Tafakuri ya FaizaFoxy: CCM imetegwa ikategeka?

Tafakuri ya FaizaFoxy: CCM imetegwa ikategeka?

Kwa fikra kama zako Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Sio tu safari ndefu bali mpaka waislamu watakapo soma shule na kuacha upumbavu hapa Tanzania

Waislamu Wao wapo na elimu ahera tu, maeneo yenye waislamu wengi kumejaa ndoa za watoto na upuuzi mwingi

Hatuwezi kuendelea mpaka tutakapoamua kuboresha shule ili wale nguruwe

Muulize mheshimiwa Makamba Yusuf, alisoma shule za kikristu na kitimoto alikula

Vitabu amehifadhi kichwani vyote biblia na quran

Wewe nani?
 
Sidhani kama hao watu wakija wanawapa vyeo na nafasi nyeti na hawawatolei macho muda wote
 
Magu ni failure sio katika uchumi tu na mambo mengine kama diplomasia,bali ni failure hata katika swala zima la kufanya siasa.

Uwezo wa huyu mtu uko katika kutumia mabavu zaidi kuliko akili, hivyo atawagharimu sana nyie masisiem na chama chenu.
 
Kwa mtu yeyote aneifahamu Kusini ya mkoa wa Dar Es Salaam ataelewa kuwa ukianza kufika Mtoni (kwa Aziz Ali) kushuka Kusini utakutana na mchezo wa bao la kete (solo).

Bao la kete Kusini ya Tanzania ni mchezo unaochezwa na takriban jamii nzima, kuanzia watoto, vijana hadi wazee, wote, akina mama na akina baba. Bao lina aina ya michezo mingi tofauti. Lakini maarufu ni ule wa kusafiri, kutakata, kutembea, kulala na kuulinda mtaji. Ambao hufanyiwa mashindano ya kitaifa. Marehemu Mzee Nyerere alikuwa ni mpenzi wa mchezo huu wa bao na alikuwa bingwa.

Licha ya mchezo wa bao kuwepo takriban Tanzania nzima, lakini mchezo huo Kusini umekuwa maarufu zaidi kwa kuwa kwanza inajulikana wachongaji mabao mazuri ya nakshi ni wamakonde, na kusini ndiyo kwao. Pili, "mikete", miti ambayo hudondosha kokwa za kete zinazochezewa bao ipo mingi Kusini.

Kwanini nimelikumbuka bao? Bao Lina mitego na mahesabu ya hali ya juu sana kwa wenye kulijuwa kulicheza vizuri, wanaweza kumtega mtu mpaka mizunguko mitano ijayo na kila mzunguko aliyetegwa atakuwa anahisi anashinda tu lakini ndiyo anazidi kumtengenezea njia ya ushindi aliyemtega.

CCM siku za nyuma kidogo imepokea wapinzani wengi sana waliotokea vyama vya upinzani kutoka kada mbali mbali, kuanzia washabiki na wanachama wa kawaida, wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na wengi wengine.

Jee, huu siyo mtego wa upinzani kupandikiza mapandikizi ya kuja kuisambaratisha CCM? Jee, CCM imetegwa ikategeka? CCM tunachezewa "chess" au bao?

Upinzani wa Tanzania unaweza kuwa na vichwa na mahesabu na mitago ya kisiasa kama mahesabu na mitego ya mabingwa wa bao kama Mzee Nyerere, vya kuweza kutega mizunguko mitano ijayo?

Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy.
Akili ya kufanya hayo FreeMbowe hawezi kuwa nayo, labda angekuwa mzee Slaa..!
 
CCM is dying slowly.
Daniel: 24 Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa.
25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
26 Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
27 TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
28 PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
Chadomo mmeshakuwa waajemi!

Makubwa.
 
Akili ya kufanya hayo FreeMbowe hawezi kuwa nayo, labda angekuwa mzee Slaa..!
Nilidhani Mbowe yupo na muono zaidi ya Slaa isipokuwa yupo Kichagga zaidi, maslahi binafsi mbele.
 
Usimshangae kukomahedhi ndio ugonjwa unaomtesa bibi huyu
Sifa ya mwanamke hiyo, mama'ko aliuguwa alivyokoma hedhi yake? Unaonesha mzoefu au mambo hayo ni wewe mwenyewe yamekukuta?
 
FaizaFoxy ukumbuke kujiunga ccm ni rahisi ila kufungamana na ccm si kazi rahisi. Ndani ya chama huwa kuna ccm core na hata nikuhakikishie mtu kama nape pamoja na wakati ule kuwa mwenezi, hakuweza kuaminiwa na core ya ccm baada ya 2010 yeye na Sitta kujaribu kunzisha CCK. Hii kitu ndiyo inamtafuna. Kwa mantiki hiyo usiwe na wasiwasi na watu kama Salary Slip, kwa mfano, watu wasiokuwa na itikadi ambao walitutangazia hapa kuwa JK tarehe atakayotoka madarakani atakuwa anaiadhimisha ingawa leo anatuaminisha kuwa alikuwa kiongozi wa kuigwa! Ajabu.
Chadema na Zitto na Kitila vipi? Umesahau?
 
