TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Nilitaka nikuhifadhi, ila no way. Wewe unaelekea 'kufuzu kozi' afu uanze kutusumbua na shuzi zenu mbofu mbofu ka za akina Parabora wa Uswisi ama yule mduwanzi PerDiem wa Norweeeyi.

Ngoja nikukaange kidogo...

1. Umeshahama Kiwalani (pale mtaa wa kijiwe Samli)?

2. Yule mdada wa jf (username yake inaanzia Di.......) ulimfanyia tukio gani pale maeneo ya Ofisi za UDART Jangwani? nusura akupeleke polisi na hadi leo unamuomba sana asiianike hiyo inshu hapa jf.

3. Yule jamaa muuza furniture pale Keko (somebody J H), umeshafanikiwa kumuingiza king ule mchongo wako fekero wa 'fenicha mtumba' za ughaibuni?

4. Why una WhatsApp Numbers nne za nchi tofauti tofauti ambazo unawapa watu humu jf?

If you think that you are behind a concrete 'camoufrage', you are totally wrong with your thinking. I can assure you... you are just as bare as foot!

Tumechoka na matapeli uchwara wa jf. Picha linakuja... soonest mtafurahia show. Tapeliz wote wa Jf (na washirika wenu wote) jiandaeni kisaikolojia.

Mmeshupaza shingo kitambo hapa jf, sasa tunaanza 'kubetua stuli'.

-Kaveli-
Daah kwahiyo jf vibaka wametuvamia,mimi kuna kipindi nlikua napata ms inbox za kutosha ...sema huwa sizijibu kuepuka matapeli hao
 
Nilitaka nikuhifadhi, ila no way. Wewe unaelekea 'kufuzu kozi' afu uanze kutusumbua na shuzi zenu mbofu mbofu ka za akina Parabora wa Uswisi ama yule mduwanzi PerDiem wa Norweeeyi.

Ngoja nikukaange kidogo...

1. Umeshahama Kiwalani (pale mtaa wa kijiwe Samli)?

2. Yule mdada wa jf (username yake inaanzia Di.......) ulimfanyia tukio gani pale maeneo ya Ofisi za UDART Jangwani? nusura akupeleke polisi na hadi leo unamuomba sana asiianike hiyo inshu hapa jf.

3. Yule jamaa muuza furniture pale Keko (somebody J H), umeshafanikiwa kumuingiza king ule mchongo wako fekero wa 'fenicha mtumba' za ughaibuni?

4. Why una WhatsApp Numbers nne za nchi tofauti tofauti ambazo unawapa watu humu jf?

If you think that you are behind a concrete 'camoufrage', you are totally wrong with your thinking. I can assure you... you are just as bare as foot!

Tumechoka na matapeli uchwara wa jf. Picha linakuja... soonest mtafurahia show. Tapeliz wote wa Jf (na washirika wenu wote) jiandaeni kisaikolojia.

Mmeshupaza shingo kitambo hapa jf, sasa tunaanza 'kubetua stuli'.

-Kaveli-

Kumekucha
 
Kwanza upo nje umemtumia mtu vifaa Tanzania kavipata harafu baada ya kuvipokea akakaa kimya tunaendelea wewe ukiwa nje ya Nchi ukapata taarifa kuwa anataka kuviuza wewe tena ukiwa Nje ya Nchi ambae ulikua unatafuta mtu wa kushirikiana nae ukampata mtu wa kukusaidia kutaka kuvinunua hivyo vitu na ukafanikiwa kujifanya kuvinunua kupitia jamaa ako na mdau wako yupo ndani unataka hela za usumbufu unawezaje kupiga hesabu ya usumbufu kama mlitaka kusaidiana na unajua dogo choka mbaya mpaka umemsaidia harafu hiyo pesa ya usumbufu ataipata wapi na mali umepata...maelezo haya ukisoma bado yana mchanganyiko wa majibu yasio sahihi..jibu rahisi ni kuwa sio kweli hata kama ushahidi utakuja ni mtu mmoja mwenye simu mbili na Id nyingi humu hiyo ingine inapewa kesi wacha tusanue hizo washa washa zenu maana tumechoka na wote mnatuona makolo...hivi wapo watu wanaingia mitego mibovu kama hii ya tuma hela kwenye namba hii ila imekuja kwa mfumo mwingine...
Yanatengenezwa mazingira ya kupigwa watu hapo,akili kumkichwa tujihadhari na matapeli
 
Nilitaka nikuhifadhi, ila no way. Wewe unaelekea 'kufuzu kozi' afu uanze kutusumbua na shuzi zenu mbofu mbofu ka za akina Parabora wa Uswisi ama yule mduwanzi PerDiem wa Norweeeyi.

