Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Hivi hata ukibadili dini Askofu anatoka hadharani kuja kumwaga siri zako?
Bwana Jinga, huyo mnayesema atavunjiwa ndoa yake, ana ndoa?
Hivi hata ukibadili dini Askofu anatoka hadharani kuja kumwaga siri zako?
Haya mambo mbona huwa hamsemi hadi leo gwajima kawapeni za uso
Wenye midomo muungeni slaa mkono kukashfu viongozi wa dini...
ndio maana mkapa kakuiteni wapumbavu na malofa. macho mnayo hamuoni, masikio mnayo hamsikii, tatizo akili mgando au ni kufuata malisho! mtu unawezaje kumuamini gwajima kama mchungaji au askofu wa kanisa. kama ni kiongozi wa kiroho labda ni mganga wa kienyeji.
unafikiri bishop alifata nini kwenye kikao cha kamati kuu cha chama cha siasa?
Hata Gujima Ana roho ya nyama sio ya chuma.He basically gave him a taste of his own medicine. If he had shut his mouth and not attack him personally then it he would never has responded like that. What did you want him to do? To shut while they had lied about him? Come on?.
Why did he call him mshenga? That was a very big insult it. It was done not once but twice, this was very unfair and as a human being patient has a limit. Remember he is a merely a human being and not GOD. Even God patience has limit that's why he send people to hell despite that he is a merciful GOD.
Mkuki kwa nguruwe. ....aliyeanza kumchafua mwenzake nani?
Mimi siasa naweka pembeni na nikirudi kwa upande was dini yetu huku mtumishi was Mungu haruhusiwi kutuoa siri au matatizo ya muumini hadharani hats kama wametofautiana, turejee kwa Bishop Gwajima huyu huyu kipindi kile amemkashfu Kadinali Pengo, Kadinali hakujibu mapigo zaidivya kuwaomba waumini wake wamsamehe na kumwombea Gwajima. In short SIJAFURAHISHWA WALA KUPENDEZWA na aliyoyasema LEO
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.
Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.
Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.
Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.
Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.
Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.
Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

huyo gwajima ninamashaka naye kama kwel ni mtanzania.sifa ya watanzania ni ukarimu.lakin yy kavunja ndoa za watu,kagombana na viongoz wa din na sasa anachonganisha kwenye siasa. huyu jamaa tumwogope kama ukoma.huo uaskofu atakuwa kajipa mwenyewe maana hana sifa ya kuwa bishop.[/Q .kuvunja ndoa Wewe utakuwa ujaolewa au ujaowa.subiri ukifika wakati kuwa tayari kupigiwa au kupigwa ..nje ukifurahia