Ni kweli kiongoz ulichosema ila binafsi sikuwa na nia ya kufanyia vitendo hivyo me ndo nilikuambia lengo zaidi ni kupata details zilizokamilika na kukuuliza maswali juu ya mnyama wako bossKuna mtu hapa alipost kuwa ni daktari wa mifugo. Tukawasiliana Nikampa taarifa ngombe anaumwaje. Akazidi kunidadisi, nikasema si nimekupa full detals za ngombe anaumwaje, mbona huelewi?
Lastly, anasema nimpigie tuongee. Nikaona huyu ni mtego wa kutaka kujua identity yangu through my phone number. NIKAM BLOCK INSTANTLY!
KUWENI MACHO SANA USIMPIGIE MTU SIMU WALA KWENDA INBOX!