Lowassa anamtumia Gwajima kutengeneza kiti cha enzi cha shetani hapa Tanzania kwa unabii wa uongo.............
Angejibu yale aliyoyasema Slaa bila kuweka vikorombwezo vya kumrekodi mteja wake josephine nisingeleta thread!Lakini sis watanzania niwaajabu sana sana aliongea dr watu wakase aje ajibu kajib watu nimtu waajabu. Jamani watanzania sisi tumeumbwaje. Angekaa kimya wangesa aliyokuwa anazushiwa nikweli. Mim binafs nadhani pale kaenda kama gwajima kujibu tuhuma zake juu ya aliyosema dr. Sio kama pastor.
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.
Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.
Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.
Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.
Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.
Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.
Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!
Angejibu yale aliyoyasema Slaa bila kuweka vikorombwezo vya kumrekodi mteja wake josephine nisingeleta thread!
Angejibu yale aliyoyasema Slaa bila kuweka vikorombwezo vya kumrekodi mteja wake josephine nisingeleta thread!
Hata Dr.Mihogo alitoa hadharani mambo ambayo alisema ameambiwa na rafiki yake Gwajima yani ni mambo ya watu wawili mtu na rafikiye. Kwaiyo Gwajima amemfanyia hayohayo maujinga yeye aliyoanzisha.
ngwajima si ni askofu....?,kwanini agombane na waumini wake kwa mambo ya kisiasa....
au pengine hakuwa hata mtumishi wa yesu,ilikua ni katika utafutaji pesa tu....
Mkuki kwa nguruwe. ....aliyeanza kumchafua mwenzake nani?
Huyu jamaa Leo nmemshusha vyeoooo
Gwajima kapigilia msumari penyewe naona watu damu zimeanza kuwatoka. Poleni sana kiwanda cha uongo
kiongozi wa dini sio wa kulipiza kisasi...gwajima wala hafai kuwa kiongozi wa dini... yupo kimaslahi zaidi...
nilidhani alivyomtukana Pengo alipitiwa tu kumbe sasa ndio tabia yake...
watu wake lazima wawe macho kuingozwa na kiongozi kama huyu[/QUOTE
Hakuna mwenye hati miliki ya kumchafua mwingine mbele ya media Gwajima alitajwa hadharani watanzania tukasikia hivyo wapo walio muelewa vibaya Gwajima hivyo angekaa kimya huoni kama hata uongo ungeonekana UKWELI? Katika jambo hili tutende haki. Mbona watu wengi humu walimpongeza Dr . mihogo bila kusikia upande wa pili?
eti Josephine alizimia coz of majini,Dr alimpigia Gwajima ili apate msaada leo kaitumia hii against Josephine,kwamba ana mapepo mbaya sana hii
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.
Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.
Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.
Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.
Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.
Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.
Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!
Na wewe unaona sawa kwa kiongozi wa dini kujibu tusi kwa tusi?