Usimchanganye Bashiru maana yeye ni kenge kwenye msafara wa mamba. Na upinzani haujasambaratika bali madaraka ya rais yanatumika vibaya kuhakikisha upinzani haufanyi shughuli zake za vyama vya siasa. Kitisho kikubwa kwa upinzani ni matumizi ya risasi za moto na kutekwa. Hakuna popote mtu mwenye akili timamu anaweza kusimama na kusema upinzani unesambaratika kwa mantiki ya ushindani wa kisiasa, maana huo ushindani wa kisiasa haupo zaidi ya mabavu.

Huyo Bashiru ni kama kijakazi tu huko ccm kuhadaa umma kwamba kuna siasa inafanyika, lakini ukweli wanaofanya siasa za ccm kwa sasa ni watu wasiojulikana, akina Musiba, Makonda, vyombo vya dola nk.
Kila tendo lina kitendo.
 
Kwa mtu yeyote aneifahamu Kusini ya mkoa wa Dar Es Salaam ataelewa kuwa ukianza kufika Mtoni (kwa Aziz Ali) kushuka Kusini utakutana na mchezo wa bao la kete (solo).

Bao la kete Kusini ya Tanzania ni mchezo unaochezwa na takriban jamii nzima, kuanzia watoto, vijana hadi wazee, wote, akina mama na akina baba. Bao lina aina ya michezo mingi tofauti. Lakini maarufu ni ule wa kusafiri, kutakata, kutembea, kulala na kuulinda mtaji. Ambao hufanyiwa mashindano ya kitaifa. Marehemu Mzee Nyerere alikuwa ni mpenzi wa mchezo huu wa bao na alikuwa bingwa.

Licha ya mchezo wa bao kuwepo takriban Tanzania nzima, lakini mchezo huo Kusini umekuwa maarufu zaidi kwa kuwa kwanza inajulikana wachongaji mabao mazuri ya nakshi ni wamakonde, na kusini ndiyo kwao. Pili, "mikete", miti ambayo hudondosha kokwa za kete zinazochezewa bao ipo mingi Kusini.

Kwanini nimelikumbuka bao? Bao Lina mitego na mahesabu ya hali ya juu sana kwa wenye kulijuwa kulicheza vizuri, wanaweza kumtega mtu mpaka mizunguko mitano ijayo na kila mzunguko aliyetegwa atakuwa anahisi anashinda tu lakini ndiyo anazidi kumtengenezea njia ya ushindi aliyemtega.

CCM siku za nyuma kidogo imepokea wapinzani wengi sana waliotokea vyama vya upinzani kutoka kada mbali mbali, kuanzia washabiki na wanachama wa kawaida, wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na wengi wengine.

Jee, huu siyo mtego wa upinzani kupandikiza mapandikizi ya kuja kuisambaratisha CCM? Jee, CCM imetegwa ikategeka? CCM tunachezewa "chess" au bao?

Upinzani wa Tanzania unaweza kuwa na vichwa na mahesabu na mitago ya kisiasa kama mahesabu na mitego ya mabingwa wa bao kama Mzee Nyerere, vya kuweza kutega mizunguko mitano ijayo?

Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy.
Mbona hili tunalijua toka mwanzo, hivi kweli wewe Unadhani Mwita Waitara yule ni CCM au Kafulila?? Thubutu wale wametumwa kutokana na uroho wa ccm, ikawaingiza kwa style ya kuwanunua kumbe inajimaliza. Upinzani ulikuwa ukipata tabu jinsi ya kupambana na Dola, sasa viongozi wake wako ndani ya Dola.

Ile repercusion ya Mwita Waitara ni mbinu za kupotezea watu waamini kweli.kahamia ccm.na ameamua kuwa mwiba kwa chadema.
 
Kwa maana hiyo hata Mbowe siyo "genuine" ni kijana aliyejionea fursa kutoka kwa mkewe akaikumbatia.
 
Haya mambo ni sawa ikiwa ccm itapunguza nguvu kuliko hoja
 
Maana jinsi Magufuli na Bashiri walivyousambaratisha upinzani na tunavyoona jinsi wimbi la upinzani lililorudi CCM, inatisha, inabidi mtu ujiulize na kufikiri nje ya boksi.
Upinzani upo kidunia mkuu ua upinzani utengwe na dunia ,hujui kwanini Baba wa Taifa alikubali upinzani licha ya wengi kuupinga,haikuwa amri yake.
 
Nilisema humuhumu JF mtamkumbuka sana. Kiko wapi?

CCM ni ile ile.

Kusema kwamba demokrasia ilipokuwa inaheshimiwa kwa mbali ni kumkumbuka? Sasa hiyo ni sifa au ni afadhali kati ya tabia mbili mbovu?
 
Back
Top Bottom