Tafakuri ya FaizaFoxy: CCM imetegwa ikategeka?

Tafakuri ya FaizaFoxy: CCM imetegwa ikategeka?

Tanzania amuna wapinzani kuna WAGANGA NJAA TU nilikua nawaamini nikaja kugundua niwapumbavu wote ni wasaka tonge wanatuumiza vichwa tu CCM ITATAWALA MIAKA 10000000
 
Maana jinsi Magufuli na Bashiri walivyousambaratisha upinzani na tunavyoona jinsi wimbi la upinzani lililorudi CCM, inatisha, inabidi mtu ujiulize na kufikiri nje ya boksi.
Nje ya boksi lipi?saa nyingine kufikiri nje ya boksi ndio nje ya uhalisia!! Upinzani hawana hela ya kupandikiza watu nawala hawahitaji kufanya hivyo kwani kuidondosha ccm tatizo linatafutwa serikalini sio chamani.
Sisiemu nisawa na kikongwe kisicho na maono safi maana wanasema "sio kila mzee anabusara kwani wapumbafu pia huzeeka". Nami ninakukumbusha "Sio kila kilichodumu ni bora hata mifuko ya rambo ilidumu..." IPO siku tutaisahau ccm na kuilaumu kwa kutucheleweshea maendeleo kizembe kabisa
 
HAKUNA CHA MTEGO HAPO. MTEGO UPO KWA MAJESHI YETU, TUME YA UCHAGUZI NA ELIMU NDOGO YA WAPIGA KURA. OBAMA ALISEMA ILI UWE NA DEMOKRASIA HALALI LAZIMA KUWE NA TAASISI ZA KUISIMAMIA ZILIZO IMARA.
 
Maana jinsi Magufuli na Bashiri walivyousambaratisha upinzani na tunavyoona jinsi wimbi la upinzani lililorudi CCM, inatisha, inabidi mtu ujiulize na kufikiri nje ya boksi.
Mimi sidhani kama ni kweli kwamba Magufuli na Bashiru wameusambaratisha upinzani. Ingekuwa ni kweli basi kusingekuwa na hizi taarifa kila siku fulani kakamatwa eti anafanya mkutano wa ndani wa chama katika nyumba ambayo siyo ya chama, mara oohh, polisi wamezuia chama fulani wasikutane...kama umemshinda mpinzani wako, inakuwaje umealika jeshi la wengine wakusaidie kumshika mikono yake na wengine wamfunge kitambaa machoni ili wewe peke yako ndio urushe ngumi? kama ungekuwa kweli umemsambaratisha, si ungekuwa umekanyaga mguu kifuani pake huku umenyanyua mikono kwa ushindi? lakini wapi, unahema na povu linakutoka na umeleta wengine wamshikilie, wewe peke yako humuwezi.

Kama tafsiri ya TAFAKURI yako ni kuona hao wala rushwa na makapi kutoka upinzani yakiingia CCM kwamba ndio mavuno, basi kuna walakini kubwa sana katika hiyo unayoiita TAFAKURI. Mimi nadhani ni ndoto za mchana. A pipe dream.
 
Sio kwa viongozi hawa wala ruzuku akina Mbowe
Ccm bado ina mbinu nyingi sana za kupata ushindi,na hao waliokuja kuunga mkono,sio wote watarudi bungeni 2020,kwa sababu wataingia kwenye kura za maoni kupambana na wenyeji
 
Magu ni failure sio katika uchumi tu na mambo mengine kama diplomasia,bali ni failure hata katika swala zima la kufanya siasa.

Uwezo wa huyu mtu uko katika kutumia mabavu zaidi kuliko akili, hivyo atawagharimu sana nyie masisiem na chama chenu.
Wala mimi simlaumu sana Magufuli, maana ana tatizo la muono mfinyu. lakini hawa wengine wanaoshabikia halafu wanajiita wanatafakuri, hao ndio siwaelewi kabisa
 
Si kweli. Ingekuwa hivyo tusingeona wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji, madiwani na wabunge wa upinzani.

CCM ni chama cha kupigiwa mfano duniani.
Hao walikuja Kama bidhaa na ile pesa ilishakwisha na usisahau waliahidiwa vyeo hewa! Umeshtuka vyema ila umechelewa kwani wengi wao wana hasira Sana na watafanya maajbu kuiadabisha ccm matapeli!
 
Hao walikuja Kama bidhaa na ile pesa ilishakwisha na usisahau waliahidiwa vyeo hewa! Umeshtuka vyema ila umechelewa kwani wengi wao wana hasira Sana na watafanya maajbu kuiadabisha ccm matapeli!
Mimi nahisi 2020 mgombea wa CCM atavunja rekodi zote za wingi wa kura.
 
Kama wanasambaratisha upinzani woga wao wa nini hadi kutumia vitisho, ubabe na hata uhalifu wa kuteka na kujeruhi?
Nguvu ya chama cha siasa ni ushawishi wa hoja na sio mabavu, imekuwaje ccm ya sasa imeishiwa hoja imebaki na hayo mengine?
Na sasa hivi wakurugenzi wameondolewa kusimamia uchaguzi na mahakama, iweje bado serikali ya ccm inataka kuleta hila ili makada wake hao wasimamie?
Tuwe wakweli, CCM ya Jk ilikuwa Chama cha siasa lakini hii ya JPM sio chama cha siasa bali kitu kingine kabisa.
Kuna rufaa inaendelea.
 
Hao walikuja Kama bidhaa na ile pesa ilishakwisha na usisahau waliahidiwa vyeo hewa! Umeshtuka vyema ila umechelewa kwani wengi wao wana hasira Sana na watafanya maajbu kuiadabisha ccm matapeli!
Ooh, kwa hiyo madiwani na wabunge wa upinzani wapo kama bidhaa tu?

Hata mimi naona hivyo. Kama Lowassa aliweza kupokelewa na kugombea Urais na alipoukosa kautisa upinzani si hasha hata Mwenyekiti wa chadema ni bidhaa tu.
 
Kwa ufupi siwezi ongea hapa yote, Mimi ufisadi na rushwa sijui maana yake Katika maisha yangu

Kama kutoa pesa ili mtoto wangu afanikiwe au biashara zangu ziwe vizuri ni rushwa au ufisadi, Nitaendelea kutoa rushwa

Na kama mzazi wangu kanisomesha kupitia pesa za uwizi toka ccm na kanipa mtaji wa uwizi toka ccm, Bora awe fisadi ili maisha yetu yasiyumbe

Kama kuna tafsiri tofauti na hapo basi nitarudi tena Udsm niwe kama profesa Lipumba au kabudi
Kwa fikra kama zako Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Si kweli. Ingekuwa hivyo tusingeona wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji, madiwani na wabunge wa upinzani.
CCM ni chama cha kupigiwa mfano duniani.
Inawezekana ukawa kada wa CCM ila hujui mambo ya CCM kiundani zaidi najua figisu zote na kwa bahati mbaya niko kwenye mainstream Kudadadeki.

By the way kesho Eid au wewe muislamu Bakwata?
 
Huu utabiri na utimie tuwe uhuru, tz iwe ya kwetu sote.
 
Back
Top Bottom