Kunambia × = kuniambia. Hivi shule mlisomea wapi?Hakuna hujuma yoyote. Ukisoma ilani ya uchaguzi ya CCM utagundua kuwa awamu hii imefikia katika kupambana na ufisadi na hata kwenye ilani kuna mpaka kufunguliwa mahakama ya ufisadi. Na ndicho serikali inachokifanya.
Serikali inajitahidi kupambana na kuzini mia nay ya ufisadi (corruption). Unataka kunambia hakuna wana CCM walioshikwa kwa ufisadi?
Bado hujanijibu, bandarini ukienda kuitoa mizigo yako unaulizwa kadi ya CCM?
Duuuuuh, Ndo kusema hata CDM mlikuwa mnaiogopa sana ikiwa na LWASSA kuliko sasa?,Ooh sana tu, ulikuwa huelewi?
Uoga utokee wapi na CCM ndiyo ilimtema?Duuuuuh, Ndo kusema hata CDM mlikuwa mnaiogopa sana ikiwa na LWASSA kuliko sasa?,
Mbona Karudi kwenu na Bado mnaogopa kiwango kilekile?. Hamtaki watu waongee eti kama US ...uchaguzi ukiisha ni kazi tu, Utadhani U.S nao Politicians huwa wananyamazishwa kwa Amri za Mkulu zisizofuata Katiba na haki.
Nyinyi hata mumchukue nani mtaebdelea kuogopa upinzani mpaka mwisho wa Dahari.
Za kwako, changanya na za mwenzako! Huwa siongei bila kuwa na details za uhakika!Hujaeleza kitu nikakielewe. "Matukio" kama hilo la kuzuia mikutano, huku waliozuia wakifanya 'matukio' yanayoonekana kuwa mikutano ya kisiasa..., wewe unataka kuiita nini kama sio siasa?
Unachoongea katika mabandiko yako hapa na kiko wazi ni kwamba hujui 'siasa' ni nini.Za kwako, changanya na za mwenzako! Huwa siongei bila kuwa na details za uhakika!