FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
- Thread starter
- #21
Hakuna hujuma yoyote. Ukisoma ilani ya uchaguzi ya CCM utagundua kuwa awamu hii imefikia katika kupambana na ufisadi na hata kwenye ilani kuna mpaka kufunguliwa mahakama ya ufisadi. Na ndicho serikali inachokifanya.Kuanzia mwaka 2016 mpaka Leo kuna hujuma kubwa sana kwa wafanyabiashara hasa wale waliokuwa wanamshangilia Team nywele nyeupe au wazee wa mabadiliko, Utafanyiwa kila aina ya fugisu za kodi na utasalimu amri tu,
Kadi imenifanya nionekane nipo Team pendwa kwa sasa, wakisikia mzigo wa mtoto wa fulani haina shida
Kumbuka kwa biashara zetu Tanzania ni wachache wanaweza kodi meli yote peke yako, Tunashare meli sasa watu wakiona Team nywele nyeupe kwenye mzigo utapata tabu sana
HIZI BIASHARA ZINAFUNGWA KUNA MAMBO MENGI FAIZA, MENGINE TUNAUMIA NDANI, KUSEMA TUNAOGOPA
FITINA NA UJINGA UMEJAA KATI YA TIMU MBILI ZA MPIRA
Nchi moja tumeamua kuharibu biashara kisa Team za mpira za 2015
Serikali inajitahidi kupambana na kuzini mia nay ya ufisadi (corruption). Unataka kunambia hakuna wana CCM walioshikwa kwa ufisadi?
Bado hujanijibu, bandarini ukienda kuitoa mizigo yako unaulizwa kadi ya CCM?