Ngoja nikukaange kidogo...

1. Umeshahama Kiwalani (pale mtaa wa kijiwe Samli)?

2. Yule mdada wa jf (username yake inaanzia Di.......) ulimfanyia tukio gani pale maeneo ya Ofisi za UDART Jangwani? nusura akupeleke polisi na hadi leo unamuomba sana asiianike hiyo inshu hapa jf.

3. Yule jamaa muuza furniture pale Keko (somebody J H), umeshafanikiwa kumuingiza king ule mchongo wako fekero wa 'fenicha mtumba' za ughaibuni?

4. Why una WhatsApp Numbers nne za nchi tofauti tofauti ambazo unawapa watu humu jf?

If you think that you are behind a concrete 'camoufrage', you are totally wrong with your thinking. I can assure you... you are just as bare as foot!

Tumechoka na matapeli uchwara wa jf. Picha linakuja... soonest mtafurahia show. Tapeliz wote wa Jf (na washirika wenu wote) jiandaeni kisaikolojia.

Mmeshupaza shingo kitambo hapa jf, sasa tunaanza 'kubetua stuli'. 😎

-Kaveli-
Mmmmhh mkuu upo serious??!
 
Nafikiri umechanga faili mzee Sana naomba thibitisha na picha za zangu hapa hapa ili watu wajue ukweli maana Kuna watu humu wananijua vizuri mno so naomba weka kila kitu na jina langu halisi na namba ninazotumia kuwatapeli watu alafu ujue kuwa umechochora usie mjua
 
Wakuu,

Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:

Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala uongozi wake.

Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwachukulia hatua wahusika.

Nisisitize, KUWENI MAKINI NA MATAPELI!
Umeeleweka mkuu
 
Kuna member mwingine humu anajiita "Mr AMHAKA" yeye anijifanya ni mfanya biashara wa mazao na pia ni katibu wa chama cha ushirika(AMCOS) Songea na anajifanya pia anajuana na waziri fulani nchini. Anatumia ujanjaujanja huu kuwaaminisha watu kufanya utapeli wake. Kuna thread moja ya mwezi july naona mods wameiondoa anaomba partner wa kufanya nae biashara ya korosho kusini huku akiahidi kurudisha faida almost to 100% ya mtaji yaan ukiweka 5mill utapata faida isiyopungua 5mill. Naomba kuwen nae makin ametapeli pesa ya mtu pamoja na kuleta usumbufu wa muda pamoja na gharama za kumtoa mtu dar kwenda songea na kukaa kwa muda usiopungua week nzima kwa kazi ya Ufuta ambayo kumbe haikuwepo. Alishaweka namba zake za simu hapa na ninaziweka tena..0755 221 600, 0712 359 510, 0685 138 073, 0620 755 171, 0684 844 750 zoote hizi zimesajiliwa kwa jina JUMA MALIKA na amezigawa kwa watu tofauti anaodai kuwa ni mkulima mwenye mzigo, afisa mtendaji wa kijiji, mwenyekiti wa chama cha ushirika, dalali wa mzigo pamoja na yeye anayejifanya ni katibu wa chama cha ushirika Songea. Baada ya kudai arudishe gharama zote kwa muda ambao yeye alihitaji alirudisha only Tsh 3,500 tu na kublock namba.
Screenshot_20210810-170648.jpg

Screenshot_20210801-140148.jpg

👆Kuweni nae makini huyu kwa sasa tunamshughulikia then nitaleta ful details hapa.
 
View attachment 1887364
View attachment 1887370

Bado munamshughulikia?
 
Kuweni nae makini huyu kwa sasa tunamshughulikia then nitaleta ful details hapa.
Hawa kina Juma Ni matapeli kinoma sijui kwanini
 
Back
Top Bottom