila walipokaidi nabii alirudi na kuwapa habari ya adhabu itakayotolewa.. na yote haya yaliwekwa hadharani na kuandikwa kwenye vitabu vitakatifu ili kutoa mafundisho kwa watu wengine...hii ya dr ni ili kuwapa wengine fundisho wasiwe wanafiki
 
Gwajima yupo sahihi kabisaaaaa kwa aliyoyasema leo.

Tangu Gwajima aanze huduma yake mwanzoni mwa miaka ya 90 hii ni mala yake ya kwanza kutaja tatizo la mtu aliyeenda kwake kwa huduma ya maombezi.

BILA SHAKA HILI KALIFANYA KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA.
NI SAWA TU NA DAKTARI KUWAAMBIA WATANZANIA MGOMBEA FULANI (AMBAYE NI MTEJA WAKE NA KAFANYA KITUKO HADHARANI) KUWA ANA TATIZO LA AKILI.
 
Gwajima alitulia zake kimya, slaa kamchokonoa...askofu amefanya kitu sahihi, na nna imani nae. Huyo dr ajitokeze kujibu aone nondo zitakazofuata toka kwa askofu. Dr alikua anajiropokea hoja ambazo hatujaona ushahidi wake, na kama ungekuepo ni wazi serikali ingetumia mkono wake dhidi ya lowassa. Gwajima kawaonyesha mfano wa kutoa hoja kwa ushahidi, tulieni dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom